wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DAWASA yafungua dawati la huduma, maadhimisho Siku ya Wanawake

    Katika kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imezidi kusogeza huduma karibu na wananchi kwa kufungua dawati maalum la huduma kwa wateja katika mtaa wa Bwawani, Stand ya Makumbusho. Hatua hii inalenga kusikiliza na kutatua changamoto...
  2. JamiiForums Tanzania Ushuhuda ,wanawake wa kimakonde, kizaramo/kidengereko, wanawake wa kitanga na wanawake wa kihaya wapi ni watamu kitandani?

    Tupe ushuhuda mwanamke gani kati ya hawa ni mtundu kitandani? Maana wamakonde, wazaramo/wandengeleko wanawekwa ndani kabisa kufundishwa namna ya kutiana na makungwi wao ndo maana baadhi ya sehemu serikali wamepiga marufuku kama wanaamasisha umalaya ivi Watanga na wahaya nao sifa zao zinajulikana...
  3. JamiiForums Tanzania Unajisikiaje au unapata picha gani unapotongozwa na mwanaume ambae anasali makanisa ya mitume na manabii haswa mwamposa na kuhani Musa

    Hello Hope mko salama.. Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa.. Anyway sio mbaya kila mtu na imani yake ila kwa upande wangu sifurahishwi na wanaume wahumini wa makanisa hayo yanayo trend na...
  4. JamiiForums Tanzania Kwani tuliwakosea nini wanawake? Tangu Eden?

    Mara baada ya kumpigia simu mkewe, María Isabel Santos Caballero Mwamba “Pablo Escobar” alikamatwa na huo ndo ulikuwa mwisho wake. The Drug Lord “El Chapo” naye alikamatwa mara tu baada ya kufanya mawasiliano na Manzi yake “Kate De Castillo” Star Boi “El Mencho” akiwa kwenye mjengo wake huko...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake wa kimakonde wanawanyima utamu boyfriends zao

    Wanawachuna kishenzi ila mbususu wanawakazia kuwapa. Kikao kianze hapa tuwape mbinu wanaume wenzetu wa mtwara tuwakomboe kwenye huu ufezuli
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mbona wanawake wakikamata PESA NDO wanaanza kusema wanajitambua

    Eti kujitambua ni nini? Mbona wanawake wakikamata PESA NDO wanaanza kusema wanajitambua Ikifika hiyo stage kama ALIKUWA na mume anaanza kuona kero, hasa kama atamzidi, kama ALIKUWA na mchumba ake vivyo hivyo. Anaanza KUWA mwanamme WA kike, anaanza kusahau KUWA ana ..., anaanza KUWA feminist...
  7. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu akataa kuzindua Stendi Kuu mpya ya Mailimoja Kibaha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekataa kuzindua stendi kuu mpya ya Mailmoja Kibaha mkoani Pwani, akiwa katika ziara yake mkoani humo. Hatua hiyo ameifikia kutokana na kupata wasiwasi wa utekelezaji wa mradi kuwa na baadhi ya mapungufu ambapo amedai baada...
  8. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa wanawake kuonesha madhaifu ya ulemavu wa watoto wao?

    Katika ulimwengu wa leo wa mitandao ya kijamii, mipaka kati ya faragha na maonesho imefutika. Kisa cha binti mmoja maarufu wa mtandaoni, anayeonekana ni slay queen, kimeibua mjadala mzito kuhusu utu, uzazi na maadili ya kizazi cha kidijitali. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, aliamua...
  9. JamiiForums Tanzania Songwe: Wanawake watishia kufanya mgomo wa kubeba mimba hadi ujenzi wa Zahanati ukamilike Wilayani Mbozi

    Wanawake katika Kijiji cha Kilimampimbi, Kata ya Kilimampimbi Wilayani Mbozi Mkoani Songwe wametishia kufanya mgomo wa kubeba mimba mpaka ujenzi wa Zahanati ya Kijiji ukamilike ili kuepuka changamoto wanazopitia wakati wa kujifungua. Wakizungumza na EATV baadhi ya Wanawake kijijini hapa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Sasa wanapenda utawala 50/50 wakati huo wanataka kuhudumiwa?

    Kwanini wanawake na mademu wa Sasa wanapenda utawala na 50/50 muda huo wanataka kuhudumiwa Nini maana ya 50/50 utamtawalaje mtu ambaye unataka akuhudumie Yaani mwanamke anataka mpaka pesa ya pedi lakini muda huo huo anataka urudi mapema nyumbani Shame!!
  11. JamiiForums Tanzania Tungekuwa tunachagua Jinsia kusingekuwa na wanawake

    Suala la kuchagua jinsia ingekuwa ni hiari huenda wanawake wasingekuwepo au wangekuwa wachache sana. Sababu hizi hapa 1. Kwa mujibu wa tafuti kwa nchi zenye population control policy kama china wazazi huchagua zaidi kupata watoto wakiume kuliko wa kike. Ndio sababu china wanaume ni wengi sana...
  12. JamiiForums Tanzania Afghanstan na ukandamizaji wa wanawake

    Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao. Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu...
  13. JamiiForums Tanzania Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

    Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao. Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu...
  14. JamiiForums Tanzania Tabia yako mbaya kwa mumeo ndio italeta mwanamke mwingine.. wanawake wa nje huondoa udhaifu wa wanawake wa ndani

    SHALOM WANA WA MUNGU ALIE HAI TABIA MBAYA KWA MUMEO NDIO INALETA MWANAMKE MWINGINE KWENYE NYUMBA YAKO MPENDWA ULIEOLEWA MUMEO AKITOKA NJE SHETANI ATAITUMIA KUPATA MWANAMKE AMBAE HANA HIO TABIA UNAYOMFANYIA MUMEO NDANI eg Mwanamke anaemtukana mumewe shetani anamfanya kumkutanisha na mwanamke...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Samia alitengwa na Marais Wanawake kwenye Mkutano wa AU?

    Hakuonekana akijichanganya na wenzake, inasemekana wengi walikuwa wanakwepa hata kupiga naye picha. Mwenye picha zaidi ya hizo atuwekee hapa, nitamshukuru.
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Tumeua Kidogo tu, Nonsense of the highest level

    Alitaka wauawe wangapi ndipo aseme walitosha kuwa wengi. Kwa mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu hawezi tamka maneno kama hayo, ni mnyama pekee asiye na utu au hayawani au wakala wa shetani ndiye anaweza kusema hivyo. Ukiona mtu ana pongeza watu kuuawa kwa sababu yeyote ile hata humu JF...
  17. JamiiForums Tanzania Suruali vazi lenye mlengo wa kuwadhalilisha wanawake wembamba

    Salaam wakuu. Binafsi Sina lengo la kumharibia siku mtu ,au kumkejeli mtu lakini wakuu suruali kwa wanawake wembamba ni kama wanajidhalilisha Naelewa kwamba wanataka wapendeze, waende na wakati ,na waonekane wa kisasa lakini Kuna mambo mengine hapana kwa kweli Samahan kama Kuna yeyote...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kahama bwana

    Mademu wa kahama weng wao njaa nyingi,'weng wametoka pande mbali mbali ili wasake maisha hapa..Na Mala nyingi wanawke waliopo..kahama ni Malay wasitaafu. Dem...kauza mbususu mikoa ya Mwanza ,Dodoma ,Daresalama,Geita,Pwani ,Ameitembeza mbususu mpaka mbeya...huyo anachapa Raba tunduma...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake watakiwa kujiunga na kundi la tff

    Kuna video inasambaa mtandaon ikimuonesha kamanda wa mkuu wa kike wa tff ikiwataka wanawake kujiunga kwa wingi katika kund hilo ili kupigana kwa kile wanachokidai kulipigania taifa kwa kutumia silaha Nawaza tu kund hili likishirikiana na alshabab au isis tu itakuaje??
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya elimu kushindwa kutatua tatizo la ajira, wanawake wengi wanaona mfumo wa haki Sawa ufutwe

    Hamjambo! 1. Ni Ajira za kuajiriwa ndizo ziliwapa kiburi dada zetu. 2. Ni baada ya kuona wakisoma baadaye wataajiriwa na kulipwa Malaki Kwa mamilioni ya pesa. Wakaona watakuwa independent na hawatakuwa na haja ya mwanaume. 3. Kumbuka ajira kama ualimu, udaktari, uanasheria, uhasibu, n.k...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…