Wanawake wanaoomba pesa kwenye mapenzi sasa hivi ndio wanaitwa TAMISEMI?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
61,580
Reaction score
102,577
Screenshot_20260613-190757~2.jpg
 
Imekuwa biashara. Yaani sasa wote ni changudoa tu, ila wapo wale wa barabarani na wale ambao wanatuma sms "baby nimeishiwa, naomba hela ya kusuka/ada ya shule ya mdogo wangu/kodi ya nyumba/kutibiwa/mafuta ya gari/mchango wa harusi ya rafiki yangu/nguo ya harusi/nk, nk, nk, nk, nk, nk!
 
baby naomba sadaka kesho kanisani
 
Baby Nina njaa, baby naomba hela ya sikukuu, baby Nina umwa naomba hela ya matibabu, ndani ya mwezi unakuta anaumwa mara 10 hivi viumbe havina aibu kwa kweli hata ile haiba ya kiuwanamke wamepoteza ni wazuri hao kwenye kubuni mbinu za kuomba hela alafu wengi wao ni pisi Kali au wenye matako
 
Baby Nina njaa, baby naomba hela ya sikukuu, baby Nina umwa naomba hela ya matibabu, ndani ya mwezi unakuta anatumwa mara 10 hivi viumbe havina aibu kwa kweli hata ile haiba ya kuwanamke wamepoteza ni wazuri hao kwenye kubuni mbinu za kuomba hela alafu wengi wao ni pisi Kali au wenye matako
Na tuna Birthday mara mbili au tatu kwa mwaka, u never know who might surprise you with a car😌
 
Imekuwa biashara. Yaani sasa wote ni changudoa tu, ila wapo wale wa barabarani na wale ambao wanatuma sms "baby nimeishiwa, naomba hela ya kusuka/ada ya shule ya mdogo wangu/kodi ya nyumba/kutibiwa/mafuta ya gari/mchango wa harusi ya rafiki yangu/nguo ya harusi/nk, nk, nk, nk, nk, nk!
Na kinachofurahisha na kusikitisha kwa pamoja, usipompa hiyo hela anakuona masikini lakini yeye ambae hawezi kumudu mahitaji yake mwenyewe hajioni kama ana shida yoyote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom