Wanawake tuwekane sawa kuhusu 'kukojozwa'

Wanawake tuwekane sawa kuhusu 'kukojozwa'

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,747
Reaction score
4,153
Wanawake wengi huwa wanalaumu kwamba mwananaume hamkojozi wakati huo huo haelewi chochote kuhusu kukojoa.

Iko hivi suala la sex ni suala la kisaikolojia,huw linakuwa pevu pale mtu ambapo mood yake inakuwa relaxed na attention kwa shughuri hiyo,na suala hilo linapaswa lifanyike katika hali ya utulivu wa akili,mwili na mazingira.

Kwa kawaida mwanaume huwa anakojoa mara moja kisha anatulia mpaka aanze tena,lakini mwanamke anaweza kukojoa mpaka mara 4 kabla ya mwanaume hajakojoa kama yupo katika utimamu kisaikolojia.

Mwanamke una stress za mchezo,vikoba,makolokolo kibao halafu unataka mwanaume akukojoze?
imagine unatoka kazini saa 11,unafika nyumbani saa 5 usiku,umechoka, halafu unawaza kuamka saa kumi kuwahi kazini tena,na unaupwiru unataka mwanaume aichape ukojoe katika hali kama hiyo? thubutu hata kama una upwiru ni bahati sana kwa watu wa chache mno.

Kukojoa kwa mwanaume ni must sio kwa mwanamke(sio kila mwanamke anaweza kukojoa ktk kila tendo) sababu anaathiriwa sana na state of mind,kwahiyo acheni kulaumu hamkojozwi,wakati mkaka wa watu anasimamia kucha mpaka unakauka lakini wapi.
 
Wanawake wengi huwa wanalaumu kwamba mwananaume hamkojozi wakati huo huo haelewi chochote kuhusu kukojoa.

iko hivi suala la sex ni suala la kisaikolojia,huw linakuwa pevu pale mtu ambapo mood yake inakuwa relaxed na attention kwa shughuri hiyo,na suala hilo linapaswa lifanyike katika hali ya utulivu wa akili,mwili na mazingira.

Kwa kawaida mwanaume huwa anakojoa mara moja kisha anatulia mpaka aanze tena,lakini mwanamke anaweza kukojoa mpaka mara 4 kabla ya mwanaume hajakojoa kama yupo katika utimamu kisaikolojia.

Mwanamke una stress za mchezo,vikoba,makolokolo kibao halafu unataka mwanaume akukojoze?
imagine unatoka kazini saa 11,unafika nyumbani saa 5 usiku,umechoka, halafu unawaza kuamka saa kumi kuwahi kazini tena,na unaupwiru unataka mwanaume aichape ukojoe katika hali kama hiyo? thubutu hata kama una upwiru ni bahati sana kwa watu wa chache mno.

kukojoa kwa mwanaume ni must sio kwa mwanamke(sio kila mwanamke anaweza kukojoa ktk kila tendo) sababu anaathiriwa sana na state of mind,kwahiyo acheni kulaumu hamkojozwi,wakati mkaka wa watu anasimamia kucha mpaka unakauka lakini wapi.
Uchafu na shetani ni marafiki zako
 
Mtu yeyote anayewaza mambo kinyume na amri za Mungu. Amri za Mungu kumbuka.
Shetani ni kufikiria mabo machafu wakati usio wake. Difficult to define......in the context of this thread!
KILA KITU KILIUMBWA NA MUNGU,AKIWEPO HUYO SHETANI NA HAYA MAMBO YANAYOITWA YA KISHETANI,SASA NANI SHETANI ?KATI YA ALIYEUMBA MAMBO YOTE NA ALIYEMUUMBA SHETANI?
 
Back
Top Bottom