Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,679
Reaction score
42,659
Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo.

Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako?

NB: Serikali Ithibiti Hawa Motivational Speakers Wana leta Destruction Na Mgawanyiko Mkubwa Wa Kijinsia Na Ustawi Wa Familia
Cc @
 
Serikali tena?
 
Kapewa ka platfomu
anaongea utumbo mtupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom