wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Loading failed

    Wanawake wenye hela ni mwiba mkubwa sana kwa maisha ya wanaume

    1: Utawakuta wengi wao wanapenda shughuli shughuli na katika shughuli zao lazima wawashirikishe mchicha mwiba kutia shamsham na kuwapa sapoti mapapai ili na wao wajione watu wa maana 2: Utawakuta watoto wao wa kiume ni mayai mayai na mapapai ya baadae hakuna wanachoelewa kuhusu uanaume kutokana...
  2. Lucha

    Wanawake punguzeni kutusogezea kwenye Daladala

    Kwanza kabisa samahanini Dada zangu sina lengo baya ila ni kuwekana sawa. Naelewa kuna changamoto sana katika masuala ya usafiri muda mwingine hamna namna kabisa inabidi tubanane mithili ya kukumbatiana. Ila inapokua haina ulazima wa kufanya hivyo basi baadhi ya kina Dada mliobarikiwa mizigo...
  3. Hyrax

    Tafiti isiyo rasmi inaonesha kwamba wanawake wenye nyusi nyingi juu ya jicho wanapenda kufanya mapenzi sana (high sex drive a.k.a libido)

    Copy code; Photo by: AI
  4. kadiri kasimba

    Aina 8 za wanawake ambao watakuchelewesha kimaisha

  5. Mama Ametufikia

    Wanawake wana kitu inaitwa (Emotional Bonding) ,hii hasa ndo sababu ni ngumu single mothers kuacha kuwasiliana na Baba mtoto wake au X wake.

    Leo nimeamua kuwasaidia na maarifa nawapa bure . Kwanini single mothers hata umpe mahitaji yote ya muhimu , she will keep in touch with her EX or single dad . issue kubwa ni Emotional bonding,. Nadhani wanaume watakuwa mashahidi, pale akihitaji kuruka na X baby Mama wake huwa ni rahisi Sana .
  6. Abtali Mwerevu

    Kupenda Wanawake Wenye Makalio Makubwa Kunasababishwa na Njaa

    Inasemekana njaa huchochea wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa. Kwa mujibu wa wataalamu, mtu mwenye njaa ama aliyekulia katika mazingira ya uhaba wa chakula, anapoona mtu 'kanona' hupata faraja na kuona ile ni dalili ya uwepo wa chakula dalili ya mafanikio. Maana yake ni kwamba, watu...
  7. Nipe Maji

    Aina nane ya wanawake wanaoweza kukuchelewesha kimaisha

    Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa. Wanaume wengi mnapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama kwenye tope—hatua moja...
  8. Think2

    Wanawake wa aina hii watakuchelewesha kimaisha bro amka

    Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa. Wanaume wengi tunapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama kwenye tope—hatua moja...
  9. Gospel KTV

    Pombe na wanawake huwapotosha wanaume wenye akili

    Naomba tufungue kitabu cha mithali katika biblia: Mithali 31:4–5 3 Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme. 4 Kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo? 5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na...
  10. Ben Zen Tarot

    Wanawake ni jeshi kubwa

    Unapoambiwa wanawake ni jeshi kubwa usihoji ni jeshi lipi, wewe elewa tu kuwa hawa watu ni jeshi kubwa na wakiamua kuvamia kambi hawatishwi na ukubwa wa adui. Wanapambana na majitu na wanawakalisha chini. Hakika Kipenda roho hula nyama mbichi. Ama Mwenyekiti naongopa?
  11. Mama Ametufikia

    Mtu akisema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?

    Najaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd . Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?. Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu Ila kuhusu miaka 40-72 sifikirii. Ila kutaja miaka ya wanawake wa JF randomly haijakaa sawa...
  12. N

    Ila wanawake 🤣🤣

    Binti wa zamani Mamndenyi Bi zandile shibela Midekoo Evelyn Salt shoga wenu amelia kisa rafikiye katuma picha akiwa na baba yake
  13. Tman900

    Wanawake na Kuhudumiwa

    Kwa Hivi Sasa katika Jamii kumekua na maongezi au Maneno mengi kuhusu wanawake kuitaji Kuhudumiwa. Kijamii za kiafrika, mwanaume napaswa kuihudumia Familia yako. Na mwanaume unatakiwa kutoa mahari ya kuoa mke na kumtunza/ Kuhudumia. Kwa sasa Hivi Vijana Wengi wanapitia katika hali mbaya ya...
  14. Allen Kilewella

    Wanawake wanapambana zaidi hadharani na CCM kuliko wanaume!

    Hii imenishangaza sana, wanawake ndiyo wamekuwa wanapambana na CCM hadharani kwa njia mbali mbali kuliko wanaume. Wanaume kinyume chake ndiyo wanaoongoza kuwatisha watu kuwa wakiipinga CCM watatekwa, watalawitiwa au kuuawa. Nini kinaendelea kwenye hizi harakati za kuipinga CCM hadi wanaume...
  15. ELI COHEN

    Kinachoshangaza ni hawa vijana wa kiume kujishebedua zaidi hata ya wanawake walioalikwa. Iwe jinai kwa sherehe ya aina yoyote yenye maudhui haya

    Generation ya vijana chapati haiwezi koma kama normalization ya namn hii inaendelea katika jamii.
  16. Loading failed

    Wanaume wa kikristo walipieni wasichana mahari na siyo kuwalipia wanawake mahari kama mnavyofanya sasa

    Ndugu zangu. Mahari iliwekwa kwaajili ya kulipia wasichana na siyo kulipia wanawake pindi unapotaka kuoa. Ila cha kushangaza utakuta wanaume wengi wa kikristo wanakomaa kulipia wanawake mahari badala ya kulipia wasicha(binti) huku wazazi wa wanawake hao wanakaza kichwa na kutamka mapesa makubwa...
  17. Davidmmarista

    Wanawake waha 🙌🏻wapo unique sana

    Wadau, kama Kuna mtu ame notice hawa wanawake wa Kigoma waha wapo humble sana na pia ni wife material mno
  18. jamaikatz

    Kuna nchi wanawake wananyanyasika sana

    Kuna nchi wanawake wananyanyasika sana kama Saudi Arabia, Yemen Oman Iran.iraq Afghanistan UAE Qutar n.k.........
  19. Jidu La Mabambasi

    Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

    Wanaumeee! Kuweni waagalifu na mifuko yenu! Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja! Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa! Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale! -anataka simu ya tachi, -vocha...
  20. Now and then

    Kwanini wanawake wakizeeka ndo wanakuja jukwaa hili kutafuta wenza?

    Inatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi. Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato Are you insane?
Back
Top Bottom