Mahubiri ya wachungaji wanawake ni msiba

Mahubiri ya wachungaji wanawake ni msiba

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,304
Reaction score
5,569
FB_IMG_1780989252814.jpg
Wakuu ccm haipo ila ilichokifanya kwa miaka mingi ni kuingza makada kwenye taasisi zote za serikali ambao ndo wanatumika kulinda harufu ya ccm fatilieni watendaji, polisi, wafanyakaz halmashauri, walimu hawa wengi wao ni makada wa ccm ambao waliingzwa huko kwa lengo la kulinda chama hawa ndo wamebaki kutoa harufu ya ccm ila ccm kama chama hakipo.

Alooo nimekuwa nikipata bahati kidogo ya kuwasikiliza hawa wachungaji wanawake huku makanisani ninasikitika sana kwamba wengi wao mahubiri yao yamejaa chuki, visa na visasi, uanaharakati dhidi ya mwanaume.
Wanawafundisha wenzao ni kwa namna gani mwanaume alivyo mtu mbaya sana asiyefaa.
Lakini wanawafundisha kwamba hata bila mwanaume wao wanaweza hivyo wasibabaishwe na mwanaume.
Haya mambo yapo mpk kwenye semina zao wanazoenda huko. Maswali yangu ni haya
Moja je hawa wachungaji wanawake hawa wameolewa na kama wameolewa huko kwenye ndoa zao amani ipo?
Pili ni kwanini wanafundishana kwamba mwanaume ndiye mbaya tu wao wamekamilika, je hakuna jambo jema ambalo wanaweza fundisha kuhusu ndoa na mahusiano ya mke na mume?

Wakuu hebu na ninyi toeni mitazamo yenu najua wapo ambao pia mmewahi sikia mahubiri ya hao wachungaji kama rose shaboka nk......
 
Back
Top Bottom