Jana katika pita pita zangu mitandaoni nikakutana na lile sakata la yule Bi. Mkubwa aliechezea vitasa mjini Moshi baada ya kuhusishwa na fumanizi flani.
Katika hali ambayo iliamsha hisia zangu zaidi ni mahojiano ambayo yalifanyika kati yake na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira...
Wakuu, huko kwenye twitter nimeona wanaume wakimshambulia Ndugu Chris Mauki kutokana na bandiko lake aliloweka huko kuwa wanaume ambao wanaombwa hela na wake zao na kusema kuwa kuna Jambo nafuatilia kila Siku wanasema hivyo, Chris Mauki anasema kuwa hao wanawake wanapaswa kujua kuwa wameolewa na...
Habari wanna JF.
Wanaume siku zote ni watu wanaozungukwa na msongo wa mawazo katika mihangaiko ya kimaisha ha hapa na pale......
Baadhi ya vitu vinavotuletea msongo wa mawazo ni Kama;
1.kuachwa na mwanamke umpendae
2.kumpenda mtu asiekupenda
3.kuwa na madeni lukuki
4.kukata tamaa/kufeli Jambo...
Ni kwanini Wanaume wengi siku hizi wanapenda sana kufanya Ngono ndani ya Magari yao? Hii tabia siyo tu kwamba sasa imeshazoeleka bali kwa jinsi ambavyo ninakutana nayo sasa ni dhahiri kabisa kuwa imeshaota Mizizi.
Katika utafiti ambao hivi karibuni utachapishwa mitandaoni kutoka taasisi moja ya utafiti unaonyesha kua wanawake wengi wanasema kua wanaume kutoka kanda ya ziwa ndio wanaume wanaojua kuhonga kuliko wanaume wote Ukanda wa Afrika Mashariki na kati.
Wanawake walipoulzwa ni makabila gani hasa...
Yapo madhara mengi Na hutofautiana kulingana Na jinsia, umri, Na umbo. Nayo ni;
- Kukosa choo, kupata choo kigumu,
- Constipation au choo kuganda
- Bawasili kutokana Na mfumo wa chakula kuzongwa Na taka mwili hasa masalia ya vyakula visivyo mengenywa (insoluble wastes)
- Kupungukiwa Nguvu za...
Hi guys.
Naomba hizi baraka za dhati ziwafikie WANAUME, Hasa wale wanaume wanaosimamia na kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
Nakumbuka muda mfupi uliopita I passed through a very rough road to hell. Kuna zile nyakati kwenye maisha unatamani kabisa kama ujikane nafsi, yote yanayokusibu yawe tu...
MUME AMWEKEA PILIPILI NA KUZIBA NA GUNDI NYETI ZA MKEWE
POLISI katika Kaunti ya Taraka Nithi nchini kenya, wanamshikilia mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la James Muriuki, kwa tuhuma za kumuwekea Mke wake Pilipili kwenye sehemu zake za siri na kisha kumziba na gundi.
Kwa mujibu wa...
Nilikuwa naangalia movie ya kinigeria.
Basi kuna msichana anafuatiliwa na mwanaume ila huyo dada hataki yule dada alipomwambia ukweli yule kaka akaanza kumdis oh wewe ni shepless sijui ungekubali nisingekuleta kwangu ninapoishi sijui ningekutumia kichakani au lodge ya mbali hufai .
Yaani...
Polisi wanamsaka mwanamume mmoja kwa madai ya kuziba sehemu za siri za mke wake na gundi kwa sababu ya kutomuamini.
Kisa hicho cha kushangaza kilitokea katika Kaunti ya Tharaka Nithi huku mwathiriwa akiwasimulia polisi namna alilazimishwa na mume wake kuvua nguo kabla ya kuanza kumhoji...
Au labda Mwenyezi Mungu alivyowaumba Wanawake hakuwawekea ile roho dhaifu ya kutaka Kujitoa Uhai ( Kujiua ) kama ambayo inaonekana kwa Wanaume hiyo Roho si tu kwamba aliiweka bali aliigundisha kabisa na Super Glue kama si Gesi au Shaba ili isitoke milele?
Wanawake wote mliopo hapa JamiiForums...
Hili suala mimi binafsi limekuwa likinitesa sana pamoja na kuwa nje kwa mda mrefu na mahusiano tofauti tofauti lakini linapokuja suala la kuoa napata wakati mgumu sana nikiwa naamini kwamba mwanamke wa ndoto yangu atatoka ukanda wa Africa mashariki.
Na hii sio kwangu tu black wengi ambao...
Sio mpenzi sana wa jukwaa hili ila kuna tabia nimeiona imenishangaza baada ya kwenda likizo home kama unavyojua janga la corona.
Kuna wapangaji pale home huyu sasa ni mwalimu ameoa unamkuta anafua nguo za ndani za mkewe, nguo za mkewe watoto, anaosha vyombo na kupiga deki ndani duh! Ukweli...
Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa.
Wanaume wengi utawakuta wameoa wanawake ambao wako nje na malengo yao ya zamani na maisha bado yanakwenda.
Wakati mwingine huwa...
Kwanza mwanaume akishakuzoea romance zinapungua anaanza ubinafsi wa kujiridhisha mwenyewe. Hapo ameshatoka kunywa bia zake utasikia mimi ninalala kesho nina mkutano wa muhimu sana.
Sasa hii corona si unajua michongo mingi imekata. Ile hela ya bia hana sikuhizi anashinda nyumbani na bukta...
Baadhi ya Wanawake katika eneo la Trans Nzoia Kenya wamelalamikia tabia ya Wanaume kukata sidiria za Wake zao na kuzigeuza barakoa(mask) kwa madai ya kukosa pesa za kununua mask ili kujikinga na corona ” Wazee wanakata Bra (sidiria) zetu na kuzivaa, tena wengine hawajawai hata kutununulia...
Habari wana jamvi wenzangu. Leo nitazungumazia juu ya aina ya wanawake ambao wanaume wengi hupendelea kuoa.
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mwingi kuchunguza mambo mengi juu ya wake ambao...
Mtaani kwetu kuna chizi kasaidiwa na police kwenda hospital kujifungua but cha ajabu alomtia mimba haonekani.
Nachojiuliza je kufikia hatua ya kumla chizi mtu anakua domo zege ama anakwama wapi?
karibuni tujadili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.