Mwanamke usishiriki mapenzi na mtu wa aina hii

Mwanamke usishiriki mapenzi na mtu wa aina hii

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,712
Unajituma mwenyewe ukienda kwa boyfriend wako unamfanyia usafi, unampikia, unamfulia nguo, halafu kwa ujinga wako unampa na mapenzi moto moto.

Unajikunja mwenyewe kama kambale kwenye sex mtoto wa watu viuno feni na vilio juu vya mahaba, unampa mpaka style za akiba za kwenye ndoa mpaka unataka kuvunja mgongo.

Yaani hadi shetani anakaa kando kujifunza toka kwako halafu baada ya yote hayo unatoka umechoka mpaka nyonga zinakuuma dada angu.

Boyfriend wako anakusifia na kukuambia kwamba ATAKAYEKUOA ATAFAIDI kweli
🏃🏾‍♂
🏃🏾‍♂
🏃🏾‍♂
😁
, hapo utaamini kweli uchawi upo na aliyeturoga wanaume alishakufa
🏃🏾‍♂
🏃🏾‍♂
🏃🏾‍♂
.

Kitunze Dada angu kiendelee kuwa mnato, kinukie mpaka kwa majirani huko hakuna kumpa huduma za mke mwanaume ambaye haonyeshi mwelekeo wa kukuoa.

Hakuna kumvulia chupi na kumchanulia miguu mithili ya fungu la kuni tulizokuwa tunaagizwa na walimu shuleni, kuna kukupa na kukuvika taji la thamani ya uanamke wako yaani ndoa.

2020 ndoa bila kuvua chupi inawezekana. Uamuzi ni wako jiamini, jithamini na jifunze heshima yako baki na utamu wako usitanue kizazi bure kwa mwanaume suruali ukaja muona mume wa ndoa baadae kibamia kumbe wewe ndio uligeuza kijito cha utakaso wa neema kuwa BWAWA la kijiji kila mtu anavua samaki atakavyo...!!!!!

MIMI SINAGA KAWAIDA YA KUFICHA MAMBO KAMA KUTUKANA TUKANENI TU
🤣

NSHAMALIZA 😡😡 MABAHARIA NICHUKIENI TU KWANI NINI?😎

Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?
 
Attachments

  • FB_IMG_1562059450339.jpg
    FB_IMG_1562059450339.jpg
    11.3 KB · Views: 16
  • FB_IMG_1563779529273.jpg
    FB_IMG_1563779529273.jpg
    122.6 KB · Views: 14
Ushauri wako haufui dafu mbele ya nature ndugu!.. watakuja tu hata kwa nguvu ya pesa kama sio nature na ikibidi akizingua sana tunahamia kwenye teknolojia kandamizi!.. kwani hirizi inayopumua shingapi..😜😅

Uliyoyasema hata malaika walishindwa kuyatekeleza wakajazini na binadamu Sasa hao kina miss buza na slay nini sijui wataweza wapi kuuvunja mfupa uliomshinda fisi ndugu..😂
 
We jamaa mbingu utaishia kuisikia tu 😀
 
Back
Top Bottom