wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Y

    JamiiForums Tanzania Wanaume tupunguzeni tamaa za ngono

    Mtaani kwetu kuna chizi kasaidiwa na police kwenda hospital kujifungua but cha ajabu alomtia mimba haonekani. Nachojiuliza je kufikia hatua ya kumla chizi mtu anakua domo zege ama anakwama wapi? karibuni tujadili
  2. haszu

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume tukinyoa mustache (sharubu) sura inabadilika unakuwa mbaya

    Kwanini wanaume tukinyoa mustache (sharubu) sura inabadilika unakuwa mbaya. Yaani kwakweli natamani nisinyoe, maana unakuwa unaonekana kama nini vile.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Eti wanaume utamwoa mtu mwenye tatoo? Na wadada je utaolewa na mwanaume mwenye tatoo

    Je ukimpenda mtu ukajua anatatoo na nibaada ya kumtolea posa utafanyaje ? Na mwanamke umeshatolewa poswa na mwanaume ukaja jua yule aliyekuposa anatatoo utamkubali akuoe?
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanawake si wabinafsi kama wanaume mnavyotuchukulia, huwa tunawaza msiyo ya waza

    Wanawake tumetoka sayari ya Zuhura (Venus), hata mawazo yetu yako ki Zuhura tofauti inaanzia hapo. Mwanaume anawaza mambo makubwa lakini anasahau kuwa haya madogo yakikosekana tofauti itaonekana Mwanaume atanunua kiwanja, atajenga nyumba lakini hafahamu kuwa deco ndani ya nyumba ni muhimu na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume Single mnasubiria nini?

    Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki? Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo. Hamuoni ni muda wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunatia aibu, inakuwaje mwanaume unafanya haya!

    Asalam aleykum Wakati tunaendelea kujikinga na ugonjwa wa Covid-19. Naomba kutoa maoni yangu. Uyachukue au uyaache lakini ukweli u-prevail. Kihistoria ya human evolution toka maisha ya enzi yaani early stone age , middle stone age na late stone/ iron age binadamu akipitia ktk hatua mbali mbali...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanaume haya ya kulogwa huwa mnayatafuta wenyewe

    Abeid akiwa na umri wa miaka 42, amefanikiwa kuwa na kazi, ndoa na watoto. Kazini sasa ni mmoja wa mameneja, na yeye lunch analetewa mezani kwake. Kule ofisini alianza uhusiano wa kimapenzi na katibu muhtasi. Mke aligundua baada ya jeuri za katibu muhtasi kupita mipaka. Mke alilalamika sana...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hii ndio aina ya wanaume wengi wa JF MMU, wanaune mko vizuri mno

    Habari za sasa wana JF MMU. Nikiri kuwa ukifatilia stori za hapa na pale zinazopostiwa humu JFs utagundua kuwa wanaume wa humu wengi wamejaaliwa, wananemeka, wanabahati, wana mazali ya kufa mtu. Kwanza wanaume wa humu wana sifa zifuatazo 1. Wote ni mahandsome 2. Wote wana pesa, magari, majumba...
  9. malisak

    JamiiForums Tanzania Wanachokosea wanaume wakati wa kutongoza

    1. Papara Wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako. 2...
  10. malisak

    JamiiForums Tanzania Makosa wanayofanya wanaume walio kwenye ndoa

    Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo. Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako. Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa. Kumsifia rafiki au ndugu wa...
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanachezea bahati sana

    Kuna wanaume wanachezea bahati sana, sikiliza haya mahojiano upate cha kujifunza...
  12. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuhusu mama chui na watoto wake

    Mama Chui akizaa watoto wake anawalea wakishakua anawaacha anaenda porini anakaa kama juma hivi akirudi anawatisha watoto wake. Yale watoto walioshtuka wakakimbia hawawi chui tena ila wale watoto waliomtambua mama yao wanabaki na mama yao na wanakuwa chui (katika uhalisia wake). Kwa sisi wachaga...
  13. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanapenda kufanya hivi wakati wa ku-sex?

    Hivi kwanini wanaume wakati wa ku-sex wanapenda kuangalia machoni. Wanakuwa wanafanya huku wanaangalia mwanamke machoni direct, hawaangalii pembeni. Halafu wakiwa wanafanya hivyo wanaongeza na speed ya ku sex. Kwanini huwa mnapenda kuangalia machoni? Kuna sababu gani ya kufanya hivi?
  14. Bazazi

    JamiiForums Tanzania Mambo Kumi Marufuku kwa Wanaume!

    1. Kusomesha mchumba 2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako. 3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali. 4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako. 5. Kumwamini mwanamke/mke wako kwa 100% (mwamini kwa mama yako tu kwa kiwango hicho au zaidi) 6...
  15. cutelove

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi hampaki makalio yenu mafuta

    Wanawake wengi wamebaini kuwa mwanaume unaweza kumkuta anang'aa uso, na sehemu zingine ila makalio yao yamepauka na wengine yanatoka ukurutu kwa sababu ni nadra sana kupaka makalio yao mafuta baada ya kuoga. Ni mjadala nilioukuta saloon moja hapa mjini kati. Wanaume jipakeni mafuta na makalio...
  16. Jadda

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

    Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?
  17. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Jinsi wanaume wa kisasa wanavyomezwa na matakwa ya wanawake

    Katika lugha ya kiingereza kuna maneno mawili muhimu sana: NICE na GOOD. Katika suala la mahusiano tunapata maneno nice guy na good guy. Twende kwenye mada. Zamani ambayo ndiyo asili haswa, mwanamume alijifunza ama alifundishwa kuwa good guy, yaani ni mwanamume anayejua majukumu yake, aliweza...
  18. Dick Monger

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Naandika kwa masikitiko, yaani najihisi kama mimi ndiyo nimetendewa ukatili huu! Stori ipo hivi, juzikati nilimtembelea shoga'angu mmoja ambaye anaishi Sinza, stori zikanoga huko na kwa sababu sikuwa na kitu cha msingi cha kunifanya nirudi kwangu, hasa kwa kuwa ilikuwa wikiendi, nikaamua ngoja...
  19. To yeye

    JamiiForums Tanzania Samahani wanaume naomba kuwauliza swali

    Habari za masiku? Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu. Ni hivi, kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana, lakini inatokea mwenzangu...
  20. moniccca

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wengine walipaswa kuwa wanawake kabisa

    Unakuta mwanaume mzima unaongea nae haishi kula kucha, mara kuchora chini kwa kidole cha mguu, Mara kuangalia pembeni yaani wanafanana na wadada kwa kila kitu. Hivi wanaume kama nyie huwa mnatongoza kweli? Au ndo type ya madomo zege? Karne hii dume limejaa aibu tena mbele ya mwanamke loh...
Back
Top Bottom