Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

Requal

JF-Expert Member
Jun 5, 2020
1,025
1,905
Hapa nilipopanga asilimia kubwa tupo vijana wa kiume na wote tuko na mishe zetu, mkubwa ni jamaa mmoja hivi ambae ni Mhandisi kwenye taasisi flani. Huyu jamaa ameoa, sijui yeye na mke wake walikutana vipi lakini mke wake ni mkubwa kwake ana watoto watatu wakubwa, mtoto wake mmoja mkubwa wa kike nae ana watoto, wa pili kaolewa na watatu yuko hapo wanae anasoma kidato cha pili,..huyu bwana yeye hana mtoto nje lakini amezaa na huyu dada mtoto ambaye sasa ana miaka 6 ndio yuko nursery.

Jamaa ana pesa kiasi chake na kazi zake hakai wiki bila safari za kikazi, mke ni mzuri lakini ni aina ya wale wanawake wajanja wajanja sana, na analika sana japo jamaa hajui, tena na watoto wadogo tu ambao wangefaa watembee na watoto wake, rafiki yangu alishawahi kumla ndani kwake humohumo,

Sasa Jumamosi hii tulikuwa nyumbani wote tunapiga stori na Jamaa alikuwepo, Kwa sababu jamaa ndio mkubwa kiumri akaanza kutoa nasaha.. "Wadogo zangu naombeni niwape ushauri ikija kutokea mmeoa", Basi tukawa tunamsikiliza kwa makini anachoongea, maana tulijua anazungumzia labda tabia zetu za sketi tofauti tofauti wanaokuja pale. Akaanza,

"Ukioa, Usiruhusu ndugu yako yeyote aje nyumbani kwako, wawe wazazi wako, wadogo zako na aina yeyote ile ya ndugu, wanaweza kusababisha msielewane na mkeo" Hao malizaneni nao kwenye simu au kama kuna jambo la maana kutaneni sehemu mlimalize then kila mtu aendelee na mambo yake".., Akaendelea, Unaona mimi ninavoishi vizuri na mke wangu? ni kwa sababu siruhusu ndugu waje hapa. Ikabidi kila mtu awe kimya aongeze umakini huku tunamchora tukiona kumbe huyu jamaa naye kapoteza nati za ubongo.

Kweli jamaa tangu tuwe pale miaka miwili sasa, sijawahi kuona ndugu yake hata mmoja, lakini ndugu wa mke wanapishana kila siku.., Nimejikuta namdharau sana huyu Brother japo nadhani yeye alifikiri tumeridhika na ushauri aliotupa, nimeshindwa kabisa kumuelewa, au lile ndio limbwata lenyewe? Yaani nisimruhusu mama yangu afike kwangu, mdogo wangu..Daah kuna wanaume mna roho ngumu aisee

Angejua mke wake anavyosuguliwa akiwa hayupo, asingeleta ule ushauri wa kipuuzi, yule Jamaa ni zaidi ya mpuuzi ambao nimewahi kukutana nao tangu mwaka huu uanze.
 
Na tayari kashanipa sababu ya kumla na mimi mke wake, Pumbavu zake

Hapa ndio umeuharibu huu uzi.....!!!!.
 
Mimi ni mwanamke nimeona uzi nikaona una mashiko ila huku mwisho ndio nikaona dhamira tofauti.
Acha tuone wengine wanasemaje
Dhamira tofauti, hapana! wewe ndio umesema hivo..kama kulika mbona analika tu hata bila kuasema hapa, hiyo ni sehemu ndogo sana ya andiko... hebu achana nayo
 
"Ukioa, Usiruhusu ndugu yako yeyote aje nyumbani kwako, wawe wazazi wako, wadogo zako na aina yeyote ile ya ndugu, wanaweza kusababisha msielewane na mkeo" Hao malizaneni nao kwenye simu au kama kuna jambo la maana kutaneni sehemu mlimalize then kila mtu aendelee na mambo yake".., Akaendelea, Unaona mimi ninavoishi vizuri na mke wangu? ni kwa sababu siruhusu ndugu waje hapa. Ikabidi kila mtu awe kimya aongeze umakini huku tunamchora tukiona kumbe huyu jamaa naye kapoteza nati za ubongo.

Angejua mke wake anavyosuguliwa akiwa hayupo, asingeleta ule ushauri wa kipuuzi, yule Jamaa ni zaidi ya mpuuzi ambao nimewahi kukutana nao tangu mwaka huu uanze.
Hapa ilitakiwa umtie kofi la uso...ili azinduke kwenye usingizi uliompumbaza.... 😁😁😁
 
Mnavyofanya sio vizuri kumlia mke wake naamin hata wake zenu wataliwa (what goes around comes around) na mmesahau kuwa wanawake ni viumbe dhaifu. Kuhusu jamaa ushauri wake sio mzur hati ndgu zangu wasije home hapana aisie. asante.
 
My brother nikuambie kitu..

Sisi binadamu tunapendaa vitu tofauti na ndo maana hata maisha yetu yako tofauti.

Huyo kaka Hana tatizo na ndomaana yuko na mkewe mbaka hii leo. Ila wewe ndo una tatizo kwanini uone mapungufu ya mwanamke ambaye sio wako.

Inaingia vipi akilini kusema Hana akili ?

Kwa kuwa mkewe analiwa?

Kwa kuwa mkewe kamkuta na watoto kashazaa!?

Mwanamke au mwanaume kuchepuka ni hulka binafsi.. jamaa akili anazo ndo maana hajajua mkewe analiwa kisela mtaani.
 
Mkuu mimi sjamla, pale kamla mmoja tena kwa mazoea yake ya ajabu.

Kuna jamaa pale ni mkaguzi kutoka office ya NAO(mkaguzi mkuu wa serikali) nae pia ni mtu wa safari huyu mwanamke akamuomba ufunguo ili wadogo zake wawe wanamfanyia usafi wa nyumba na nguo sijui walianzia wapi mpaka wakafika huku, jamaa akawapa , jamaa akawa anapelekewa hadi chakula akiwa yupo, kumbe ilikuwa ni target awe kwenye mahusiano na mdogo mtu, Jamaa akajiongeza, Akala mdogo mtu, mkubwa na yeye mwenyewe kila mtu kwa wakati wake.

Yaani jamaa akawala watatu wote wa tumbo moja
 
Kuchapiwa Ni Siri Ya Ndani
Usihofu Hayo Mambo Mengi Sana Ni Ya Kawaida Kwenye Ndoa, Muhimu Sana Hajaona Sawa
Omba Tu Nawe Yasikukute Hayo
 
Huo ushauri uko sawa mkuu? Umeoa?
Wazazi wako hawafiki kwako?
 
Kuchapiwa Ni Siri Ya Ndani
Usihofu Hayo Mambo Mengi Sana Ni Ya Kawaida Kwenye Ndoa, Muhimu Sana Hajaona Sawa
Omba Tu Nawe Yasikukute Hayo
Mzee umeoa? Wazazi wako hawafiki kwako?
 
Mkuu mimi sjamla, pale kamla mmoja tena kwa mazoea yake ya ajabu.

Kuna jamaa pale ni mkaguzi kutoka office ya NAO(mkaguzi mkuu wa serikali) nae pia ni mtu wa safari huyu mwanamke akamuomba ufunguo ili wadogo zake wawe wanamfanyia usafi wa nyumba na nguo sijui walianzia wapi mpaka wakafika huku, jamaa akawapa , jamaa akawa anapelekewa hadi chakula akiwa yupo, kumbe ilikuwa ni target awe kwenye mahusiano na mdogo mtu, Jamaa akajiongeza, Akala mdogo mtu, mkubwa na yeye mwenyewe kila mtu kwa wakati wake.
Hatari sanaaa
 
Back
Top Bottom