Katika uzoefu wangu wa sleepover hizi over the years nimenotice wanaume mnapenda baridi Sana yaani Full ac au mfeni usiku kucha.
Sipendi joto ila sipendi baridi. Kuna mchepuko huo kidogo usiku nife kwa pnemonia. Yaani mwili wote kama barafu ukigusa kalio kama umeshika barafu yaani.
Shida ni...
Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi.
Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda...
Katika kipindi cha leo "Mahusiano katika familia" kinachorushwa na Radio One, kulikuwa na hiyo mada. Katika maongezi na majadiliano yaliyojiri imebainika kuwa wote wawili (me/ke) ni waathirika wa Simu ya mkononi.
Swali la msingi Je, wewe ni mwathirika wa simu ya mwenzi wako? Kama ni mwathirika...
Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Alhamis, bungeni Dodoma, amemwomba Rais wa Tanzania, Suluhu Samia kuitisha Kikao Maalum cha Wanaume pekee ili kuwawezesha kujadilia masuala mbalimbali yanayowahusu. “tunaomba Rais aite mkutano wa wanaume tu.”
Nini Maoni yako?
Spika wa Bunge, Job Ndugai ametaka kuanzishwa kwa dawati la wanaume ambalo litakuwa linashughulikia changamoto wanazokumbana nazo wanaume. Amesema kwa sasa mkazo umekuwa zaidi kwa wanawake, watu wakidhani wanaume wapo salama, jambo ambalo si sahihi.
"Tutamuomba Mhe.Rais siku nyingine aite...
Habari wadau.
Sisi tulio kwenye ndoa tunapigwa sana kwenye familia. Wanawake wamekuwa wabishi kama wenyeviti wa Serikali za Mtaa, yaani hawataki kutusomea mapato na matumizi ya familia.
Hivi kwa nini wanawake wa kibongo hawataki kusikia habari za daftari la familia, namaanisha wanatakiwa...
Matiti yenyewe hata hayatoi maziwa lakini utakuta mtu anakazana kunyonya mpaka yanabadilika rangi yanakuwa mekundu mpaka unahisi maumivu hata watoto sidhani kama wananyonyaga mpaka wanawaumiza mama zao.
Hivi mnapata nini kwenye matiti ambayo hata hayatoi maziwa?
Bunge la 12 Mkutano wa 3 Kikao cha 47 kinaendelea leo bila uwepo wa wabunge wanawake ambao wameelekea ukumbi wa Jakaya Kikwete kwenye mkutano wa Wanawake wote bila kujali itikadi na Rais wa JMT mh Samia.
Hakuna kupigiana makofi waka mbwembwe zozote ni moja kwa moja kwenye mada.
Pia soma > LIVE...
Habari za mchana ndugu zangu.
Baada ya chama kukubaliana kuhusu kukaza masharti ya kuhonga, sasa wanawake wamekuja na mbinu moja matata sana. Tafadhari sana usije ukauza mechi kwa hawa wasichana wa siku hizi. Ukikubali tu, basi hiyo ni one mistake. Ukishafanya nae, the next week anaanza story...
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
Aisee kulala na mwanamke kitanda kimoja ndani ya wiki moja tu sio mchezo yaani kwangu mimi ni kero ya hali ya juu sana na inahitaji uvumilivu wa kiwango cha mwendo kasi!
Imagine kwa wanaoishi na wake kitanda kimoja miaka na miaka wanastahili tunzo aisee...
Kutokana tafiti mbalimbali za wataalam wa Takwimu (worlddata.com), mifumo ya uzazi ya wanawake(Gynaecologist),maswala ya ngono na mahusiano(sexologists).
Ni kwamba,
Kwa zaidi ya 70% ya wanawake wote duniani,
1. Mwanamke akiwa katika hali ya kawaida RELAXED MODE
[emoji117]Uke wake unakua na...
Heshima kwenu wadau MMU
Kuna huu usemi ambao huwa wanapenda sana kuutumia watoto wa kike pindi unapokua shemeji yao hasa ukiwa unatoka kimahusiano na rafiki yao wa kike.
Usemi huu ni wakawaida ingawa kila mmoja wetu huenda akawa anautafsiri kwa namna anavyoona inafaa, wengine husema kwamba...
Nnawasalim sana wakuu, nnaomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Ni hivi mimi ni mwajiriwa na niko mkoa fulani, familia yangu iko Mkoa Mwingine. Sasa baada ya kuja hapa ktk pitapita zangu nikakutana na binti mmoja mzuri tu na mwenye sura ya upole na mtulivu, yeye anafanya kazi sector binafsi...
Wanaume wengi kwenye mambo ya kujirusha wanaangalia vitu vya nje vile vinavyotamanisha, kuwapa mzuka na kuwatega ila inapokuja kwenye suala la kuoa huwa wanaangalia mke na sio mwanamke tuu.
Wanaangalia mambo ya ndani kama tabia na akili ya maisha na sio yale mambo ya nje tena.
Ya ndani yakiwa...
Niliwahi kukutana na binti ni mwaka sasa umepita nilikua na.date ila rasimi nimejitoa takribani wiki sasa,
Msichana ni mrembo mzuri, ana shape alafu kiumri ni mdogo sana yuko under 22, ukimwangalia sura kama ya kitoto.
Ila nlkua nadate nae mpaka mama ake anajua, ila hajatulia maana wki mbili...