Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
8,134
2,000
Kimtazamo unaweza kudhani ni kweli wanaume hatupendi Malaya! Lakini kiuhalisia sivyo kabisa! Leo nawasanua muelewe somo hili mjifunze! Asilia (Nature) haitaweza kubadilika kamwe! Mwanaume kaumbiwa matamanio mengi mwilini! Mbaya zaidi matamanio hayo yanahitaji kutibiwa immediately pasipo kuchelewa.

Mfumo wa matamanio kwa mwanaume umekaa kama haja! Ukibanwa sharti ujisaidie hata porini almradi tu haja itoke! Hivyo pori litakalokustili Leo ukajisaidia haja hata ukiambiwa lina miimba ww hujali sana, cha mhimu unawaza ukibanwa litakustili fasta! Ndivyo ilivyo kwa mwanamke Malaya alivyo na thaman kubwa kwa mwanaume.

Mwanamke Malaya anatambuliwa na ubongo wa mwanaume kama LULU inayostarehesha! Hivyo ni rahisi sana mwanamke Malaya kuolewa kuliko huyo anaebana bana kutoa penzi! Mwanamke hata awe katoka guest kutafunwa mda huo, akipita kwa mwanaume rijali huonekana anafaida kwa matumizi ya baadae hivyo ni asset!. Kama hauamini ebu tafakari! Ebu tafakari ni Malaya wa ngapi wameolewa na tabia zao zinafahamika wazi.

Tena wengine hata ndoa 5 zote wanaolewa na matarumbeta, lakini mrembo aliyetulia tabia akizeekea nyumbani kwao! Halafu kibaya zaidi wanawake wengi waliotulia, wakiamua kutoa kutoa mbususu hujikuta wanatiwa mimba chap na kutelekezwa kwasababu hawajui mbinu za kukwepesha Mimba, hawajui kula p2, hawawezi kutoa Mimba, hawawezi mchezea mwanaume amwage inje siku za hatari, hawawezi kutoa tigo siku za hatari! Hivyo mbinu pekee ya kuepuka hayo wao HUZINGUA KUFANYA MAPENZI (umalaya) KWA KUSUBIRI NDOA na kuhesabika ni wasumbufu, wasioelewa, wabishi na katili.

Kwahiyo Nathibitisha kwenu Leo, Wanaume hupenda zaidi Mwanamke Malaya kuliko watulivu! Ewe mwanamke kama unataka ndoa chap, Jichetue, Toa Papa Mara tano halafu omba pesa Mara moja au mbili, Ukifanya hivyo kwa wanaume watatu lazima mmoja atangaze ndoa fasta! Lakini hii njia ya nipe Nikupe,yaani toa pesa kwanza ili nikupe penzi. Hakika ndoa kwenu mtaisikia.

UMALAYA WENYE MALENGO HAUCHELEWI KUJIBU.

Wanaume hupenda Malaya ingawa tunaonekana tunapinga! Hata huko bungeni yule mbunge aliyesemekana kavaa nguo za utupu, Shingo za wanaume zilikatika kwa kumgeukia kwasababu Malaya anagusa mtima! UMalaya ni kama sinki la choo! Linasemwa vibaya sana lakini kila mtu analo nyumbani kwake anafrash kimya kimya.
 

Demi

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
25,257
2,000
Ndo mana akaitwa mke,, kunatofaut kubwa kat ya mke na mwanamke wa nje,,
Woi. Kuitwa mke Kuna raha Kama unapendwa na kuheshimiwa. Sio kila siku unapigwa matukio unatambua kabisa mume wangu anavua malaya tofauti kila siku hlf upo unajigamba wewe ni mke.

Wakati moyoni unasononeka, unadharauliwa wazi wazi unatamba na Pete yako eti wewe ni mke.
Inapita zaidi ya mwezi mume hajakugusa maana humvutii tena upo tu hapo home Kama msichana wa kazi.

Raha ya ndoa mume akutake kila siku, yaani anakutaka haswa na unajua kabisa so rahisi atoke nje ingawa anaweza kutoka lkn bado unapendwa na unatambua.
 

Japkas

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
1,191
2,000
Ili nikubaliane na haya maneno yako kwanza tukubaliane na maneno haya; "WANAWAKE WOTE WALIOOLEWA ASILIMIA KUBWA NI MALAYA NA UMALAYA NDIO ULIOWAPA NDOA ". Hapa ni kutia ndani mama, dada, shangazi na wengine unaowafahamu. Pia tukubaliane WANAUME TUMEOA MALAYA KWA SEHEMU KUBWA

Kama haiko hivyo sikubaliani na wewe ingawa kuna ka ukweli umesema kuhusu wanaume.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 

Watery

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
1,911
2,000
Inategemeana na mtu, watu maboya maboya wa mapenz malaya ni rahis kuwashika maana malaya anajua sana kucontrol wanaume wazembe, na wanaume wazembe ni wengi, mwanamke anaejithamini sana anathamani mbele ya mwanaume mwenye akili, na anaejua nini maana halisi ya familia

Kiufupi wenda wazo ni baya au zuri siku zote inategemeana na akili za watu wanaosikiliza
Wazo la kidini litafurahisha wapenda dini, wazo la mapenzi na ngonongono litafurahisha wapenda ngono na mawazo ya biashara yatafurahisha wapenda biashara, tegemea wazo la wachawi lifurahishe wachawi na sio wapenda dini na wazo la kimziki lifurahishe wanamziki na sio watu wa biashara
Wengi watasema umekosea wengi watasema umepatia ila ukweli utabakia kwa aina ya mtu anaekujibu
 

princess ariana

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
6,152
2,000
Mnyazi Mungu akuweke sana udugu wangu Dmkali
huo ndo ukweli, wanaume wanapenda malaya, aivo nna udugu wangu mwenyewe Zainab malaya wa mburahati anaolewa kutwa mara 3, mie nipo tu kama yatima niliesuswa, Poooh malaya nimefungwa kuolewa... Aivo naenda kisarawe kwa bibi angu kambaulaya malaya wa TANU mwenye ndoa 7 akanifungue!

Poooh ukweli ndo huu udugu wangu Dmkali malaya ndo wanaolewa, sisi watulivu tumekalia Salamaleko Mnyanzi Mungu atusaidie.
 

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
8,134
2,000
Ili nikubaliane na haya maneno yako kwanza tukubaliane na maneno haya; "WANAWAKE WOTE WALIOOLEWA ASILIMIA KUBWA NI MALAYA NA UMALAYA NDIO ULIOWAPA NDOA ". Hapa ni kutia ndani mama, dada, shangazi na wengine unaowafahamu. Pia tukubaliane WANAUME TUMEOA MALAYA KWA SEHEMU KUBWA

Kama haiko hivyo sikubaliani na wewe ingawa kuna ka ukweli umesema kuhusu wanaume.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Uko sahihi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom