Kwanini wanaume wengi mnapenda kulala na ubaridi? Full AC au Feni?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,557
45,827
Katika uzoefu wangu wa sleepover hizi over the years nimenotice wanaume mnapenda baridi Sana yaani Full ac au mfeni usiku kucha.

Sipendi joto ila sipendi baridi. Kuna mchepuko huo kidogo usiku nife kwa pnemonia. Yaani mwili wote kama barafu ukigusa kalio kama umeshika barafu yaani.

Shida ni nini wakuu?

Ndio maana sipendi kulala kwa watu kwa kweli shida tupu.

1623829643421.png

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom