Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,502
- 25,108
Hi guys,
Hope mpo sawa,
Nimefikiria hili jambo baada ya juzi kuwa kwenye shughuli flani ya send-off ya rafiki yangu, na kumuona baba yake mzazi akilia machozi yaani ile lia huku anajikaza na kuficha, wakati Mama yake alikuwa tu sawa usoni, ya moyoni siyajui!
Nilizoea kuona wamama ndiyo huwa wanalia zaidi, Kulia Baba kulinifanya nijiulize ni machozi ya furaha, au ni kawa tu emotional? Ama kuna kitu anafikiria kuhusu bintiye, sikupata jibu na sikuweza uliza yoyote ila kiukweli ile hali ilinifanya nijiskie vibaya,
Nikafikiria kuhusu yule mzee wangu, jinsi anavyonijali na kunipenda vile na yeye atajiskiaje siku akijua officially ndiyo naondoka mikononi mwake, atajiskia vibaya kwamba sasa binti yake unaenda chini ya uangalizi wa mwanaume mwingine tofauti na yeye.!? Or will he be proud of himself for raising Me well.??
Eti wanaume, utajiskiaje huyo bintiyo kwa jinsi unavyompenda hivyo, ikafika siku ndiyo anaenda officially kwenye usimamizi wa mwanaume mwingine tofauti na wewe?? Mwanaume usiyemjua tabia zake, hujui kama atampenda kweli na kumjali kama unavyofanya wewe, utakuwa na amani kweli?? Ama kwa wale tayari wako na experience ulijiskiaje siku ulipoozesha binti yako.!? am just being curious honestly..!