Wanawake mjitahidi sana pale mnapotofoutiana na wanaume zenu huko kwenye ndoa msikutane na sisi wanaume

nyboma

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
1,813
2,000
Hii kitu ni mbaya sana kwa wanawake, kwa ufupi nimegundua ndoa nyingi zina mifarakano mikubwa na wenza wengi wanaishi ili siku zisonge tu.

Hisia na kujaliana kwa wenza wengi hakupo tena, wanaume wengi pia hawajali kuhusu kujua ratiba za wake zao zipo vipi.

Mwisho kabisa niwaase wana ndoa kama mmeshindwana na mmeona hamuwezi kumaliza tofouti zenu ni vyema mkatalakiana ili kila mmoja awe huru.

Hii puuza puuza na kuyachukulia mambo juu juu ndio mwisho wake hupelekea vipigo ambavyo hupelekea vifo kwa akina dada ama kuambukizana magonjwa sugu ya zinaa ambayo hayana tiba.
 
nyboma

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
1,813
2,000
HAKUNA MWANAMKE RAHISI KUMPATA KAMA MKE WA MTU
Kabisa nimeamini, jana ni roho wa Mungu alinitembelea tu maana alikua na msongo alikuwa anakunywa savana kama maji mwishowe alitepeta…

Nilichofanya nilimnunulia maji ya kutosha akanywa glass kadhaa pale nikampakia kwenye gari nika drive hadi getini kwake nilipohakikisha kaingia ndani nikaondoka zangu kwenda kupumzika…

Maana ningemuacha aondoke peke yake katika mazingira yale likatokea la kutokea mimi ndio mtuhumiwa wa kwanza maana tuliwasiliana…
 
Mzee Wa Kale Kabisa

JF-Expert Member
Mar 25, 2018
2,541

Sasa hapo ungemla si ni sawa na kubaka tu
 
nyboma

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
1,813
2,000
Siku hizi wake za watu wapigwa hadi mtungo.
Kweli zama zimebadilika sana.
Miaka yetu ilikuwa ngumu sana kumkuta mwanamke anarudi nyumbani baada ya mwanamme, ila sasa vijana wengi ndio wanawahi kufika nyumbani wakifuatiwa na wanawake…

Zama za sasa uanamme umepoteza thamani yake, kikazi cha sasa hivi kimepotea…
 
Flano

JF-Expert Member
Aug 7, 2019
2,105

Mambo ya usawa wa 50/50 yamekuja na mmomonyoko wa maadili, utandawazi na kukua kwa teknolojia ndio kumepigilia msumari wa mwisho.
 
Perth

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
3,800
2,000
inasikikitisha sana maana ungempunxisha hadi pombe zipoe ona asa uko ataenda kuchochea ugomvi
 
Nas Jr

JF-Expert Member
May 15, 2018
7,283
2,000
Double double - nyboma

Mkuu kongole kwa jambo ulilofanya,, huenda Mungu pia alikuepusha na mengi,,maana siku hizi watu na wake zao wanapanga dili wafumanie mtu ili wapate chochote kitu, njia zao cha toilet zisiote nyasi..

Endelea na moyo huo,,isiwe hio siku peke yake
 
Double- Double hii nyimbo inanikumbusha mbali miaka hiyo damu ilivyokuwa imechangamka nilikuwa napenda sana mziki wa dansi ambapo ulinikutanisha na mwanamke fulani alikuwa kanizidi umri, baadae nikaja gundua ni mke wa waziri mmoja mstaafu palichimbika bahati nzuri uncle wangu mwanajeshi akiwa na cheo kikubwa tu ndio alisimamia kidede ilikuwa niende na maji 😀😀😀

Since then niko makini sana na hawa wake za watu, ingawa kuna muda tamaa inanishinda napita nao kibishi hivyo hivyo…
 
Flano

JF-Expert Member
Aug 7, 2019
2,105
2,000
Double- Double hii nyimbo inanikumbusha mbali miaka hiyo damu ilivyokuwa imechangamka nilikuwa napenda sana mziki wa dansi ambapo ulinikutanisha na mwanamke fulani alikuwa kanizidi umri, baadae nikaja gundua ni mke wa waziri mmoja mstaafu palichimbika bahati nzuri uncle wangu mwanajeshi akiwa na cheo kikubwa tu ndio alisimamia kidede ilikuwa niende na maji

Since then niko makini sana na hawa wake za watu, ingawa kuna muda tamaa inanishinda napita nao kibishi hivyo hivyo…
mkuu bado nusu ungeenda na maji au ungeenda na mafuta????
Kua makini mkuu na utu uzima huu ukipakwa mafuta utaacha legacy mbaya.
 
nyboma

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
1,813
2,000
mkuu bado nusu ungeenda na maji au ungeenda na mafuta????
Kua makini mkuu na utu uzima huu ukipakwa mafuta utaacha legacy mbaya.
Hahah! Ni ngumu sana labda watakuwa hawajipendi…
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom