wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mlio kwenye ndoa naombeni ushauri juu ya huyu mwanamke

    Kiukweli baada ya kuona hii pisi ikirandaranda kutafuta mume nimeamua kujivika bomu nioe mke wa pili. Wanamazengo mnasema? Si wife material kabisa huyu?
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wanatuzidigi wapi wanaume akili?

    Hivi hawa viume ni wapi walitukamataga hasa sisi wanaume? Nikivuta taswira yaliyowatokea Adam, Samsoni etc nachoka kabisa. Unaweza kuta jitu babe hasa ila likikutana tu na mtoto wa kike mwenye miaka kumi na nane tu anatulia tuli ubabe wote kwisha. Huwa nabaki najiuliza hivi sisi wanaume...
  3. Girland

    JamiiForums Tanzania Majaribu ya wanawake: Nakuja lakini hatutafanya lolote

    Wanawake huwa mnamaanisha nini kusema nitakuja kwako ila hatutafanya lolote? Yaani umefunga safari toka utokako, umepanda 🚗, umetumiwa na ya kutolea halafu unasema "Hatufanyi lolote",😁 kana kwamba umetembelea makumbusho fulani! Je, ni kutuweka majaribuni, kuna kitu mnataka kuthibitisha au huwa...
  4. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Barua Rasmi kutoka kwa wanaume kwenda kwa wake zao kufuatia kinyang'anyiro Cha kombe la Dunia nchini Qatar

    Dear Wives, Tungependa kuwatia ufahamu kwamba kombe la Dunia linaanza mnano tarehe 20 Mwezi Novemba 2022 nchini Qatar na litachezwa kwa takribani siku 28. Kutokana na hilo, tunaomba kuwakumbusha nyinyi wake zetu mambo yafuatayo na myatilie maanani: 1. Kwamba muachie( surrender) rimoti za...
  5. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume shida huwa inakuwa nini?

    Dear sasa wanaume, mnachosha! Nilifanya mahojiano mahali ila ilikuwa ni ya binafsi, sema wanahusika na serikali kamshahara kalikuwa kanono kweli. Swali la kwanza umeolewa hapana, kwa hiyo unaweza pelekwa popote? Naomba mnukuu hili, nikajibu ndiyo. Una miaka mingapi? Mh yakawaida, wakaandika...
  6. Zanzibar2014

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanaume wanaonyanyasa wanawake

    Najua kusema ni uhuru wa kila mtu lakini wanaume wengine mmezidi kukejeli wanawake humu. Sijapata kuona kabisa hamjui kutuheshimu kabisa. Sasa kama mtu ana matwaka yake, nyinyi yanakujereni nini? Mnapenda kukosoa mno, siyo kuuliza mkajibiwa, ujuaji mwingi tu. Kama ya kwenu manayaweza. Kwani...
  7. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake: Lini mtatuelewa wanaume!

    Kuna mwenzenu huku (wife) amenitumia msj zenu za ku forward sijui katoa wapi akisisitiza niisome (nita share hapo chini), nikakumbuka wanawake wengi huwa wanasahau kwamba wanaume hatujaumbwa kusikiliza maneno mengi ili kupata point moja, niliishia kusoma heading na pale mwisho nikagundua alie...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanaume wanakufa kwa Saratani kimyakimya

    Imebainika asilimia mbili tu ya Wanaume ndiyo wana uelewa kuhusu Saratani Mkoani Mwanza, hivyo kuwafanya baadhi yao kupoteza maisha kwa ugonjwa huo bila kujitambua. Utafiti uliokusanya taarifa katika vituo vya Afya 50 mkoani hapo kuhusisha watu 1,120 ni Wanaume 11 pekee kati ya 560 waliohojiwa...
  9. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Wanawake hiyo haki yakusema mmetuvumilia sisi wanaume na hali zetu ngumu mnaitoaga wapi?

    Hi Mwanamke how unawezaje basi sema hata tumevumiliana maana hata na wewe pia nilikukuta una hali ngumu ya kiuchumi
  10. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni dhaifu na hawajiamini mbele ya wanawake

    Kwa kawaida mtu anayeamini kwamba, ni dhaifu, hujaribu kwa kila njia kuficha udhaifu wake, na moja ya njia hizo ni kujikweza ili kujaribu kumshusha yule ambaye anadhani anamzidi. Mtu asiye na nguvu anaweza kujitahidi kupiga kelele, kupiga ‘mikwala’ na vitisho, na watu wanapomwogopa, hupata...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Pesa isiwe kipimo cha Utu, familia na taifa litaangamia

    PESA ISIWE KIPIMO CHA UTU; FAMILIA NA TAIFA LITAANGAMIA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani Nataka watu waelewe kuwa Maisha hayana maana yoyote Kama hautajali utu wako na utu WA watu wengine. Tafsiri sahihi ya Upendo ni kujijali utu wako na utu wa wanaokuzunguka. Koo kubwa zote zenye nguvu...
  12. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maji ya madafu yanasababisha ugonjwa wa Mabusha

    Inaaminika kuwa ugonjwa wa mabusha husababishwa na unywaji wa maji ya madafu. Madai haya hupata mashiko makubwa zaidi kwa kuwa tatizo hili huwapata wanaume wengi wanaoishi Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi, ambako madafu hupatikana kwa wingi. Madai haya yana ukweli kiasi gani?
  13. Kilenzi _Jr

    JamiiForums Tanzania Namna ya kukabili tatizo la kuwahi kufika kileleni na kushindwa kuendelea

    1: Punguza wasiwasi: Hebu lifikirie tendo kama njia ya kujifurahisha sio njia pekee ya kutafuta kutoa mbegu, hii itakusaidia kuondoa mawazo ya kutafuta mbegu na kuchelewa kumaliza. 2: Fanya taratibu: Picha za ngono zinadanganya sana watu kwamba kulala na mwanamke lazima ufanye kwa haraka...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni wabahili sana. Wanaume tusikubali kufanywa wajinga

    Hi! Mwanamke hata kutumia fedha ambazo amezizalisha kwenye biashara yake anaona hasara Mwanamke hata kutumia mshahara wake kununua mahitaji yake anaona hasara. Cha ajabu ukimtoa out na kumwambia awe free kuagiza chochote unaweza kuona anaagiza kuku nusu wa sh. 10000, juice ya sh. 5000. Hii...
  15. mcshonde

    JamiiForums Tanzania Wanaume kujifanya wanawake Bar

    Jamani, hivi karibuni nilipost instagram video tatu za vijana ambao wameshtukiwa baada ya kujifanya wanawake kisha kuwaomba pesa washkaji bar. Mademu hao vidume huwa wanategea mtu alewe kisha wanakubaliana naye kwenda kulala na ndipo ataomba pesa ya kinywaji, mara pesa ya kumnunua..nk..ndipo...
  16. Maria Nyedetse

    JamiiForums Tanzania Tabia hii wanaume mtaiacha lini?

    Salam Wanajamvi, natumai wote mko poa kabisa! Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Mungu wetu Bwana wa Viumbe vyote ametuumba Jinsi mbili za ME na KE. Kuwa Me au Ke haina maana kuwa uko superior au less superior to the opposite sex, bali sote tunategemeana katika kuyaishi maisha haya...
  17. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yanatutesa sana wanaume: Najitahidi nitulie nafsi inakataa

    Mahusiano yana mengi kwenye nafsi za wanaume wengi. Najitahidi nitulie nafsi inakataa, inamtaka huyu mrembo. Ndugu zanguni, najua si Mimi tu ninaesumbuliwa na mahusiano ya mwanamke mmoja wa miaka 28. Huyu mrembo hajaolewa bado. Anapenda pesa Sana, kila siku lazima nimpatie 30k uwezo wangu...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya na Manyara wanaume ni wengi kuliko wanawake?

    Ni kwanini?
  19. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Wanaume (baadhi) wa Tanzania kufurahia Sensa, Low IQ!

    Majibu ya Sensa yameonyesha kwamba Wanawake ni wengi zaidi kuliko Wanaume, baadhi ya Wanaume wanaona ni jambo zuri kwao, lakini ni wajinga kwani wasichokijua ni kwamba Wanaume ni wachache kuliko Wanawake kwa sababu Wanaume wanakufa mapema kuliko Wanawake, Kibaologia uwiano kati ya Wanawake na...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nyie wanawake mnadhani sisi wanaume pesa tunaokota? Huyu mwanamke kwa siku 1 ananipigia zaidi ya mara 30 sipokei simu yake

    Hi! Niliwahi kuleta Uzi nikasema wanawake maskini hasa wa mjini hawana mapenzi ya dhati kwa wanaume wapenzi wao. Wengi ni kama wapo na wanaume ili watatue shida zao za kiuchumi. Watakuigizia kukuita baby mara dear ili ujisikie unapendwa lakini kwa kweli ukifulia au yeye akipata mwanaume...
Back
Top Bottom