Hivi wanaume shida huwa inakuwa nini?

Hivi wanaume shida huwa inakuwa nini?

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,841
Reaction score
25,367
Dear sasa wanaume, mnachosha!

Nilifanya mahojiano mahali ila ilikuwa ni ya binafsi, sema wanahusika na serikali kamshahara kalikuwa kanono kweli.

Swali la kwanza umeolewa hapana, kwa hiyo unaweza pelekwa popote? Naomba mnukuu hili, nikajibu ndiyo. Una miaka mingapi? Mh yakawaida, wakaandika wanajua na wanamaelezo yote. Haya nikapita, baadaye ya pili nikapigiwa nikapita, ile ya mwisho nikapokea simu kumbe ni Meneja.

"Mambo, nitakupitisha ila mpaka unikubalie, nitakunyima kazi kama hutokuja chumbani kwangu." Nikasema nipitishe tu jamani nione kama upo 'serious'. Akadai hapana, mwisho wa kila kitu baada ya miezi kadhaa mtu wa huko akasema umekatwa jina maana ulimbania Meneja, kweli?

Haya ndiyo maana sijapata, walahi ngoja, ataona. Nilimrekodi, kamwaga mchele namwaga mboga, ngoja tu ipite Xmas walahi, mxiuuu.

Wanaume mnachosha, mnaweka wasiyojua lolote manawaacha wanaojua, kampuni ikifilisika mnabaki mnashangaa, ndiyo maana hatuendelei.
 
Dear Sasa wanaume ,mnachosha .

Nilifanya interview mahali ila ilikuwa Niya private sema wanahusika na serikali kamshahara kalikuwa kanono kweli.

Swali la kwanza umeolewa hapana Kwa hiyoo unaweza pelekwa popote naomba mquote Hili nikajibu ndio.

Unamiaka mingapi mmh yakawaida wakaandika wanajua na wanamaelezo yote ..

Haya nikapita baadaye yapili nikapigiwa nikapita Ile ya mwisho nikapokea Simu kumbe ni manager .

Mamboo nitakupitisha ila mpaka unikubalie nitakunyima kazi kama hutokujq chumbani kwangu nikasema nipitishe tu jamani nione kama upo serious akadai hapana mwisho wakila kitu baada ya miezi kadhaa mtu wa huko akasema umekatwa jina maana ulimbania manager kweli???

Haya ndio maana sijapata walahi ngoja ataona .

Nilimrekodi kamwaga mchele na mwaga mboga ngoja tu ipite xmass walahi mxiuuu.

Wanaume mnachosha mnaweka wasiojua lolote manawaacha wanaojua kampuni ikifilisika mnabaki mnashangaa ndio maana hatuendelei Ki

Wee sema uliliwa na ukakatwa sio kwa povu hilo
 
Hauwezi kula bila kuliwa ,unataka kula bila kuliwa? Haiwezekani ,Sina Maana hiyo - Jakaya Mrisho Kikwete

hairyPurse.jpg
 
Dear Sasa wanaume ,mnachosha .

Nilifanya interview mahali ila ilikuwa Niya private sema wanahusika na serikali kamshahara kalikuwa kanono kweli.

Swali la kwanza umeolewa hapana Kwa hiyoo unaweza pelekwa popote naomba mquote Hili nikajibu ndio.

Unamiaka mingapi mmh yakawaida wakaandika wanajua na wanamaelezo yote ..

Haya nikapita baadaye yapili nikapigiwa nikapita Ile ya mwisho nikapokea Simu kumbe ni manager .

Mamboo nitakupitisha ila mpaka unikubalie nitakunyima kazi kama hutokujq chumbani kwangu nikasema nipitishe tu jamani nione kama upo serious akadai hapana mwisho wakila kitu baada ya miezi kadhaa mtu wa huko akasema umekatwa jina maana ulimbania manager kweli???

Haya ndio maana sijapata walahi ngoja ataona .

Nilimrekodi kamwaga mchele na mwaga mboga ngoja tu ipite xmass walahi mxiuuu.

Wanaume mnachosha mnaweka wasiojua lolote manawaacha wanaojua kampuni ikifilisika mnabaki mnashangaa ndio maana hatuendelei Ki
Si umpe tu, khaa!
 
Tuonane PM tafadhali maana hii mara ya pili kazi unakosa sababu ya. ....
 
...alafu

kuna wadada wengne wanaenda sehemu kama hizo (kwenye tundu la simba)
wakiwa wamevaa vinguo vya kiaina kama vile kaenda kujiuza! sasa meneja anawekwa katika mazingra magumu! anabaki kufikiria lile paja kwanza. (utani)
 
Dear Sasa wanaume ,mnachosha .

Nilifanya interview mahali ila ilikuwa Niya private sema wanahusika na serikali kamshahara kalikuwa kanono kweli.

Swali la kwanza umeolewa hapana Kwa hiyoo unaweza pelekwa popote naomba mquote Hili nikajibu ndio.

Unamiaka mingapi mmh yakawaida wakaandika wanajua na wanamaelezo yote ..

Haya nikapita baadaye yapili nikapigiwa nikapita Ile ya mwisho nikapokea Simu kumbe ni manager .

Mamboo nitakupitisha ila mpaka unikubalie nitakunyima kazi kama hutokujq chumbani kwangu nikasema nipitishe tu jamani nione kama upo serious akadai hapana mwisho wakila kitu baada ya miezi kadhaa mtu wa huko akasema umekatwa jina maana ulimbania manager kweli???

Haya ndio maana sijapata walahi ngoja ataona .

Nilimrekodi kamwaga mchele na mwaga mboga ngoja tu ipite xmass walahi mxiuuu.

Wanaume mnachosha mnaweka wasiojua lolote manawaacha wanaojua kampuni ikifilisika mnabaki mnashangaa ndio maana hatuendelei Ki
Nilichoelewa ni kwamba jamaa amekosea approach ila angekuja kama hivi

"Hallow unique flower manager hapa hope you're good, ok nina majibu yako ya interview ila kama hautojali ningependa tupate japo wasaa tuzungumze over dinner hapo amsterdam sea breeze BILLS ON ME ! Just take uber and i'll pay."

Bila shaka ungeoga kabisa na kuwahi mapeeema tu
 
Back
Top Bottom