Hivi wanawake wanatuzidigi wapi wanaume akili?

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,679
5,424
Hivi hawa viume ni wapi walitukamataga hasa sisi wanaume?

Nikivuta taswira yaliyowatokea Adam, Samsoni etc nachoka kabisa.

Unaweza kuta jitu babe hasa ila likikutana tu na mtoto wa kike mwenye miaka kumi na nane tu anatulia tuli ubabe wote kwisha.

Huwa nabaki najiuliza hivi sisi wanaume tumeendeza sana ngono ndio maana hawa viumbe muda mwingine wanatupeleka puta?

Jitu hajiwahi hata kusomesha ndugu zake lakini anajivika bomu la kusomesha mwanamke.

Jitu halijawajengea hata nyumba wazazi wake ila anajivika bomo la kumjengea mwanamke.

Jitu linatelekeza watoto wake eti limetekwa na mwanamke.

Bado najiuliza hivi hawa viume walitukamataga wapi? 🤣🤣🤣
 
Jaribu kuoa mwanamke ambaye anatokea maisha ya dhiki mfano hadzabe huko au kusinikusini huku ila ambaye anaridhika na maisha hajasoma sana mlimishe mpunga ila ujiandae kumtibu uti na kichocho..awe mtu wa wa kazi kwerikweri
 
Hahahaaaa msukuma atafaa kwa kazi ngumu😆
 
Hivi hawa viume ni wapi walitukamataga hasa sisi wanaume?

Nikivuta taswira yaliyowatokea Adam, Samsoni etc nachoka kabisa.

Unaweza kuta jitu babe hasa ila likikutana tu na mtoto wa kike mwenye miaka kumi na nane tu anatulia tuli ubabe wote kwisha.

Huwa nabaki najiuliza hivi sisi wanaume tumeendeza sana ngono ndio maana hawa viumbe muda mwingine wanatupeleka puta?

Jitu hajiwahi hata kusomesha ndugu zake lakini anajivika bomu la kusomesha mwanamke.

Jitu halijawajengea hata nyumba wazazi wake ila anajivika bomo la kumjengea mwanamke.

Jitu linatelekeza watoto wake eti limetekwa na mwanamke.

Bado najiuliza hivi hawa viume walitukamataga wapi? 🤣🤣🤣
Nature inasema kwamba mwanaume ni mdhaifu kwa mwanamke, na imani yangu inanifundisha haya kutoka kwa wanawake kama:-
1. Abigaili
Alikuwa mke wa mwanamume mkatili aliyeitwa Nabali. Hata hivyo, Abigaili alikuwa mwenye busara na mnyenyekevu, na pia alikuwa mrembo kimwili na kiroho.—1 Samweli 25:3.
2. Delila
Alikuwa mwanamke aliyependwa na Samsoni, mwamuzi wa Israeli.—Waamuzi 16:4, 5.
3. Esta
Alikuwa Myahudi aliyechaguliwa na Mfalme Ahasuero wa Milki ya Uajemi awe malkia wake.
Malkia Esta alitumia uwezo wake kuepusha kuangamizwa kwa jamii yake. Aligundua kwamba agizo rasmi lilitolewa na Mfalme kuhusu siku ambayo Wayahudi wote waliokuwa wakiishi katika milki ya Uajemi wangeuawa. Njama hiyo ya kikatili ilipangwa na Hamani, aliyekuwa waziri mkuu. (Esta 3:13-15; 4:1, 5) Kwa msaada wa binamu yake, Mordekai, aliyekuwa amemzidi umri, Esta alihatarisha maisha yake kwa kufunua njama hiyo kwa mume wake.
4. Hawa
Alikuwa mwanamke wa kwanza kabisa na mwanamke wa kwanza kutajwa kwenye Biblia.
Hawa alikataa kutii amri ya Mungu iliyokuwa wazi kabisa. Hawa aliumbwa akiwa mkamilifu kama Adamu, mume wake, na alikuwa na uhuru wa kuchagua na uwezo wa kusitawisha sifa kama za Mungu, yaani, upendo na hekima. (Mwanzo 1:27) Hawa alijua kuwa Mungu alimwambia Adamu kwamba ikiwa wangekula matunda ya mti fulani, wangekufa. Hata hivyo, alidanganywa na kuamini kwamba hangekufa. Hata aliamini kwamba angekuwa na maisha mazuri ikiwa angeamua kutomtii Mungu. Kwa hiyo, alikula lile tunda na baadaye akamshawishi mume wake ale pia.—Mwanzo 3:1-6; 1 Timotheo 2:14.
5. Hana
Alikuwa mke wa Elkana na mama ya Samweli, aliyekuja kuwa nabii maarufu katika taifa la kale la Israeli.—1 Samweli 1:1, 2, 4-7.
Kwa kuwa Hana hakuwa na watoto, alimwomba Yehova faraja. Mume wa Hana alikuwa na wake wawili. Mke huyo mwingine, Penina, alikuwa na watoto; lakini Hana hakuwa na watoto kwa muda mrefu baada ya ndoa yake. Penina alimdhihaki kikatili, lakini Hana alimwomba Mungu faraja. Aliweka nadhiri kwa Mungu, akisema kwamba ikiwa Mungu angempa mtoto wa kiume, angemtoa mtoto huyo atumikie katika hema la ibada lililotumiwa na Waisraeli.—1 Samweli 1:11.
 
Hivi hawa viume ni wapi walitukamataga hasa sisi wanaume?

Nikivuta taswira yaliyowatokea Adam, Samsoni etc nachoka kabisa.

Unaweza kuta jitu babe hasa ila likikutana tu na mtoto wa kike mwenye miaka kumi na nane tu anatulia tuli ubabe wote kwisha.

Huwa nabaki najiuliza hivi sisi wanaume tumeendeza sana ngono ndio maana hawa viumbe muda mwingine wanatupeleka puta?

Jitu hajiwahi hata kusomesha ndugu zake lakini anajivika bomu la kusomesha mwanamke.

Jitu halijawajengea hata nyumba wazazi wake ila anajivika bomo la kumjengea mwanamke.

Jitu linatelekeza watoto wake eti limetekwa na mwanamke.

Bado najiuliza hivi hawa viume walitukamataga wapi? 🤣🤣🤣

Mwanamke Hana akili ya kumzidi mwanaume.

Hayo yote unayoyasema ni wajibu wa mwanaume kumfanyia Mkewe au mwanamke hasa mwanaume akimpenda mwanamke.

Upendo ni Sacrifice.
Mwanaume anapotoa Huduma haimaanishi hajui hatari zinazoweza kutokea hapo baadaye ikiwemo kuachana

Kwa Adamu alichokifanya ni Upendo tuu na sio zaidi ya hapo.
Mwanaume yoyote au Baba yeyote makini angefanya kama Adamu alivyofanya.
Kuonyesha upendo Kwa Eva/Hawa.
 
Mwanamke hana akili ya kumzudi mwanaume hata siku moja, hayo yote uliyosema ni matokeo ya mwanaume kushindwa Kutumia akili yake katika kuishi na mwanamke, kumbuka imeandikwa mwanamke ishi naye kwa akili. Kwa ambao tumeshajua akili gani inaongelewa hapa, Uzi wako unatukera.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom