Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
Najua kusema ni uhuru wa kila mtu lakini wanaume wengine mmezidi kukejeli wanawake humu. Sijapata kuona kabisa hamjui kutuheshimu kabisa.
Sasa kama mtu ana matwaka yake, nyinyi yanakujereni nini? Mnapenda kukosoa mno, siyo kuuliza mkajibiwa, ujuaji mwingi tu. Kama ya kwenu manayaweza.
Kwani maana ya hili jukwaa ni nini, si kila mtu anafanya anavyosisikia, muhimu havunji sheria tu? Na ambao siyo waoaji tunakujueni tu, siyo lazima kututukana na kutuhukumu.