Tabia hii wanaume mtaiacha lini?

Maria Nyedetse

JF-Expert Member
Apr 24, 2021
657
1,485
Salam Wanajamvi, natumai wote mko poa kabisa!

Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Mungu wetu Bwana wa Viumbe vyote ametuumba Jinsi mbili za ME na KE. Kuwa Me au Ke haina maana kuwa uko superior au less superior to the opposite sex, bali sote tunategemeana katika kuyaishi maisha haya mafupi katika Ulimwengu huu.

BINAFSI kuna TABIA moja inanikwaza sana kutoka kwa ndugu zetu hawa wa jinsi ya Me; ukikutana na mwanaume mathalan safari, kwenye majukumu ya kikazi au hafla za kijamii wengi watakuomba namba WHICH OFCOURSE IS NOT BAD lakini changamoto inakuja kwenye matumizi ya hiyo namba!!!

Asilimia kubwa ni kutongoza!!!! Jamani Kama ilivyo kwa wanaume wenzio mwanamke anaweza akawa mshirika katika biashara, kazi au madili mengine, sasa ukitanguliza NGONO utafunga MILANGO MINGINE ya kushirikiana kama wanajamii katika kuyaendesha maisha haya.

Baadhi ya wanaume huwa nashindwa kabisa kuwaelewa vichwa vyao vinawaza nini!!!!

Unakutana na mtu ana mahusiano au familia yake PLEASE HESHIMU PERSONAL LIFE YAKE NA KAMA HUNA CHOCHOTE UNAWEZA KUSHARE NAYE POSITIVE LET HER MOVE ON WITH HER STRUGGLE...

Usimrubuni mwanadada au binti wa watu ili ULETE UZI HAPA JF huku ukimwachia majonzi katika maisha yake!!!! Huna future na mtu au ana mahusiano yake msaidie kuyalinda na usiwe sababu ya kuvurugikiwa!!!!

Kuna wanaume wa kweli WACHACHE ambao anaweza kumsaidia MWANAMKE NA WALA ASIHITAJI NAMBA YA SIMU WALA SHUKRAN!!! Siyo wengine akipata nafasi ya kutoa huduma au msaada kwa mwanamke basi tayari ametengeneza NDOANA...

Wengi wa WANAUME HAPA WANALIA MAISHA MAGUMU HAYAELEWEKI, HONESTLY NADHANI PARTLY NI KWA SABABU YA MACHOZI MNAYOYASABABISHA KWA MABINTI ZA WATU!!!!

Jamani hii TABIA IMEKUWA SHIDA SANA KWENYE JAMII ZETU....
 
mwanaume aliye na familia yake awe na ubia wa kibishara au madili ya maana na mke wa mtu we ulisikia wapi Dada yangu?
Unazungumza tu, usikute ofisini kwako una bosi mwanamke!!! Au umesahau Rais wa nchi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni mama....
 
Mwaka jana nilisafiri dar 2 Arusha kwenye siti ya bac nilikaa na mdadaa ,yule dada alinikuta mm ndio wakwanza kufika kwenye bac nikaa cty yngu drishan,
Alivyofka akanipa hai ,ukapita ukimya kdg ..nikaanza mchombeza chombeza mwishowee story sana mpk kufka sehemu ya msosi tukaongozana ,tukala nikaclear bili tukarudi kwenye bac na juice zetu za box za Azam
Bwana bwana mpk tunafka chuga cjamsemesha kuhusu namba wala nn ,mm nilikuwa nashukaa kabla ya stendi ,ili nikaribia kufika najiandaa ananda kushuka km mjuavyo basi ,mtt akaona isiwee tabu km mm cjamwomba namba kwann yy asiombee yangu ,bc nikampa mtt nambaa nikashuka zangu,kabla cjafka niendako ananiulizaa kwa sms unarudi lini dar,,dem km huyo unamwachajee madam km c kumla tu
 
Salam Wanajamvi, natumai wote mko poa kabisa!

Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Mungu wetu Bwana wa Viumbe vyote ametuumba Jinsi mbili za ME na KE. Kuwa Me au Ke haina maana kuwa uko superior au less superior to the opposite sex, bali sote tunategemeana katika kuyaishi maisha haya mafupi katika Ulimwengu huu.

BINAFSI kuna TABIA moja inanikwaza sana kutoka kwa ndugu zetu hawa wa jinsi ya Me; ukikutana na mwanaume mathalan safari, kwenye majukumu ya kikazi au hafla za kijamii wengi watakuomba namba WHICH OFCOURSE IS NOT BAD lakini changamoto inakuja kwenye matumizi ya hiyo namba!!!

Asilimia kubwa ni kutongoza!!!! Jamani Kama ilivyo kwa wanaume wenzio mwanamke anaweza akawa mshirika katika biashara, kazi au madili mengine, sasa ukitanguliza NGONO utafunga MILANGO MINGINE ya kushirikiana kama wanajamii katika kuyaendesha maisha haya.

Baadhi ya wanaume huwa nashindwa kabisa kuwaelewa vichwa vyao vinawaza nini!!!!

Unakutana na mtu ana mahusiano au familia yake PLEASE HESHIMU PERSONAL LIFE YAKE NA KAMA HUNA CHOCHOTE UNAWEZA KUSHARE NAYE POSITIVE LET HER MOVE ON WITH HER STRUGGLE...

Usimrubuni mwanadada au binti wa watu ili ULETE UZI HAPA JF huku ukimwachia majonzi katika maisha yake!!!! Huna future na mtu au ana mahusiano yake msaidie kuyalinda na usiwe sababu ya kuvurugikiwa!!!!

Kuna wanaume wa kweli WACHACHE ambao anaweza kumsaidia MWANAMKE NA WALA ASIHITAJI NAMBA YA SIMU WALA SHUKRAN!!! Siyo wengine akipata nafasi ya kutoa huduma au msaada kwa mwanamke basi tayari ametengeneza NDOANA...

Wengi wa WANAUME HAPA WANALIA MAISHA MAGUMU HAYAELEWEKI, HONESTLY NADHANI PARTLY NI KWA SABABU YA MACHOZI MNAYOYASABABISHA KWA MABINTI ZA WATU!!!!

Jamani hii TABIA IMEKUWA SHIDA SANA KWENYE JAMII ZETU....
Jambo rahisi na lenye manufaa kwa mwanaume la kukutana na mwanamke na kupeana namba ni kumtongoza hayo mengine yanaweza yakafuata baadae, ni jambo gumu ukutane na mwanamke na muanzishe uhisiano wa kibiashara kwa sababu wanawake waliowengi watapenda jambo hilo liwe na manufaa zaidi kwake. Mwanaume ni rahisi zaidi kuwekeana ahadi za michongo ya kimaisha na mwanaume mwenzake lakini sio mwanamke.
 
Exactly
 
Back
Top Bottom