Wakuu, sensa ya 2012 ilikuwa na wanawake 1,188,943 zaidi ya wanaume. Tarehe 23 August ni siku ya sensa.
Taarifa ya UN kuhusu idadi ya watu duniani robo ya kwanza 2021 hii hapa:
Idadi ya watu duniani ni bilioni 7.8
Wanawake bilioni 5.6
Wanaume bilioni 2.2
Kati ya wanaume hao bilioni 2.2
Bilioni...
Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku.
Moja kwa moja kwenye mada
Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita.
Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!!
Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako mke...
Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku.
Moja kwa moja kwenye mada,
Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita. Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!! Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako...
Mughonile!
Rafiki yangu kuanzisha Uzi hapa kisa kaniona Mimi nahonga na sihudumii familia yangu vizuri.
Kwanza rafiki tambua Mimi na Wewe tupo tofauti,
Mimi ninasura ngumu na isiyovutia, wakati wewe unasura laini ya Mama yako, bado unataka nisihonge, unafikiri hizi pisikali nitazipataje...
Wakuu,
Kuna hawa Waarabu wa Katoro, tunaomba Serikali iingilie kati. Wamezidi kuzalisha dada zetu na kuwstelekeza. Ukienda maeneo ya Kanazi, Ibwera, Izimbya, mto Ngono nk, unakutana na Machotara wa kiarabu kibao na vitoto vingi vya kipemba.
Sema Katoro napo Uislam ulienea sana, hivyo wale...
Kumekuwa na wimbi la video za tik tok ambazo asilimia kubwa wasimuliaji wake ni wanaume, video hizi ukizisikiliza muaudhui yake zimekuwa zikiwananga mno wanaume km watu ambao hawana huruma na kazi yao ni kucheza na hisia za wanawake na kuwaumiza.
Na wanaume wenzetu hawa wameenda mbali hadi...
Habari za muda huu wakuu,
Nisiwapotezee muda moja kwa moja nijikite kwenye mada
Ipo hivi mimi kitabia nimekuwa ni mtu ambae sio muongeaji sana na huwa sipendi sana kujichanganya na watu huwa najifeel poa sana hasa pale napokuwa peke yangu na naweza kujifungia ndani toka asubuhi mpaka jioni na...
Kwanini Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Makalio makubwa? Unashangaa kwa nini wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa? Mbali na urembo wao wa uso, nywele nzuri, tabia, na jinsi wanavyovutia, kuna sababu pia kwa nini wavulana wanapenda wasichana wakubwa.
Wanawake wenye matako makubwa...
Wanaume wenzangu tunatafuta pesa kwa tabu sana, pia tukishapata pesa nazo zitutese kweli?
Hawa wanawake tunaowaita pisi kali ni pasua kichwa, wanaume tukishapata mafanikio tunajinasibu kuwa sasa ndio muda wa kuowa mwanamke mkalii pisi ya kwenda.
Nawakikishia hakuna pisi inayoweza kutulia...
Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni.
Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao...
1: Mwanaume unashindwa kuvumilia sex mpaka ndoa... Na badala yake umetongoza Leo baada ya wiki unataka starehe ya mwili. Wewe si useme tu kuwa hitaji lako ni sex tu basi na acha kuzunguka zunguka kuwa nataka kuoa?
2: Mwanaume unatongoza, umekubaliwa tayari. Unaanza kuuliza vipi Sasa tutalala...
Nimegundua watu wengi Wana matatizo ya akili, hasa wanaume na hawakubaliani na hiyo Hali. Mwisho wa siku inakuja kuleta madhara makubwa.
Ushauri wangu nendeni mkajitibu hayo matatizo msije kuua watoto wa watu..
Matuga ni kijana kutoka kijijini, alianza hustle zake baada ya kumaliza darasa la 12. Aliuza mazao na kuweka pesa mpaka alipofanikiwa kupata nauli na hela kidogo ya kujikimu alikwenda Afrika ya Kusini. Bahati nzuri aliongea Kiingereza cha kueleweka shukran imwendee kiongozi wake wa dini kwani...
Mimi nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali. Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa.
Mwaka huu nimempa...
Wanajamii habari
Kabla ya yote kama una NIDO, COWBELL au diary products yoyote hapo maskani kwako, tafadhali nenda katupe, Acha kunywa kama unakunywa, kama umeshakunywa tayare nenda katapike jitapishe.
Hizi products za maziwa ya unga unga au ngombe wa kisasa ukinywa kwa mfululizo zinasababisha...
Kuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba yake. Katika hawa watoto wawili kuna mmoja baba yake yupo vizuri kiuchumi hivyo anasoma shule nzuri tu...
Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi.
Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno
1. Unataka kufanyia nini?
Yaani...
Habari wadau.
Wanaume wengi wa kikristo wanalalamika tabia za wake zao huwa wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa kanisani ama uzeeni kwa kiburi cha ndoa haivunjiki na pia migogoro ya mali ni mingi sana.
Sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa 3.
Ambazo ni ndoa za kidini, ambazo ni ndoa ya...
Habari zenu wanaume wenzangu mlio kwenye ndoa natumaini mko salama
Nimeleta kikao hiki ili tupeane ushuhuda jinsi ya kukabiliana na hawa ndinjii ambao wamekuwa hatari sana kwenye ndoa zetu hawa ndinjii wakishakula wake zetu huwa wanajisifu na kujiona wameyapatia maisha.
USHUHUDA
Mwenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.