wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Watangazaji wengi wa Kiume wa Redio nchini Ukiwasikiliza haraka sana utawagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao?

    Kuna Kipindi fulani cha Redio nakisikiliza sasa nz na nikimsikiliza Kiumakini Mtangazaji na Mmoja wa Mchambuzi haraka sana nagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao watupu. Wazazi tukomae mno na Watoto wetu wa Kiume na tukiwagundua tokea Udogoni wana Dalili za Nusu Wanaume na Nusu Wao basi haraka...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume tu ndio wanafia guest vitandani na sio wanawake? Kunanini?

    Nimejaribu kuwaza sanaa Nimejaribu kufuatilia vifo mbalimbali Tanzania na nchi jirani yaani ukisikia vifo vya guest 💯 ni wanaume Nimewaza hizi guest zina nini na sisi?? Hivi majuzi tu padre mmoja Kenya kafia guest akila kondoo wake Huko Kaskazini n balaa wazee wanafia guest inabaki kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

    Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua. Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini. Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo...
  4. JamiiForums Tanzania Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

    Naomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee! Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma!😂
  5. JamiiForums Tanzania Kipindi sijapigwa na maisha, nilidhani kuwa wanaume wanaochapiwa wake zao ni wajinga

    Ndugu zanguni, nataka mjue kuwa kwa sasa napitia kipindi kizito sana. Nimesharudi ofisini mara kadhaa kumuomba boss msamaha ili nirudi kwenye system pasi na mafanikio Nilifanya kosa gani? Wiki mbili nyuma ilikuwa ni siku ya Birthday yangu, hivyo nikaandaa party kubwa sana kwa ofisi na...
  6. JamiiForums Tanzania Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

    Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana. Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanaume weusi wa Tanzania wanapenda sana wanawake weupe?

    Na hili nimeshuhudia kwa marafiki zangu wengi weusi, rangi nyeupe zinawazuzua mno, KWANINI? Binafsi mimi ni mwanaume mweupe, kusema kweli katika maisha yangu hasa ya ujana nilipenda zaidi wanawake bila kujali kigezo cha rangi japo hawa weusi ndio nimewahi kuwa nao wengi zaidi kwenye maisha ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania WANAUME: Umewahi kukutana na mwanamke mzuri anayejiuza barabarani mpaka ukajiuliza pamoja na uzuri wote kakosaje mwanaume wa kumhudumia?

    Juzi kati nliingia chobiksi, katika harakati zangu za kusaka mbususu. Daah nlikutana mdada Mmoja huyo, alikuwa anajiuza barabarani halafu bei cheap, nilimla, yule mdada ana personality nzuri, ana tabasamu nzuri, nikashangaaa nkajisemea kweli humu duniani kuna uchawi, yani mdada kama yule...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye akili afungi ndoa na mwenye akili zaidi haoi!

    Hapo vip? Huu ni utafiti niliofanya muda mrefu. Nimegundua wanaume wenye akili hawafungi ndoa na wanawake, mfano Ronado, Micky Tyson, Alon Musk huyu nitajiri wa kwanza Duniani,R.kelly,50 cent n.k Na wenye akili zaidi hawahoi wala hawataki kufanya mapenzi, mfano; Galie Galie, Sir Issack Newton...
  10. JamiiForums Tanzania Wivu wa wanaume kwenye ndoa ni sababu ya wake zao kuhamisha mapenzi kwa watoto

    Wanaume wengi hawaelewi uhusiano uliopo kati ya mke wake na watoto wako (mama na mtoto), na hivyo huwaonea wivu wake zao baada ya kujifungua .(kupata mtoto) Watu wanapooana, miezi ya mwanzoni huona ndoa kuwa tamu sana ila sababu za ugomvi mwingi katika ndoa ni pale mtoto anapopatikana, wanaume...
  11. JamiiForums Tanzania Mnaowalea watoto wa kike bila kuwafundisha kazi za nyumbani mnawaandalia mazingira gani wakiwa wakubwa?

    Ni siku ya leo nimekumbuka nikiwa kwenye mahusiano hapo miaka ya 2015 na binti moja mrembo, mapenzi yalinoga sana lakini baada yakuanza kuishi nae niliona mapungufu mengi sana, la kwanza kabisa alikuwa hajui kupika yani ugali sometimes unakuwa mbichi halafu hata hajishughulishi kuongeza mboga za...
  12. JamiiForums Tanzania Yapi maoni yako juu ya wimbi la dawa za kuongeza maumbile kwa wanaume? Wanaotumia zinawasaidia?

    Kama uko online najua hujambo, wagonjwa wako ICU simu zao zimezimwa. Kuna kasumba ya wanaume kuambiwa vibamia suala ambalo limepelekea kuibuka kwa wingi kwa watu wanaosema wanatibu tatizo hilo. Hivi juzi niliijiwa na jamaa yangu anasema ana rafiki yake anamsumbua amuelekeze dawa ya kukuza...
  13. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Wanaume 142 Iringa wakimbilia Polisi kisa kufanyiwa ukatili katika ndoa

    Idadi ya wanaume 142 Mkoani Iringa wamefika Polisi kati ya mwaka 2020 hadi 2023 kulalamika kufanyiwa vitendo vya Ukatili kwenye Ndoa. Mbali ya idadi hiyo ila inaelezea kuwepo kwa idadi Kubwa zaidi ya wanaume ambao wanapigwa ama kufanyiwa Ukatili na wanawake kwenye Ndoa ila wamekuwa wakiona aibu...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume mpoo?

    Mwanamke akitulizwa anatulia mf. Hai ni zari ,zari alikuwa anadate na kila mtu kila mtu,hadi akaitwa shangingi ila leo shaby wake amemtuliza zari hasikiki kama yupo. Katulizwa tuli anapewa huba lakutosha. So mnapo dai mwanamke malaya aliwahi tulizwa akakataaaa. Sema mtu akipata chake ni chake.
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume tunawaokoa wanawake kwa kuwaoa, Yafaa sisi ndio tupewe mahari

    Mahari iwe walau laki 5, gharama za sherehe ni sehemu ya mahari itayogharamiwa na upande wa binti. Binti hatongozi, ni sisi ndio wenye uwezo na kauli hio ya kuanza mahusiano, Na hata tukiingia kwenye mahusiano ni sisi wanaume wenye final say kwenye suala la kuoa. Binti kuolewa anafaidika vingi...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye tabia ya kuingilia maugomvi ya wanawake zenu kwa kuwasaidia "kusutana" mnakera

    Za weekend? Hivi mwanaume timamu kabisa mke wako kagombana huko na wanawake wenzake halafu wewe unaenda kuingilia ugomvi na kuanza kusutana na wanawake? Kwanza mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kurushiana maneno na mtoto wa kike? Mpenzi wako akiudhiwa huko na marafiki zake wewe msaada unaoweza...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ni Kukosa akili au ndo Utandawazi?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Hivi sasa kumeibuka wimbi la Vijana na wanaume kuvaa Chupi ambazo wao wanaziita "VINJUNGA" Hivi Vinjunga inapaswa uelewe mara zote zinakuwa hazizidiani sana na Boxer,yaani wewe fikiria mtu anavaa Kinjunga na anatembea bila wasiwasi mjini kote huko! Ni...
  18. JamiiForums Tanzania Mkemia Mkuu: Idadi ya Wanaume wanaojitokeza kupima DNA imeongezeka nchini

    Mkemia Mkuu wa Serikali ya Tanzania Dr. Fidelis Mafumiko amesema idadi ya Wanaume wanaojitokeza kupima DNA (kuhakiki uhalali wa Watoto wao) imeongezeka kwa sasa Nchini Tanzania tofauti na miaka miwili hadi mitatu iliyopita. Kwenye mahojiano mafupi na DW, Dr. Fidelis amenukuliwa akisema “naweza...
  19. JamiiForums Tanzania Sio wanawake tu, hata wanaume hupenda kusifiwa

    Kila mtu anapenda sifa (kusifiwa), si wanawake pekee wanaopenda kusifiwa isipokuwa tofauti yao na sisi ni reaction baada ya kusifiwa au kutosifiwa. Mfano, Mwanaume ukimsifia kwakitu fulani utasikia"ah kawaida tu mbona hahh" yaani haipi uzito sana kwa wakati huo lakini amependezwa! Mwanamke...
  20. JamiiForums Tanzania Novemba 19, 2023: Siku ya Kimataifa ya Wanaume, una ujumbe gani kwao leo?

    Novemba 19 ya kila mwaka, huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Wanaume kwa lengo ka kutambua michango ambayo Wanaume hutoa katika Familia na Jamii kote duniani. Pia, Siku hii inalenga kuongeza ufahamu kuhusu takwimu za juu za Wanaume kujiua ikiwa ni eneo ambalo mara nyingi hupuuzwa wakati wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…