Wanaume tunawaokoa wanawake kwa kuwaoa, Yafaa sisi ndio tupewe mahari

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Mahari iwe walau laki 5, gharama za sherehe ni sehemu ya mahari itayogharamiwa na upande wa binti.

Binti hatongozi, ni sisi ndio wenye uwezo na kauli hio ya kuanza mahusiano, Na hata tukiingia kwenye mahusiano ni sisi wanaume wenye final say kwenye suala la kuoa.

Binti kuolewa anafaidika vingi sana kuzidi mwanaume,

-Tunampa heshima kwenye jamii kwamba ana ndoa.

-Tunawaheshimisha wazazi na ndugu zake kwamba kaolewa.

-Anapata ulinzi wa mwanaume.

-Tunawaepusha na usingo mama pale watoto wanapopata baba rasmi.

-Tunachotafuta ndicho nao hukitumia, wengi wao pesa zao hutumia matumizi yao.

n.k.

Ni muda sasa iwe sawa kwa familia ya binti kumlipa mwanaume mahari ili amchukue binti yao,
 
-Tunawaokoa hadhi yao wazae wakiwa ndani ya ndoa

-Tunachotafuta ndicho nao hukitumia, wengi wao pesa zao hutumia matumizi yao.

n.k.

Ni muda sasa iwe sawa kwa familia ya binti kumlipa mwanaume mahari ili amchukue binti yao,
Kweli kabisa kazi ufanye wewe mgawane mali mkiachana!mimba abebe yeye jina la mtoto akizaliwa ubini atumie wako hata kama umebambikwa!
 
Binti hatongozi, ni sisi ndio wenye uwezo na kauli hio ya kuanza mahusiano, Na hata tukiingia kwenye mahusiano ni sisi wanaume wenye final say kwenye suala la kuoa.

Binti kuolewa anafaidika vingi sana kuzidi mwanaume,

-Tunampa heshima kwenye jamii kwamba ana ndoa.

-Tunawaheshimisha wazazi na ndugu zake kwamba kaolewa.

-Anapata ulinzi wa mwanaume.

-Tunawaepusha na usingo mama pale watoto wanapopata baba rasmi.

-Tunachotafuta ndicho nao hukitumia, wengi wao pesa zao hutumia matumizi yao.

n.k.

Ni muda sasa iwe sawa kwa familia ya binti kumlipa mwanaume mahari ili amchukue binti yao,

Wanaume wenyewe Dar tumebaki sita, na Tanzania laki na 22..

Kwa ulichoandika yenyewe yaonyesa sio mwanamme kamili
 
Kwa hii midomo ya wanawake wa kitanzania ,mimi bure🤣..hawachelewi kudai pesa,kukusema mbele za watu na kutaja kiasi walichokulipia ukweni.
Wanawake wa kibongo hawana breki mdomoni atakutangaza kwa wenzake siku mkizinguana utasikia kajitu kenyewe nimekachukua kwao kwa milioni 1 ila kasumbufu sijui nikarudishe kwao wanarudishie pesa yangu
 
Hapana, utamaduni wa mahari unatakiwa ufutike kwasababu hauna faida yeyote. Zaidi ni kikwazo tu cha kutenganisha wanaopendana.

Mnasema ni kipimo cha mwanaume kumhudumia mwanamke, si kuna kukopa? hata kama ana pesa, kufilisika si kupo?
 
Mahari iwe walau laki 5, gharama za sherehe ni sehemu ya mahari itayogharamiwa na upande wa binti.

Binti hatongozi, ni sisi ndio wenye uwezo na kauli hio ya kuanza mahusiano, Na hata tukiingia kwenye mahusiano ni sisi wanaume wenye final say kwenye suala la kuoa.

Binti kuolewa anafaidika vingi sana kuzidi mwanaume,

-Tunampa heshima kwenye jamii kwamba ana ndoa.

-Tunawaheshimisha wazazi na ndugu zake kwamba kaolewa.

-Anapata ulinzi wa mwanaume.

-Tunawaepusha na usingo mama pale watoto wanapopata baba rasmi.

-Tunachotafuta ndicho nao hukitumia, wengi wao pesa zao hutumia matumizi yao.

n.k.

Ni muda sasa iwe sawa kwa familia ya binti kumlipa mwanaume mahari ili amchukue binti yao,
kwahiyo mkuu unataka ulipiwe mahari. basi sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom