Kipindi sijapigwa na maisha, nilidhani kuwa wanaume wanaochapiwa wake zao ni wajinga

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Ndugu zanguni, nataka mjue kuwa kwa sasa napitia kipindi kizito sana. Nimesharudi ofisini mara kadhaa kumuomba boss msamaha ili nirudi kwenye system pasi na mafanikio

Nilifanya kosa gani?
Wiki mbili nyuma ilikuwa ni siku ya Birthday yangu, hivyo nikaandaa party kubwa sana kwa ofisi na kuwalaghai wafanyakazi wenzangu japo kwa mshtukizo kuwa boss kanitumia ujumbe kuwa siku ya leo tusifanye kazi bali tusherehekee birthday yangu. Kiukweli wafanyakazi wote tulilisakata rumba ilihali wateja wakiwa nje ya ofisi wakihuzunika kwa hasira kali. Party lilimalizika vyema mida ya saa 12 jioni. Mida ya saa 3 usiku natumiwa software ya karatasi ya kumwaga unga. Kesho yake asubuhi nakutana na hardcopy imebandikwa kwenye meza yangu kuonesha sistahili kuwepo hapo. Basi ndugu zanguni, nikaamua kuingia kitaa. Nilianza na matofali kwa sana, nikaelekea feri, nikaingia kariakoo, nikachoka sana. Nikawa Muha, lakini wapi na wapi. Nikaona wacha nisiteseke sana, nikaangukia saidia fundi kwenye suala zima la ujenzi wa Taifa hili la Mama

Maisha uko kitaa yako vipi?
Kabla ya kusema chochote kitu, nipende tu kuwapa hongera mnaofanya business zenu na kuzihandle ninyi kama ninyi. Mwenzenu nimeshindwa aisee. Mara mia kurudi ofisini kwenye makaratasi

Kazi ni nyingi sana pale site. Unafika nyumbani ukiwa umechoka sana. Yaani hata ile kukaa na mkeo kuzungumza japo mawili matatu, huwezi, unakuwa full usingizi. Yaani mke wangu hunipapasa sana ila sipatwi na hisia hata kidogo kutokana na uchovu mzito nilionao. Asubuhi yake huwezi hata kupiga hata kimoko kuhofia kuchelewa site. Hata breakfast yenyewe hunywi kwa raha zaidi ya kuchanganyia majani, sukari na maji kwenye kinywa, kisha kusukutua na kumeza. Mchanganyiko ukifika tumboni utatafuta moto uchemkie uko uko.

Nachoka sana aisee. Ni wiki ya tatu sijamsukumia ukuni mke wangu. Tena ndani ya wiki hii sijaombwa kabisa mkuyenge. Nahisi kuna kijana ananyatia sana nyeti za mke wangu. Nimemwambia mke wangu kuwa simkatalii kusuguliwa mbususu kutokana na mimi kukosa muda wa kufanya hivyo, badala yake atafute tu namna ya kuzipunguza, sharti nisijue kama zimemtoka tiari ama kijana anayempatia mke wangu haki yake, badala yake aendelee kupretend kuniamsha amsha kama alivyozoea. japo kinafki tu moyo wangu usuuzike

Nahisi nachapiwa mke wangu huko nje ilihali chanzo ni uchovu wangu uliotaradadi. Naombeni kadi ya kuingia kwenye chama cha wanaume wanaochapiwa wake

Fuko la 50kg la seruji sio lelemama. Upige mifuko 60 per day kwa umbali wa kutoka Ubungo maji hadi Shekilango, ama Mkuyuni hadi Mswahili tena kilimani, kisha uondoke na 12k . Halafu uongezee safari la km 8 tena mara mbili, mara mia nichapiwe tu
 
Na wakuchapie tu,

Mwanaume ikifika siku yako ya kuzaliwa unapaswa ukae chini ufanye reflection ya maisha yako mpaka hapo ulipo na umri huo umetimiza malengo yanayotakiwa? Je uko kwenye right time? Ama uko nyuma ya time?

Then baada ya hapo jiwekee malengo kulingana na majibu uliyopata. Kimsingi mwaka mpya wa mwanaume unapaswa kuwa siku yake ya kuzaliwa kwa sababu kila umri unapopiga hatua unapaswa uwe umeshafulfill a certain milestone kwenye maisha yako..

Sasa how come eti wewe unasherehekea kipumbavu namna hiyo!!! Amka kijana, umri umeshakutupa mkono!!!
 
Wiki mbili nyuma ilikuwa ni siku ya Birthday yangu, hivyo nikaandaa party kubwa sana kwa ofisi na kuwalaghai wafanyakazi wenzangu japo kwa mshtukizo kuwa boss kanitumia ujumbe kuwa siku ya leo tusifanye kazi bali tusherehekee birthday yangu.
Tatizo linaanza hapa, mwanamke lazima awaze kuwa hapa hakuna mwanaume.
 
Ndugu zanguni, nataka mjue kuwa kwa sasa napitia kipindi kizito sana. Nimesharudi ofisini mara kadhaa kumuomba boss msamaha ili nirudi kwenye system pasi na mafanikio

Nilifanya kosa gani?
Wiki mbili nyuma ilikuwa ni siku ya Birthday yangu, hivyo nikaandaa party kubwa sana kwa ofisi na kuwalaghai wafanyakazi wenzangu japo kwa mshtukizo kuwa boss kanitumia ujumbe kuwa siku ya leo tusifanye kazi bali tusherehekee birthday yangu. Kiukweli wafanyakazi wote tulilisakata rumba ilihali wateja wakiwa nje ya ofisi wakihuzunika kwa hasira kali. Party lilimalizika vyema mida ya saa 12 jioni. Mida ya saa 3 usiku natumiwa software ya karatasi ya kumwaga unga. Kesho yake asubuhi nakutana na hardcopy imebandikwa kwenye meza yangu kuonesha sistahili kuwepo hapo. Basi ndugu zanguni, nikaamua kuingia kitaa. Nilianza na matofali kwa sana, nikaelekea feri, nikaingia kariakoo, nikachoka sana. Nikawa Muha, lakini wapi na wapi. Nikaona wacha nisiteseke sana, nikaangukia saidia fundi kwenye suala zima la ujenzi wa Taifa hili la Mama

Maisha uko kitaa yako vipi?
Kabla ya kusema chochote kitu, nipende tu kuwapa hongera mnaofanya business zenu na kuzihandle ninyi kama ninyi. Mwenzenu nimeshindwa aisee. Mara mia kurudi ofisini kwenye makaratasi

Kazi ni nyingi sana pale site. Unafika nyumbani ukiwa umechoka sana. Yaani hata ile kukaa na mkeo kuzungumza japo mawili matatu, huwezi, unakuwa full usingizi. Yaani mke wangu hunipapasa sana ila sipatwi na hisia hata kidogo kutokana na uchovu mzito nilionao. Asubuhi yake huwezi hata kupiga hata kimoko kuhofia kuchelewa site. Hata breakfast yenyewe hunywi kwa raha zaidi ya kuchanganyia majani, sukari na maji kwenye kinywa, kisha kusukutua na kumeza. Mchanganyiko ukifika tumboni utatafuta moto uchemkie uko uko.

Nachoka sana aisee. Ni wiki ya tatu sijamsukumia ukuni mke wangu. Tena ndani ya wiki hii sijaombwa kabisa mkuyenge. Nahisi kuna kijana ananyatia sana nyeti za mke wangu. Nimemwambia mke wangu kuwa simkatalii kusuguliwa mbususu kutokana na mimi kukosa muda wa kufanya hivyo, badala yake atafute tu namna ya kuzipunguza, sharti nisijue kama zimemtoka tiari ama kijana anayempatia mke wangu haki yake, badala yake aendelee kupretend kuniamsha amsha kama alivyozoea. japo kinafki tu moyo wangu usuuzike

Nahisi nachapiwa mke wangu huko nje ilihali chanzo ni uchovu wangu uliotaradadi. Naombeni kadi ya kuingia kwenye chama cha wanaume wanaochapiwa wake

Fuko la 50kg la seruji sio lelemama. Upige mifuko 60 per day kwa umbali wa kutoka Ubungo maji hadi Shekilango, ama Mkuyuni hadi Mswahili tena kilimani, kisha uondoke na 12k . Halafu uongezee safari la km 8 tena mara mbili, mara mia nichapiwe tu
Ni watoto wenzako pekee ndiyo wataamini hiki ulichokiandika hapa.
 
Back
Top Bottom