Mkemia Mkuu: Idadi ya Wanaume wanaojitokeza kupima DNA imeongezeka nchini

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,822
Mkemia Mkuu wa Serikali ya Tanzania Dr. Fidelis Mafumiko amesema idadi ya Wanaume wanaojitokeza kupima DNA (kuhakiki uhalali wa Watoto wao) imeongezeka kwa sasa Nchini Tanzania tofauti na miaka miwili hadi mitatu iliyopita.

Kwenye mahojiano mafupi na DW, Dr. Fidelis amenukuliwa akisema “naweza kusema elimu ile ya kujua kwamba kumbe kuna teknolojia inaweza kusaidia utambuzi wa Watoto, idadi ya Watu wanaojitokeza imeongezeka kidogo ukilinganisha na miaka miwili mitatu nyumba lakini hii yote imetokana na elimu ya vina saba kwa sababu kazi mojawapo tunayofanya ni kuwaelimisha”

Millard
 
Hii safi sana, miaka mingi nyuma niliwahi kuandika uzi huu:

 
Hii safi sana, miaka mingi nyuma niliwahi kuandika uzi huu:

Sawa sawa dada yangu kipenzi

Ova
 
Back
Top Bottom