Kwanini wanaume tu ndio wanafia guest vitandani na sio wanawake? Kunanini?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,151
Nimejaribu kuwaza sanaa

Nimejaribu kufuatilia vifo mbalimbali Tanzania na nchi jirani yaani ukisikia vifo vya guest 💯 ni wanaume

Nimewaza hizi guest zina nini na sisi??
Hivi majuzi tu padre mmoja Kenya kafia guest akila kondoo wake

Huko Kaskazini n balaa wazee wanafia guest inabaki kuwa siri kwa kuwa wachaga hatujazoea umbea

Yaani tujiulize mara mbili mbili wapendwa mnapoenda lodge hakikisheni mna chumvi ya mawe na kivumbazi hata yale majini yakikupitia yanarudi yalipotoka.
 
Wanaume wengi wanapenda kuonekana mashababi kitandani, mwisho wa siku wanatumia madawa ya kuongeza performance kwenye tendo na kujikuta wanakata moto.

MADAWA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME MENGI YANAHUSIANA NA MSUKUMO WA DAMU (MOYO), KWAHYO KAMA HUJAFUATA USHAURI WA DAKTARI KUNA UWEZEKANO WA KUPATA MAJANGA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
NIMEJARIBU KUWAZA SANAA

NIMEJARIBU KUFWATILIA VIFO MBALI MBALI TANZANIA NA NCHI JIRANI YAANI UKISIKIA VIFO VYA GUEST 💯 NI WANAUME

NIMEWAZA HIZI GUEST ZINA NINI NA SISI??
HIVI MAJUZI TU PADRE MMOJA KENYA KAFIA GUEST AKILA KONDOO WAKE

HUKO KASKAZINI N BALAA WAZEE WANAFIA GUEST INABAKI KUWA SIRI KWA KUWA WACHAGA ATUJAZOEA UMBEA

YAANI TUJIULIZE MARAMBILI MBILI WAPENDWA MNAPOENDA LODGE AKIKISHENI MNA CHUMVI YA MAWE NA KIVUMBAZI HATA YALE MAJINI YA KIKUPITIA YANARUDI YALIPOTOKA
Muuaji anakufaje sasa? 😂😂😂😂
 
Nani anapeleka mwenzake guest? Huyo ndo hufa
 
Mkuu wanaume tumekuwa wajinga sana eti unakuta mwanamme amempania mwanamke na wengine wanadhamiria hadi kuwakomesha,sasa ili amkomeshe vizuri anatumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume hapo ndo baraa linapoanzia.

Kitu kingine wanaume kutojiamini baada ya kusikiliza story za vijiweni,mara ooh mimi napiga vitano,sasa vitano vya nini!? Fanya kwa kiwango chako,kama ni kamoja piga kisha sepa,kama mwanamke hajatosheka akatafute wengine huko.

Wanaume watakufa sana,sitatumia dawa yoyote ya kuboost mimi,hata kwa mke wangu,akiona hatosheki atafute kwingine,cha kufia nini!?
 
Hao ni wagojwa,
unakuta mtu ana kapresha kadogo au ana sukaru changa, au ini lipo ealy stage ya infection or damage sasa huyu mtu akiadd ya viagra au wanao kunywa mo extra na panado kwa kwel utakufa tu
 
nahisi kunakuwa na majini yanataka kuua wanaumetu

Ila wengi yanayowakuta unakuta waumezao wameweka dawa ama kuwazindika yaani ukigusa wake zako na uende so sio kila mzigoo ni wakula mingine ina vingamuzihatarishii
 
NIMEJARIBU KUWAZA SANAA

NIMEJARIBU KUFWATILIA VIFO MBALI MBALI TANZANIA NA NCHI JIRANI YAANI UKISIKIA VIFO VYA GUEST 💯 NI WANAUME

NIMEWAZA HIZI GUEST ZINA NINI NA SISI??
HIVI MAJUZI TU PADRE MMOJA KENYA KAFIA GUEST AKILA KONDOO WAKE

HUKO KASKAZINI N BALAA WAZEE WANAFIA GUEST INABAKI KUWA SIRI KWA KUWA WACHAGA ATUJAZOEA UMBEA

YAANI TUJIULIZE MARAMBILI MBILI WAPENDWA MNAPOENDA LODGE AKIKISHENI MNA CHUMVI YA MAWE NA KIVUMBAZI HATA YALE MAJINI YA KIKUPITIA YANARUDI YALIPOTOKA
Kwasababu wao ndio wafanyaji sasa mtu kajilaza Chali mwanzo mwisho anaanzaje kufa kwa mfano!!
 
Mkuu wanaume tumekuwa wajinga sana eti unakuta mwanamme amempania mwanamke na wengine wanadhamiria hadi kuwakomesha,sasa ili amkomeshe vizuri anatumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume hapo ndo baraa linapoanzia.

Kitu kingine wanaume kutojiamini baada ya kusikiliza story za vijiweni,mara ooh mimi napiga vitano,sasa vitano vya nini!? Fanya kwa kiwango chako,kama ni kamoja piga kisha sepa,kama mwanamke hajatosheka akatafute wengine huko.

Wanaume watakufa sana,sitatumia dawa yoyote ya kuboost mimi,hata kwa mke wangu,akiona hatosheki atafute kwingine,cha kufia nini!?
Juzii nasikia redioni kunaa dk mbagala anarefusha uume bila madhara wewee siangerefusha wakee kwanza..sherwani wakokilasehemuu...
 
{3E18F8AB-629B-46C7-BC3E-08D3AE015F41}.png.jpg

{02C573A9-E210-4F3D-86C9-697F3DA3AF9C}.png.jpg
 
Kwasababu wao ndio wafanyaji sasa mtu kajilaza Chali mwanzo mwisho anaanzaje kufa kwa mfano!!
Mpwaa ujakutana na ukungaa wa mwananke akipelekewaa moto mkuu na uchaliwake anahisiiii kufakufaa ujawahigongaukaonaademuanapumua kamanatakakukatarohooo??m yalinikuta na sikumrudia tenaa kwa uwogaaaa
 
Wanaume wengi wanapenda kuonekana mashababi kitandani, mwisho wa siku wanatumia madawa ya kuongeza performance kwenye tendo na kujikuta wanakata moto.

MADAWA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME MENGI YANAHUSIANA NA MSUKUMO WA DAMU (MOYO), KWAHYO KAMA HUJAFUATA USHAURI WA DAKTARI KUNA UWEZEKANO WA KUPATA MAJANGA.
Hii ni mojawapo ya sababu miongoni mwa sababu nyingi zilizopo.
 
Back
Top Bottom