Nyie vijana wa sasa wanaume na mabinti mpo tayari kwa ndoa au mnatania?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,015
12,282
Binafsi machalii wa sasa siwaelewi kabisa kama wapo tayari kwa ndoa au wanaigiza?

Sio wanaume sio wanawake yaani wote wanafanana ni kama kichaa na mwendawazimu wamekutana pamoja kuanzisha familia.

Hizi ndoa za machalii wa sasa ni kama wanavutana karibu ili kuwa na uhuru wa kufanya ngono.

Unaona dogo wa kiume anaenda kutoa posa kavaa pensi kasuka na vimisokoto vya bhange kichwani unajiuliza huyu janja anajitambua kweli anaenda wapi na yupo wapi?

Wengine unakuta ni kijana mkubwa kabisa wa miaka 30+ lakini lifestyle yake ya kipuuzi puuzi anakuletea wazo la anataka kuoa na yupo serious kweli ila ukitazama maisha yake ni kama mtoto mdogo yamejaa upuuzi.

Mabinti nao ni kama malaya anaye stiriwa kwa ndoa, mabinti wa sasa kama wendawazimu maisha yao yamejaa ujinga ujinga.

Machalii wanaona kama kuoa na kuoana ile sherehe tayari wamekwisha maliza maisha wanasahau ndoa ni safari ndefu.

Hawa madogo wanakuja kukuomba ushauri wa ndoa unaweza tamani kuwalamba vibao kwa jinsi waliyo wapuuzi.
 
Wengi wanadhani ndoa ni kukojoa.
Akipewa leo na kesho, anatangaza ndoa.
Wakishazoea kukojoa wanashtuka majukumu ayo apo.
 
Madogo wajinga sana wanadhani kazi ya ndoa pekee ndio hiyo.

Wakisha furahishana kitandani siku mbili tatu wanao sasa wanahitaji kuoana ila ukitazama vichwa vyao ni vibovu kweli
 
Binafsi machalii wa sasa siwaelewi kabisa kama wapo tayari kwa ndoa au wanaigiza?

Sio wanaume sio wanawake yaani wote wanafanana ni kama kichaa na mwendawazimu wamekutana pamoja kuanzisha familia.

Hizi ndoa za machalii wa sasa ni kama wanavutana karibu ili kuwa na uhuru wa kufanya ngono.

Unaona dogo wa kiume anaenda kutoa posa kavaa pensi kasuka na vimisokoto vya bhange kichwani unajiuliza huyu janja anajitambua kweli anaenda wapi na yupo wapi?

Wengine unakuta ni kijana mkubwa kabisa wa miaka 30+ lakini lifestyle yake ya kipuuzi puuzi anakuletea wazo la anataka kuoa na yupo serious kweli ila ukitazama maisha yake ni kama mtoto mdogo yamejaa upuuzi.

Mabinti nao ni kama malaya anaye stiriwa kwa ndoa, mabinti wa sasa kama wendawazimu maisha yao yamejaa ujinga ujinga.

Machalii wanaona kama kuoa na kuoana ile sherehe tayari wamekwisha maliza maisha wanasahau ndoa ni safari ndefu.

Hawa madogo wanakuja kukuomba ushauri wa ndoa unaweza tamani kuwala⁸mba vibao kwa jinsi waliyo wapuuzi.
Unajichosha na maisha ya watu
 
Yatizo mnajua maisha ni mavazi. Hata adam na hawa akiona kizazi chenu angeona kimeharibika ila ninyi mnaona chasasa kimeharibika. Miaka ya nyuma suruali ya jeanse ilikuwa haigusi kanisani ila kwa sasa inagusa mpaka ikuru. Ulikuwa ni mtazamo wao tu
 
Back
Top Bottom