Kwanini wanawake wengi wana wapenda wanaume wenye tabia hizi?

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
37,217
85,354
1. Wanaume wajeuri (wasio na kibri) hawa wanawake huwapenda sana hapa mjini.

2. Wanaume wapambanaji (lakini hawajapata) hawa wanapendwa sana na Ke zinazo jielewa na huishi na kupendwa kwa hope.

3. Wanaume wakorofi (sio wakali) hawa pia wana miliki na kupendwa na vyuma vya hatari kivyede yani.

4. Wanaume wajanja (sio wajuaji) hawa wanaume wanapendwa na wanamiliki pis kali sana sana down town.

5. Wanaume mishen town/wazee wa mipango (sio matapeli) jamaa wanapendwa sana kuaminiwa na wanawake kinoma.

6. Wanaume wasafi (lakini hawana hela) hawa wanapendwa na wanawake na wanamiliki madem walio kwisha jipata mjini.

7. Wanaume janja janja (lakini sio waongo) hawa wanapendwa sana na wanamiliki unbelievable womans in town.

Huu ni utafiti na uzoefu wangu tangu nilipo jitambua.
Naomba kuwasilisha, na comments ziwe fupfupi ili tuokoe muda.
 
Back
Top Bottom