Kichwa cha habari kinajieleza. Tanzania kuna wato wawili ambao kwa rais Samia siyo wana ushawishi mkubwa bali ni maalum ambao ni Jakaya Mrisho Kikwete na Daudi Albert Bashite. Kwa wanaojua undani wa wandani hawa watujulishe lau tujue kwa sababu rais ni public figure.
Kuna rafiki yangu alikuwa na mwanamke akafanikiwa kuzaa naye watoto wawili,badaye akaachana na huyu mwanamke akao mwanamke mwingine akafanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja.
Bahati mbaya huyu rafiki yangu akafariki huku akiacha watoto watatu,wawili kwa mke wake wa kwanza wa miaka 13 na 11,na mmoja...
Kwa hiyo mmeamua kutuondolea wale wanaoongea wakaeleweka mmetuletea Watu wa "Nchi za Ilan na Ilaki" kweli hilo ndilo ninyi mnalofurahia?
Kwamba Mwenye diploma hata kama hana uwezo wa kuongea au kuandika yanayoelekea basi kwenu ndio bora?.
Wapi Dokta Isack,namuamini na kumuelewa Dokta Isack...
Kuna mtu nilikua namshughulikia usiku wa leo,kavaa mashanga kiunoni..binafsi mimi hayajanivutia,nimeona kama ni uchafu tu.
So maybe help me to understand, hiyo mishanga huwa inaongeza nini wakti wa kukulana?
Yani leo hii tunaamka asubuhi, tunakuta msomi wa vichochoroni—mtu ambaye labda hata hana basic comprehension ya civic responsibility—anawaita Watanzania “kenge” eti kwa sababu amepewa nafasi ya kusema kwenye jukwaa la heshima kama Bunge? What the actual f*ck?
Watu tunaomwaga jasho, tumetoka...
Ambao hatujabobea kwenye kimombo tunaona kama kwamba huyu raisi ameamua kuingiza mambo ya ubasha kwenye vita vya kibiashara.
Kwa wale ambao hawajawahi kujaribu mambo hayo wanapata kichefu chefu na kuona kama ni matusi makubwa.
Wakuu habari zenu.
Naleta ombi kama nilivotumiwa mshauri huyu binti.
Ni binti 28yrs now, Yuko manispaa ya urambo mjini Tabora uko. Nyumbani kwao anakoishi sasa wana fremu za biashara kama nne, na fremu moja iliokua na saloon ya kiume imebaki wazi, aliekua hapo ameoa na kahamia Mwanza, alikua...
Kumekuwa na changamoto ya kukosekana kwa ufanisi katika uendeshaji wa mashirika mbalimbali ya uma na makampuni binafsi hapa nchini Tanzania kwa muda mrefu sasa.
Ndio maana kuna mashirika kadhaa ya serikali yalibinafsishwa mfano, viwanda kama zana za kilimo (zzk) kule Mbeya ambacho hakifanyi...
Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi za serikali, kwa kweli watoto wanaosoma English medium ni watoto wanaojua sana kingereza hasa kwenye...
Utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua, watu wanaojua matumizi ya hela akaunti zao zinasoma hela ndogo ndogo tu; kama elfu kumi, ishirini au hamsini na haizidi laki; ila kwa wale wasiojua matumizi ya pesa akaunti zao zimenona, zinaweza kusoma kuanzia milioni nakuendelea.
Hii inatafsiri...
Naenda Kutambika kwa Babu yangu Mkoani Morogoro na kula Pasaka ila napenda Leo nijumuike na wana Yanga SC kuitizama ikicheza na Mamelodi Sundowns FC.
Wa Morogoro semeni mtakuwa Ukumbi gani ili nije na hakikisheni huo Ukumbi nje uwe na Mademu na Gesti ziwe Jirani ili nikimaliza Kushangiiia...
Habari za muda huu wadau. Mim swali langu ni fupi tuu.
Kwa mtu anaejua em apate kutufahamisha, labda kutokana na experience zenu tunaweza kujifunza.
Hivi imeshawai kukutokea njia panda kwamba kuna siri unaijua kuhusu mfano wanandoa halafu unajua ukisema ndoa inaweza kuvunjika na usiposema...
Haihitaji kufanya utafiti bali kutazama tu jinsi jamii inayokuzunguka inavyoishi katika suala zima la usafi hasa usafi wa kitu kinachoingia mdomoni mwako na jinsi jamii isivyojali kabisa.
Watanzania wengi usafi wanaojua ni ule wa kuoga, kufua, kudeki na kufagia mazingira yanayozunguka nyumba...
Tufaidishane pengine tukaokoa watu wengi kutotapeliwa au kuingiza faida.
Kuna namba ilinitumia message telegram wakidai wao ni kampuni ya marketing za online ambapo wanafanya media buy wakishirikiana na makampuni mbalimbali. Wanachofanya ni ku-recruit watu kufanya kazi ya ziada binafsi...
Habari za usiku huu?
Nina kijana wangu nataka kumnunulia gari kwa ajili ya biashara.
Gari yenyewe ni Toyota Coaster used hapa Tanzania. Au Nissan Civilian niagize kutoka Japan.
Nataka kununua Toyota Coaster 1HZ used hapa Tanzania kutokana na kuagiza ni ghali zaidi na itakuwa nje ya bajeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.