Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.
Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi...
Licha ya kwamba si kubaliani na mambo kadha wa kadha yanayo tekelezwa na wakomunisti lakini kuna baadhi ya mambo wanajitahidi mfano kuweka dini na siasa mbali hilo moja.
Leo tuizungumzie namna ambavyo mbinu za wakomunisti kwangu ndizo mbinu bora kutwaa madaraka kutoka kwa watawala wapuuzi.
Kwa...
GENTAMYCINE nina Ombi langu Moja tu kwa hiyo Timu (niliyoisahau Jina kwa sasa) kuwa naomba katika hizo Timu wanazotaka Kuziomba Kucheza nazo Mechi za Kirafiki Kipindi hiki Ligi Kuu ya NBC inasimama Yanga SC nayo iwemo ili nao Wafungwe Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na waanze Kuzizoea kabla ya...
Nikukumbuka meseji nilizowahi kutumiwa kama mtu ana moyo mwepesi anaweza kuchukua maamuzi ya ovyo. Wana maneno makali sana hawa viumbe kwa kweli.
Alafu wanachotaka ni uwajibu chochote, ukitaka uchukue points 3 wala usijieleze sama, jibu tu OK.
Huwezi kunywa Mo Energy Drink halafu Timu ikakosa Utajiri mpaka akina Wapiga Ngoma na Wanaoonana wasipende Kuichezea.
Mido ya Chini Mtoto wa Tshisekedi na Mido ya Juu Mtoto wa Mwinyi na Wote wana Hasira na Walikotoka hivi hiyo Wiki Mbili ijayo Team Magodoro Kudoda Madukani FC watatokea wapi?
Guangzhou!
Kwa wataalamu wa lugha adhimu ya kiswahil...Nini maana ya neno Mbwiga??
Nilisikia jana jirani anasema ''Mume wangu alirudi yupo mbwiga"
Pia naomba msaada wa maneno haya
1.Monde
2.Karandinga
3. Gida
"Waligida Monde wakajikuta ndani ya karandinga"
Kuna utofauti Mkubwa sana kulia Christmas Dar na Moshi
Tuanzie week ya maajilio ambao inaanzia jumapili ya mwisho ya November, ukiwa Dar makanisa hawana mda hata wa kuimba nyimbo za maajilio ni mwendo wa mapambio, vurugu vurugu, hakuna utaratibu. Mfano nyimbo karibu zote za Boney M. Kams First...
Katika umri wangu sikuwahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliye nizidi umri. Mpaka mwaka huu nilipo pata mwanamke wa miaka 39, hakika naenjoy mana wapo tofauti na vi slayqueen.
1. Kwanza wanajua mapenzi na wasafi wa kiwango cha SGR, unakula tunda lile lenye viwango vya ubora toka TBS yani ile...
Natumai muwazima
Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli
Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu
Nipo kigamboni vijibweni
Natumai muwazima
Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli
Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu
Nipo kigamboni vijibweni
Huko jijini Arusha waziri mkuu Kasim Majaliwa amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wapishe uchunguzi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.
Baadhi ya tuhuma hizo zilizoelekezwa kwa mkurugenzi na timu yake ni kugawana fedha za umma na kuingizia fedha hizo kwenye akaunti binafsi za watumishi...
Sensa inakuja hivi karibuni,
Moja kati ya takwimu ninazotaka kusikia ni takwimu za lugha.
Je, Watanzania wangapi wanaweza kuongea lugha za asili?
Je, Watanzania wangapi waliopo wana zungumza Kiswahili kama lugha ya pili? Yani si lugha waliyoanza kuongea kama lugha yao ya kwanza.
Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.