rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 159
- 125
Kumekuwa na matukio mengi yanatokea kipindi cha hivi sasa.
Mara punde taarifa ya kuhusu Bandari na DP world nk.
Wananchi wamekuwa wanajilaumu kuwa japo uchaguzi ungekuwa wa haki basi wabunge wa upinzani wangekuwa bungeni na wangepambana na mambo haya yanayoendelea nchini kwetu. Lakini hivi sasa Bunge lina watu wachache ambao watatetea wananchi hasa kwenye mambo kama haya ya bandari.
Nadhani hata majority ya polisi nayo inatamani ingekuwa na watetezi bungeni kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.Maana wao ni wananchi pia.
Hivyo basi chaguzi iliyopita iwe somo na chaguzi ya 2025 ndugu zetu wapendwa polisi tunaomba muwe neutral kusimamia uchaguzi ili yasitokee haya ya bandari.
Natumaini wananchi wana hasira nyingi sana ambazo wanataka kuzionyesha kwa kuondoa asilimia kubwa ya Wabunge nk wale wote wanaoshiriki kwenye mambo ya sasa.
Mambo ya Bandari na DP. Nauhakika mkiruhusu uwazi hakika nguvu ya umma itakula nao sahani moja 2025.
Nia ni kuwa na watetezi wengi bungeni ambao wanaweza pinga vitu visivyo na maendeleo kwa taifa kwa ujumla. Ni wazo tuu wadau.