wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ni ile ambayo wananchi wake wanautaratibu wa kujiwekea akiba

    UTANGULIZI - Tanzania tuitakayo ni ile ambayo wananchi wake wana utaratibu mzuri wa kujiwekea akiba. Akiba ni muhimu sana katika ustawi wa kibinafsi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi. Kwa hiyo, kuwa na utamaduni wa kujiwekea akiba kunaweza kusaidia katika kujenga mifumo imara ya kifedha kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Queen Sendiga: RUWASA Hakikisheni Wananchi Wanapata Maji Safi na Salama Muda Wote

    Mkuu wa Mkoa Manyara, Mhe. Queen Sendiga amewataka Wakala wa Maji na USAFI wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuhakikisha wananchi Mkoani humo wanapata huduma Bora ya maji safi na Salama muda wote. Ameyasema hayo katika kikao cha watumishi wa RUWASA Mkoani humo kolicholenga kuwajengea uwezo...
  3. JamiiForums Tanzania Mkwamo wa Magari eneo la Ruvu kwa saa nyingi sababu ni gari la Jeshi la Wananchi?

    Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae. Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda usojulikana. Kwenye Magari kuna wagonjwa ambao wanaenda hospital je hali zao itakuwaje? Kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Siri kuu yaghubika Vikao vya Kamati kuu ya Chadema, Wananchi wapagawa, wataka Majina yatangazwe

    Sasa ni Dhahiri kwamba Chadema ndio Nchi, Hii ni kwa sababu Habari za Chama hicho ndio pekee ambazo wananchi wanataka kuzisikia. Bunge la Bajeti linaendelea lakini cha Ajabu Wananchi wote hawafuatilii kabisa! Sitaki kusema wamelipuuza, maana nitakuwa nafanya Uchochezi, Bali hali hii inatisha...
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi Katavi watakiwa kutokwepa kulipa kodi ya ardhi

    Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Katavi wameiomba serikali kuona namna bora ya kuwapunguzia wananchi Kodi ya ardhi na kodi ya jengo ambapi imekua mzigo kwa wananchi hao kulipa kodi mbili kutokana na serikali kukata fedha kupitia mfumo wa LUKU huku kodi ya ardhi ikitakiwa kulipiwa katika ofisi za...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Uwezeshwaji wa wananchi kumiliki uchumi

    Kwa majina naitwa Majengo Saidi Swadi. Nianze kwa kuangazia namna ambavyo maisha halisi ya wananchi yanavyotofautiana na takwimu za kukua kwa uchumi wa nchi. • Kwa kawaida tunasema kipimo cha uchumi mifukoni ni namna ambavyo watu wanaweza kumudu maisha yao ya kila siku kutokana na kipato chao...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kero ya wananchi mbele ya Mkuu wa Mkoa Arusha ndugu Makonda

    Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria. Inawezekana kero nyingi zilizotolewa tayari aidha ziko Mahakamani au uamuzi wa kisheria...
  8. JamiiForums Tanzania Wananchi 34 wabomolewa nyumba zao kabla ya fidia KIA, utaratibu gani huu?

    Huko KIA wananchi 34 wamebomolewa nyumba zao huku fidia ikiwa haijalipwa kwa madai taratibu za kibenki hazijakamilika. Mkuu wa mkoa anadai pia ni 'huruma ya mama' wao kulipwa fidia kwasababu ni wavamizi eneo hio! Kama waliamua kuwalipa kupitia kodi zetu, kwanini wasingewalipa ndio wabomoe?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kimei alaani mauaji ya kijana Octavian, ataka haki itendeke na kuwatuliza wananchi

    TAARIFA YA KIFO CHA NDG OCTAVIAN HUBERT TEMBA Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amelaani vikali mauaji ya Ndg Octavian Hubert Temba miaka 25-30 toka kijiji cha Komela, kitongoji cha Komela Kaskazini kata ya Marangu Magharibi ambaye anashukiwa kuuwawa na askari wa hifadhi ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tufanyeje kudhibiti hii vita ya kimyakimya inayoendelea kwenye hifadhi za taifa kati ya wananchi, majangili na askari wanyamapori?

    Sijui ni bahati mbaya au nzuri ni kuwa kuna habari nyingi za kutisha sana zinatokea huko kwenye hifadhi za taifa kati ya wananchi na askari ila hazifiki kwenye vyombo vya habari. Tukiachilia mbali mauaji pia wanaokamatwa hifadhini hupewa kipigo kitakatifu kabla ya kufikishwa mahakamani. Yaani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la lishe duni bado ni kubwa nchini Tanzania.. wananchi wahimizwe kula chakula cha kutosha na sio kutishwa kuhusu vyakula.

    Kwa mujibu wa taasisi ya kimarekani ya National Health and Nutrition Examination Survey (NHANES) hadi kufikia mwaka 2016 nchi ya Tanzania ilikuwa ina kiwango cha unene uliopitiliza (Obesity Rate) kwa 8.4% ya idadi ya watu wake. Huku USA ikiwa na 42.1% ya idadi ya watu wake. Hii ni kumaanisha...
  12. JamiiForums Tanzania Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

    Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake. Je, Mdee baada ya kusemekana kushawishi wenzake wanataka kurudi kuomba Msamaha CHADEMA , tunajiuliza...
  13. JamiiForums Tanzania Omar Juma Kipanga amewaambia wananchi wa mafia baada ya kimbunga Hidaya

    MHE QS KIPANGA SHIDA ZENU SHIDA ZANGU KIMBUNGA HIDAYA MAFIA KILINDONI MAFIA Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga amewaambia wananchi wa mafia kata ya Kilindoni Kijiji Cha kilindoni Vitongoji kumi na moja kuwa shida zao shida zake juu ya majanga ya Kimbunga...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je, nini kifanyike ili kuongeza Ushiriki wa Wananchi katika Mapambano dhidi ya Rushwa?

    Je, unaridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Mamlaka katika kushughulikia Matukio na Taarifa za Rushwa na Ubadhirifu nchini? Unaweza kutoa maoni yako na kupendekeza njia Bora za kupambana na Rushwa kupitia Mjadala utakaoendeshwa na JamiiForums Alhamisi Mei 30, 2024 Saa 12:00 Jioni hadi 2:00...
  15. JamiiForums Tanzania Nigeria: Wananchi wapinga Tozo ya Usalama wa Mtandao kupitia Miamala ya Benki na Simu

    Wanigeria wengi wamelaani kuanzishwa kwa ushuru mpya kwa miamala ya kielektroniki ya benki na simu huku wengine wakisema kuwa itawarudisha nyuma na kuanza kutumia pesa taslimu. Benki Kuu ya Nigeria (CBN) imeziagiza taasisi za fedha kwamba ushuru wa 0.5% unaokusudiwa kuongeza pesa ili kuimarisha...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa wafuasi Tanzania kwa sasa; ni msema kweli na anafanya mindset reform ya wananchi

    Kwa sasa hivi Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye mvuto Tanzania. Hoja zake zinajadiliwa na kila mtu na zimepelekea hata vyuo kutunga mitihani kuhusu Muungano na hali ya siasa nchi ni. Mwanafunzi wengi wanaofanya mitihani ya majaribio wameona reflection ya hoja za Lisu kwenye masomo na maswali...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inanyanyasa wananchi Dar kupitia mwendokasi

    Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami. Je, kwanini Serikali inakubali kunyanyasa wananchi wake hivi? Waziri wa Tamisemi na Mkurugenzi wa UDart unafurahia nini kuona...
  18. JamiiForums Tanzania TANESCO kukata umeme tunaoumia ni sisi wananchi

    Hii suala la Tanesco kukata umeme limekuwa kero kubwa mno . I mean kukataa umeme bila taarifa jana 7 may 2024 tangu saa 2 usiku mmekata umeme na mlisema mtakata asubuhi kwanzia saa 3 - saa 11 jioni 8 may 2024 . Tunaoumia ni sisi Mwanawake kwa sababu wenzetu wanakosea mashimo. Nawasilisha !!!
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viti Maalum wanamaliza hela za wananchi bila sababu

    Kwa msaada wa wiki pedia Viti maalum vya wanawake ni nafasi bungeni zinazotolewa kwa utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali na unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na athira yao katika bunge na mabaraza na kwa njia hiyo katika siasa ya nchi hizo kwa jumla. Kuna nchi nyingi za dunia...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Wakurugenzi wa halimashauri wapatikane kwa mfumo wa ajira ili kuleta dhana ya utawala bora na uwajibikaji kwa wananchi na siyo kwa watawala

    UTANGULIZI. Ni makala ya story of change ya jamii forum, inayochochea mjadala wa kitaifa juu ya masuala mbalimbali, nami nikiwa nimeangazia dhana ya utawala bora nchini Tanzania, ili kuipata “Tazania tuitakayo” jina langu ni Makiwa Jumanne Ni hivi karibuni Taifa la Tanzania limetimiza miaka 63...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…