Wanaukumbi.
Rais wa Marekani Donald Trump aliweka maono yake ya kuifanya Washington DC kuwa "kubwa tena" mapema leo, akiahidi kukabiliana na uhalifu na ukosefu wa makazi katika mji mkuu wa taifa hilo
Kama mwandishi wetu wa Amerika Kaskazini anavyoandika, kuonekana ni muhimu kama takwimu za...
Mali imewakamata makumi ya wanajeshi wanaoshukiwa kupanga njama ya kupindua serikali ya kijeshi, ambayo ilichukua pia mamlaka kupitia mapinduzi. Vyanzo kadhaa vimesema kuwa karibu askari 50 wametiwa nguvuni
Miongoni mwa waliokamatwa ni Jenerali Abass Dembele, Gavana wa zamani wa Jimbo la Mopti...
Wanajeshi wa IDF wafichua kwamba shambulio la Hamas la oktoba 7 lilikua na mkono wa israel, katika kile kinachodaiwa kuwa ni sababu/fursa tosha ya kuwaondoa wapalestina milele
Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.
Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa...
Wamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli 🚮🚮🚮
Hayo yameelezwa Jumapili Juni 22, 2025 na msemaji wa jeshi la nchi hiyo ya Afrika Mashariki Felix Kulayigye.
Wanajeshi hao walikuwa sehemu ya Kikosi cha Umoja wa Mataifa Kusaidia Kuleta Utulivu nchini Somalia (AUSSOM) na kilichopewa jukumu la kupambana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab na...
K
Katika mfululizo wa mashambulizi ya Makombora ya Iran huko Israel duru zinaeleza kuuawa kwa maofisa wawili wakubwa wa kijeshi Wa Jeshi la Morocco waliokuwa katika mafunzo ya pamoja na IDF huko Haifa.
Aidha mwanajeshi mmoja alinusurika kwa majeraha na yupo anatibiwa.
My take: Hawa waisrael...
Mbunge wa Jimbo la Ole, mkoa wa Kusini Pemba, Juma Omar amesema wanajeshi wastaafu wamekuwa wakipata pensheni chini ya kima cha chini, huku na yeye akiwa miongoni mwa wanaopokea kiasi hicho.
Amesema kwa mwezi amekuwa akipata laki moja na arobaini, huku wanajeshi wengine makanali waliopigana...
Habarini,
Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi.
Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha kufanya kazi vizuri katika sehemu nyingi wanazosimamia ikiwemo uRC, uDC,uRAS,nk.
Naomba kuwasilisha
Wadau hamjamboni nyote? Three Israeli soldiers were killed and two were wounded by an explosive device during operations in northern Gaza’s Jabalia yesterday evening, the military announces.
The slain soldiers are named as:
Staff Sgt. Lior Steinberg, 20, a combat medic, from Petah Tikva...
Wanaukumbi.
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:
"Picha kutoka kwa mashambulizi ya "Simba wa Al-Muntar", ambayo yalilenga askari na magari ya adui katika kitongoji cha Al-Shuja'iya, mashariki mwa Jiji la Gaza, Aprili 25, 2025.
Kanda hii inaonyesha mapigano ya saa mbili huku jeshi la Israel...
Baloch Liberation Army (BLA) imekiri kuhusika na mashambulizi mawili mabaya dhidi ya vikosi vya jeshi la Pakistan huko Balochistan, yaliyosababisha vifo vya wanajeshi 14, wakiwemo maafisa wa ngazi za juu. Katika tamko kali, BLA imeapa kuongeza operesheni zake, ikilitaja jeshi la Pakistan kuwa...
Wanaukumbi.
BREAKING: Al-Qassam Brigades:
Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun.
================
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:
Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na...
Mbinu ya CCM miaka yote ni ileile, kuwalisha Chambo watu wote wanaweza kua kikwazo kwao, ili inturn alokula Chambo awe Hana namna nyingine !!.
CCM wamefanya hivo, ili Jeshi lione linajaliwa, na matokeo yake ni Jeshi nalo baadae kulipa Fadhila.
Ni Baada ya Hotuba ya Mzee Warioba, kua Taasisi...
Taarifa zilizopo ni kwamba tangu jana asubuhi wanajeshi walishalipwa mishahara yao ya mwezi April huku watumishi wengine mpaka leo bado.
Binafsi nafikiri hili haijakaa vizuri na ni bora wasingelipa kuliko walivyofanya japo inaweza kuwa ni kwa nia njema kabisa
Wanapaswa kutambua wanajeshi...
Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI leo hii kaamua kuwa te Bełda wanajeshi wake walioko huko Gaza aliambatana na Waziri wa Ulinzi wa Israel na Mkuu wa Majeshi wa Israel na kuwatia moyo kwa kuwaambia kuwa wako huko kwa ajili ya kulinda Taifa lao na wako huko ili...
MOVIE KALI SANAA WANAJESHI WA MAREKANI WALIOMBA POOH 😂😂🔥🔥
Wamarekani walimuomba dokta atengeneze dawa ambayo itawafanya wanajeshi kwenye uwanja wa mapambano wasiweze kuonekana lakini mwisho wa siku ilikua balaa mtaani 🔥🔥
Angalia hapa ingia kwenye hii link kwenda kuidownload Bure✍🏾🍿...
Hawa magaidi wa waislamu siku zao zinakaribia mwisho, huku Marekani wakipiga kwa angani, Yemen nayo inaandaa wanajeshi 80,000 kuingia kwenye mpambano wa nyumba kwa nyumba. Japo Yemen wenyewe pia ni waislamu ila kidogo ni nafuu maana ni serikali halali hivyo yenyewe itapunguza maugaidi...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel
Advertisement
Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday,
April 9, 2025
IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards
By Emanuel Fabian Follow
Today, 9:05...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.