wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania M23 yaituhuhumu MONUSCO kuwaachia huru badhi ya wanajeshi na waasi wa FDLR

    Msemaji mkuu wa M23, Lawrence kanyuka, ametangaza kukamatwa kwa watu 5, 3 wakiwa wanajeshi wa FARDC(jeshi la Congo) na 2 wengine wakiwa wanamgambo wa FDLR. Watu hawa walikamatwa na bunduki 4 na mambomu ya kurushwa kwa mkono. Katika kuhojiwa, walisema walikuwa katika kambi ya MONUSCO mjini humo...
  2. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Burundi yaongeza wanajeshi Kivu Kusini

    Nchi ya Burundi, inayohusika na vita vinavyoendelea mashariki mwa Congo, kupitia makubaliano ya ushirikiano kwa mambo ya kisalama, kuanzia Septemba 2023, na hili jambo liliifanya Burundi kuwa mshirika mzuri kikanda. Burundi imeweza kupeleka nchini Congo wanajeshi wapatao elfu 10 kulisaidia jeshi...
  3. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona hali tete Korea Kaskazini yaondoa Wanajeshi wake Mstari wa Mbele huko Ukraine

  4. T

    JamiiForums Tanzania Bunge la Afrika Kusini, lamhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi kilichowapeleka wanajeshi wa nchi hiyo DRC

    "IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION". Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo cha badhi ya watu kuamuwa wenyewe kupeleka wanajeshi nchini DRC, kwa kisingizio cha kulinda amani...
  5. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Kagame hafahamu kama wanajeshi wa Rwanda wako nchini DRC

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo yanaendelea. Sehemu kubwa ya Jumuiya ya Kimataifa inaamini kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mbona mapema sana, Siku 3 baada ya Rais wa Mexico kuishupazia shingo Marekani kakubali kutuma wanajeshi elf 10 mpakani kudhibiti madawa na wahamiaji

    Trump aliweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Mexico kama adhabu ya wao kutotia mkazo wa uvushaji wa madawa na wahamiaji haramu kuingia Marekani, Rais wa Mexico hakutaka kuonekana mnyonge akamwaga mboga kwa kuweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Marekani (Tit for Tat), Ni siku ya 3...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kinachowapeleka wanajeshi wetu Congo na kwingineko kulinda amani ni pesa na si kingine

    Tanzania ni mshiriki wa jumuia kadhaa za kimataifa na kikanda. Hivyo tumesaini mikataba kadhaa wa kadhaa kwa shinikizo la mabwana zetu. Hao mabwana zetu ambao hugharamia Kila kitu tunapokwenda Congo, Sudan na kwingineko kulinda amani. Pia kwa kufanya hivyo tunapokea misaada ya zana za kivita Ili...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tumepoteza Wanajeshi Wawili Nchini Congo Katika Mapambano na M23

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo. Vifo hivyo vimetokea kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na M23. Tutawajibu kikomandoo na watajuta . askari wetu wamekufa...
  9. USSR

    JamiiForums Tanzania BBC: Wanajeshi waliouawa ni kutoka Afrika Kusini, Malawi na Tanzania. Hao Watanzania mbona hatuambiwi na mmefanya kimya?

    Awali kulikuwa na taarifa za mateka wa Kitanzania kwa muda mrefu vikafanyika vikao vya dharura vya SADC ikawa bila bila. Juzi rais wa Burundi anasema anapigana pia kusaidia ndugu zake wa Tanzania huku BBC idhaa ya kiswahili iliripoti kuwa idadi ya askari wa liouawa na M23 ni kutoka Afrika...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lugha ya wanajeshi huko Congo ni Kiswahili na sio Lugha zao za asili?

    Nimekuwa nikifuatilia Clip nyingi za wanajeshi maporini huko DR Congo asilimia kubwa wanatumia Kiswahili Waasi wanatumia kiswahili Wa DR Congo wanatumia kiswahili Na wengine wengi majirani wanatumia kiswahili. Hawa jamaa wanalugha zao za asili ambzao sio Kiswahili. Kwa nini Kiswahili ?
  11. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi wa jeshi DRC wameamua kuasi?

    Wanajeshi wa DRC wamekimbia uwanja wa mapambano na kuamua kujikabidhi kwa mahasimu wao, yani jeshi la Rwanda. Baada ya kuona hivyo, wanajeshi mamluki zaidi ya 280 toka Romania na Ufaransa waliokodiwa na serikali ya DRC kuwasaidia kwenye maeneo ya kuongoza drones za kivita, snippers na...
  12. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe taarifa kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wa Tanzania waliopo DRC

    Chama cha ACT Wazalendo inaitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa taarifa rasmi kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wetu walioko katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Hii inafuatia taarifa za hivi karibuni za kuongezeka kwa...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Huruma Katika Vita: Msaada wa Rwanda kwa Wanajeshi wa Kongo

    Wanajeshi wa Rwanda wanawahudumia wanajeshi wa Kongo wanaokimbilia Rwanda, ambao ni majeruhi wa vita. Jana, walipewa chakula, maji, na juisi. Licha ya yote, hawaonyeshi hasira wala kinyongo kwa kile ambacho serikali yao imewaambia. Rwandan soldiers are treating Congolese soldiers fleeing to...
  14. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Hivi wanajeshi wa Congo wanajielewa kweli? Yaani wameiacha nchi yao wamekimbilia Rwanda kujificha?

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Nimechoka kabisa jeshi la nchi limeikimbia nchi na kuwaachia wananchi msala Wanajeshi wa kongo wamekimbilia Rwanda na kupokelewa kama wakimbizi hii ni hatari sana aisee SAYUNI BOY
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 7 wa jeshi la South Africa wameuliwa na kikosi cha M23 huko Goma.

    Wemefariki wakiwa wanaitetea Goma. M23 walijaribu kuwafanyia mashambulizi kwa siku 2 ila hawakufanikiwa kusogea zaidi. Hongera na rest in peace kwa mashujaa hawa
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas: Ndani ya mfumo wa kubadilishana wafungwa, Brigedi za Al-Qassam ziliamua kuwaachilia huru wanajeshi wa kike 4 kesho Jumamosi, 01-25-2025

    Wanaukumbi. Hamas: Within the framework of the prisoner exchange, the Al-Qassam Brigades decided to release the following female soldiers tomorrow, Saturday, 01-25-2025: 1-Soldier Karina Arif 2-Soldier Danielle Gilboa 3-Soldier Ne'ma Levy 4- Private Leri Elbag Hebrew Media: The list of names...
  17. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 1000 wa Korea Kaskazin wameuawa mpaka sasa. Wanakosa mbinu za Kisasa

    Takriban wanajeshi 1,000 wa Korea Kaskazini wameuawa na 3,000 kujeruhiwa wakati wa vita vya Urusi dhidi ya Ukraine katika kipindi cha miezi mitatu. Korea Kaskazini inaaminika kutuma wanajeshi 11,000 kusaidia jeshi la Urusi kuwaondoa wanajeshi wa Ukraine walioko eneo la Kursk kusini magharibi...
  18. dogman360

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Korea Kaskazini Waua wanajeshi wa Urusi

    Tukio hilo lilitokea tarehe 13 Januari 2025 karibu na kijiji cha Velikiy Soldatskoye, Mkoa wa Kursk. Wanajeshi watatu wa Jamhuri ya Watu wa Korea Kaskazini (DPRK) waliwaua wanajeshi watano wa Brigedi ya 810 ya Majini. Walitangazwa kuwa wahalifu wanaotafutwa." Hii ilikuwa Published...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Hamas huwa wanakimbilia mahandakini na kuwaacha raia wakati jeshi la Israel huwapa kwanza usalama raia kwenye mahandaki

    Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki. Hamas hali ipo tofauti, huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia watajijua wenyewe WHY ???
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na hatari kubwa ya kukamatwa nje ya nchi baada kufanya mauaji ya kimbari huko Gaza

    Wanaukumbi, Wakili aliyewasilisha kesi hiyo kwa niaba ya taasisi hiyo, Maira Pinheiro, alinukuliwa na vyombo vya habari vya Brazil akisema kwa vile Brazili imetia saini Mkataba wa Roma, inawajibika kuhakikisha kuwa uhalifu uliotolewa katika sheria hiyo (uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya...
Back
Top Bottom