wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Ethiopia athibitisha kuondoka kwa wanajeshi wake, Mekelle

    Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amekiri kwamba wanajeshi wa serikali yake wameondoka katika mji mkuu wa jimbo la Tigray, Mekelle baada ya miezi kadhaa ya mapigano. Kiongozi huyo amesema hatua hiyo ni kutokana na kuwa wameondoka na kuwa mji huo haukuwa tena kiini mizozo. Afisa mwingine wa...
  2. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ugali wa Rowe unafaa sana kutumiwa na wanajeshi vitani, Chakula asili cha Wamanyema na Waha hapa kwetu Kigoma

    Huu ni ugali usioharibika hata ukikaa mwezi mmoja, Ugali huu unaitwa Rowe hapa kwetu Kigoma. Unatengenezwa kutokana na muhogo, Masharti yake usihifadhiwe kwenye jokofu ama sahani. Unaandaliwa kwa siku 4 mpaka 7. Ugali wa Rowe baada ya kusongwa unahifadhiwa kwenye majani maalum ya mgomba...
  3. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania SADC wakubaliana kupeleka wanajeshi kukabiliana na ugaidi Msumbiji

    Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika siku ya Jumatano umeazimia kupeleka wanajeshi nchini Msumbiji kukabiliana na kitisho cha usalama katika jimbo la Kaskazini la Cabo Delgado. Hatua ya SADC inakuja baada ya vifo vya zaidi ya watu 3,000 huku wengine...
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kama askari wanaolinda hifadhi wamegeuka wauaji, basi Bunge libadili Sheria ili wanajeshi wapewe jukumu la kulinda hifadhi zetu

    Kumekuwepo na ongezeko la mauaji ya raia yanayosababishwa na askari wa wanyamapori na wale wanaolinda hifadhi za taifa. Hii siyo picha nzuri na imewafanya wananchi wanaoishi maeneo hayo kuishi kwa hofu kubwa wengine wakipata ulemavu wa maisha kwa sababu ya ukatili wa askari hawa. Serikali...
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuteua wanajeshi kushika nyadhifa za kiraia haufai

    Nazidi kusikitika kuona utawala na mamlaka ya raia yanapokonywa. Wanasiasa kama unaona huna uwezo wa kuwaongoza hao militant bila kuwaingiza kwenye siasa basi waondoe kwanza jeshini wabaki civilian then ndiyo uwateue. Kitendo cha karibia mkoa mzima wa Kigoma kuwapelekea wanajeshi kuwaongoza pia...
  6. Parody

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Watoto waokota bomu ambalo halijalipuka lililoachwa na wanajeshi waliokuwa katika mafunzo ya kivita

    Wananchi wa Vijiji vya Nyiboko, Borenga, Machanchari na Maremboto vilivyopo Kata ya Kisaka wilayani Serengeti wameliomba Jeshi la Wananchi (JWTZ) kukagua na kuondoa mabomu yaliosalia maeneo ya makazi baada ya Watoto kuokota bomu ambalo halijalipuka mara baada ya kuhitimisha mafunzo ya kivita...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu 'Wanajeshi' si tulishakubaliana kuwa hii tabia ya 'Kuua' Wake zenu kwa 'Wivu' wa Kimapenzi isijirudie tena?

    Askari JWTZ Mbaroni kwa Kuua Mke kwa Kumchoma na Kisu kwa kile kinachodaiwa ( na ambacho GENTAMYCINE nina uhakika nacho ) kuwa ni Wivu tu wa Kimapenzi. Chanzo: Habari Leo Ukurasa wa 3 Sasa nyie Marafiki zangu ( Wajeda ) mnakuwa na Wivu hivi kwakuwa 'mnamegewa' sana Wake zenu mbona na nyie...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 33 wauawa na wapiganaji wa Dola ya Kiislamu

    Wanajeshi 33 wa kambi ya jeshi Mainok katika jimbo la Borno wameuawa na wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa dola ya kiislam (IS). Wanamgambo walifika kambini hapo kwa kuvaa nguo za jeshi na kutumia magari ya jeshi na kufanikiwa kuidhibiti kambi kwa saa kadhaa. Dola ya Kiislam Jimbo la Afrika...
  9. James Martin

    JamiiForums Tanzania Je, tumejifunza somo gani kwa Wanajeshi kugoma kufanya kazi na kuandamana?

    Siku chache zilizopita mkuu wa majeshi amewafukuza vijana wapatao 854 waliofuzu mafunzo ya kijeshi kwa kushinikiza waajiriwe na jeshi kupitia mgomo wa kufanya kazi na maandamano. Mimi binafsi siamini wanajeshi watumiwe kwenye miradi yeyote ya kujenga uchumi na kazi zozote za kiraia na polisi...
  10. Mwl Philemon

    JamiiForums Tanzania Wanaokula mnofu wa Tanzania

    WANAOFAIDI KEKI YA TAIFA Na Thadei Ole Mushi. Kwa Mwezi anapokea Milioni 11,000,000 Kwa mwaka atapokea 132,000,000 Kwa miaka mitano atapokea Jumla 660,0000 Huu ni mshahara tu hujaweka kiinua Mgongo, bado Sitting allowance, bado Posho mbalimbali nk. Tuachane na mawaziri na manaibu waziri...
Back
Top Bottom