wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake, kuwa kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi wakipindua nchi ndani ya Afrika wanaitwa"madikiteta" kabla ya kupindua wanaitwa"walinzi"wa nchi na watiifu?

    Huu ni ujinga kama wanajeshi ndiyo walinzi wa viongozi wa kisiasa na mipaka ya nchi muda wote ndani ya Afrika na wanaaminiwa kwanini wasiachiwe nchi za Kiafrika waziongoze kijeshi? Wanasiasa ni mzigo na gharama hivyo wanajeshi eakichukua nchi za Afrika baadhi ya wanasiasa wataondoka wenyewe
  3. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Siku ya uchaguzi, mbali na Polisi, watasambaza pia wanajeshi vituoni na mitaani wakiwa na mitutu ya bunduki

    Kwa mtazamo wangu, hiki ndio kitakwenda kutokea ili kutisha wananchi wasiandamane kwa lengo la kuzuia/kukwamisha uchaguzi. Hii ndio itakuwa Pan B yao iwapo mipango mingine yote ya kuhujumu kampeni ya. NO REFORMS, NO ELECTION. Uwezekano mwingine ni kupiga marufuku mikutano yoyote ya kisiasa kwa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa na kidini wa Afrika ndiyo chanzo cha umasikini,vita,urasimu,wizi,ufisadi,nk tangu kuondoka kwa wakoloni.

    Afrika bila mapinduzi ya kijeshi hakuna ukombozi wala maendeleo yoyote watakayoona kwani viongozi wa kisiasa wa Afrika wanashirikiana na viongozi wa kodini wa Afrika na wote ni wezi wanaihujumu AFRIKA. Kwasasa MAPINDUZI ya kijeshi ndiyo mzizi wa kila kitu ndani ya Afrika kwa WANAJESHI...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Israel yasema wanajeshi 16,000 wamelazwa tokea vita kuanza oktoba 7, 72% wamekatwa viungo

    Wadau hamjamboni nyote? Nusu ya hao wanatatizo la kisaikolojia yaani PTSD 72% wamepoteza baadhi ya viungo vyao Jumla askari wote wanaoitibiwa ni 78,000 ikijumuisha majeruhi wa vita vilivyotangulia kabla ya oktoba 7,2023 Ifikapo 2030 inatarajiwa askari 100,000 watakuwa wakipatiwa matibabu...
  6. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi kipindi ndege ya JWTZ inaanguka wakati wa kupokea wanajeshi waliotoka Uganda?

    Ilikuwa tarehe Mosi September 1980 wakati ndege ya Jeshi la wananchi wa Tanzania ilipoanguka kwenye eneo la uwanja wa Taifa katika sherehe za kuwapokea wanajeshi wetu wakirejea kutoka Uganda kumng'oa nduli Idi Amin Dada. Je ulikuwa wapi wakati huo?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine kule Kursk kumbe walishatoroka. Russia yaduwazwa

    Mwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe. Marekani ilikuwa inafanya hivyo ikiwa na...
  8. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wakuu kupandishwa kizimbani huko DRC

    Viongozi wa ngazi za juu jeshini nchini DRC, waliokimbia Goma na Bukavu, wataanza kujitetea mahakamani kuanzia leo tarehe 13 March 2025 na mahakama kuu ya jeshi. Wanakabiliwa na tuhuma za kuachia maeneo ya nchi(kutokua wazalendo), huko Goma na Bukavu; Wanatuhumiwa kumuachia adui silaha,risasi...
  9. Now and then

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi huwa zinapelekea wake wa wanajeshi kutokuwa wachoyo?

    Hakuna wanawake ambao sio wachoyo Kama wake wa wanajeshi
  10. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanajeshi wa SADC warudishwa nchi wanazotokea, kupitia Rwanda

    Mida ya saa moja kasoro robo, leo hii tarehe 24 Februari 2025, badhi ya wanajeshi wa SADC waliokuwa Goma, kwenye mission ya SAMIDRC, wamepitia mpaka mkubwa wa Goma na Rubavu, wakirudi makwao. Ni baada ya kuwepo DRC kulisaidia jeshi la serikali ya Congo (FARDC) kukabiliana na kundi la M23...
  11. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Badhi ya wanajeshi wa Afrika Kusini kurudi kwao leo.

    Pichani, ni maandalizi ya jeshi la Polisi nchini Rwanda,mpakani mwa Rwanda na DRC. Eneo hili ndo watapitabadhi ya wanajeshi wa Afrika Kusini, na kupekuliwa, ili waendelee na safari yao,kuelekea uwanja wa ndege wa Kanombe huko Kigali.
  12. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Polisi na wanajeshi wa FARDC wajiunga na M23

    Kwa hiali yao,askali Polisi 2,100 na wanajeshi 890 huko Kivu kusini, wameamuwa kutoka walikokuwa wamejificha na kukubali kujiunga na M23 kwa hiali. Akiongea nao Gen Byamungu, amewashukuru kwa uamzi huo, na kuwaomba wawe watulivu,kwamba wao ni raia wa Congo, na tatizo halipo kwao bali kwa...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania South Africa wapeleka wanajeshi zaidi 700-800 na VIFAA Vizito vya kivita kupambana na M23

    BAADA ya WANAJESHI WAO kuuwawa na M23 South Africa imetuma WANAJESHI zaidi ya 700 na VIFAA vizitooo Imeomba nchi za SADC na EAC kushirkiana kuuondoa MAGAIDI WA M23 wakiachwa wataenea Africa nzima USHAURI tu wapendwa Hawa n majangili magaidiiii Pale mnapoweza kupambana nao pambaneni nao...
  14. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Burundi kurudisha wanajeshi wake waliosalimika

    Baada ya makundi mengine kutangaza kujiunga, kuongeza nguvu ili rais wa Burundi aondolewe madarakani; Huku pia waasi wake RED TABARA wakiwa tu umbali wa kilometa 76 kutoka walipo sasa M23, Rais ameagiza wanajeshi wake hao warudi nchini. Wanaorudi, wanafikia katika bonde la RUSIZI, kwa...
  15. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 212 wahukumiwa kifo huko Kivu kusini

    Mahakama ya kijeshi, huko DRC, Kivu kusini, leo tarehe 14 Februari 2025, imewahukumu wanajeshi 212 kifo, baada ya kukutwa na hatia ya kukimbia adui,kosa lililotafsiriwa kuwa ni usaliti wa kiapo. Mbali na hukumu hiyo, wote wametakiwa kulipa faini ya dola za kimarekani, laki mbili. Mashitaka...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwandishi arekodi video kuonesha Wanajeshi wa DRC walioshindwa na M23 wanavyoishi kwa tabu Goma

    Mwandishi UMUTONI Adeline arekodi video kuonesha Wanajeshi wa DRC walioshindwa na M23 wanavyoishi kwa tabu Goma
  17. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: South Africa yatuma wanajeshi wengine DRC kukabiliana na M23

    Wakati nchi wanachama wa SADC na EAC wakikubaliana kuhakikisha amani inapatikana mashariki mwa Congo, taarifa za chini chini zinaeleza kuwa wanajeshi kati ya 700 na 800 tayari walishawasiri nchini Congo kuongezea nguvu jeshi la serikali hiyo. Chanzo cha habari, Reuters, kimesema kwamba, ndege ya...
  18. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Rwanda wanakufa kwa wingi, Pamoja na Serikali ya Rwanda kukana uwepo wa majeshi yake DRC

    Habari wana bodi. Kutoka Vyanzo vya habari vya The guardian, Wanaandika yakua Rwandan troops wanakufa kwa wingi, wanasafirishwa na kuzikwa kwa siri sana hapo Rwanda. Pia kinaeleza kua wazazi wa hao wanajeshi hawapewi taarifa za kina juu ya vifo vya watoto wao ila wanaambiwa "they died in a...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Rwanda wanapukutika kama kumbikumbi Congo.

    Pamoja na kwamba Rwanda inaedelea kutoa sapoti kwa M23 nchini DRC, inakadriwa hadi sasa Rwanda imepoteza zaidi ya wanajeshi 2000 katika mapigano yanayoendelea. Rwanda imekuwa ikifanya siri na kupiga marufuku wananchi wa Rwanda kuchapisha taarifa za vifo vya wanajeshi wake mitandaoni. The...
  20. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Zimevuja! Wanajeshi wa Rwanda wanakufa sana huko DRC!

    Wamejitahidi sana kuficha lakini wapi! Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role Exclusive: Sources say thousands of RDF killed supporting M23 rebels in eastern Congo, intensifying pressure on Kigali...
Back
Top Bottom