Wanajeshi wa Morocco wauawa kwa Makombora Huko Haifa

Sun Zu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2022
Posts
761
Reaction score
2,115
K
Katika mfululizo wa mashambulizi ya Makombora ya Iran huko Israel duru zinaeleza kuuawa kwa maofisa wawili wakubwa wa kijeshi Wa Jeshi la Morocco waliokuwa katika mafunzo ya pamoja na IDF huko Haifa.
Aidha mwanajeshi mmoja alinusurika kwa majeraha na yupo anatibiwa.

My take: Hawa waisrael wameumbwa kwa chuma mazee, haya Makombora ya Iran Kila yakirushwa tumekuwa tukiambiwa TU sita wamejeruhiwa, 13 wamejeruhiwa, 20 wamejeruhiwa, huwa Hakunaga kifo kwa muisrael😀.

Ona Sasa Hadi kombora lililoshambulia KITUO Cha pamoja Cha mafunzo Kati ya IDF na Wamoroko kimechagua kuwaua Wamoroko wawili, kujeruhi mmoja, lakini waisrael ni kimya, haya Makombora hayafai, Yana ubaguzi sana😂
 
Attachments

  • 1000074681.jpg
    1000074681.jpg
    139.2 KB · Views: 32
Hao Wamorocco wangekufa hata 10 poa tu kwani hawana faida
 
YAANI LEO TOKA ALFAJIRI KICHWA CHANGU KIPO VIBAYA SANA, ILA UMENICHEKESHA NDIO KWANZA NACHEKA TOKA ASUBUHI.
“MAKOMBORA YANA UBAGUZI”
 
K
Katika mfululizo wa mashambulizi ya Makombora ya Iran huko Israel duru zinaeleza kuuawa kwa maofisa wawili wakubwa wa kijeshi Wa Jeshi la Morocco waliokuwa katika mafunzo ya pamoja na IDF huko Haifa.
Aidha mwanajeshi mmoja alinusurika kwa majeraha na yupo anatibiwa.

My take: Hawa waisrael wameumbwa kwa chuma mazee, haya Makombora ya Iran Kila yakirushwa tumekuwa tukiambiwa TU sita wamejeruhiwa, 13 wamejeruhiwa, 20 wamejeruhiwa, huwa Hakunaga kifo kwa muisrael😀.

Ona Sasa Hadi kombora lililoshambulia KITUO Cha pamoja Cha mafunzo Kati ya IDF na Wamoroko kimechagua kuwaua Wamoroko wawili, kujeruhi mmoja, lakini waisrael ni kimya, haya Makombora hayafai, Yana ubaguzi sana😂
Kwahiyo ni secret Ola wewe umeipata kifaransahatujui
 
WAONGO HAO WANAKUFA KAMA ILVYO ADA
 
Hahahahahaha wazayuni kama masteringi kwenye movie za Hollywood au za kidosi, steringi akipigwa hafi ila akigusa tuu wenzie wanakufa
 
So hata Morocco nao wanapeleka wanajeshi wao Israel kwa mafunzo? Why not Iran? Hili limenishangaza; halafu kuna wale wapuuzi walikua wanawalaumu kina Joshua waliopelekwa Israel na serikali yetu kwa ajili ya mafunzo ya kilimo
 
Back
Top Bottom