Niliwaandikia hapa
https://www.jamiiforums.com/threads/wanajeshi-mnaoungana-na-wananchi-hakikisheni-nchi-inakombolewa-duru-zimethibitisha-samia-akifanikiwa-mtafanyiwa-persecution-ambayo-haijawahi-tokea.2394820/
Hamkua Serious, Sasa na nyinyi Kilio kilekile tulicholia wakati wa Usaliti wenu...
Miaka ya nyuma kwenye Uchaguzi kule Zanzibar kulikuwa na kikundi kinaitwa Janjaweed ambacho kilikuwa kinafanya haya haya yaliyofanyika Dar kwenye maandamano.
Nafikiri waliamua kutumia style za Zanzibar kushughulika na waandamanaji. Walichosahau ni kuwa population ya Zanzibar ni ndogo kuliko...
Kwa upande wa Jeshi sina cha kuongeza kila mtu ameona namna walivyoviishi viapo kwa Taifa lao.
Kwa upande wa police nanyi mmeonyesha kumbe nanyi mpo conscious japo mwanzo nilikuwa nawatazama kwa sura hasi sana.
ufyatuaji wenu wa mabomu ya machozi umedhihirisha kuwa hamkuwa na nia ovu mioyoni...
Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi!
Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk!
Kwa jicho la 3, mimi...
chama
chama tawala
gani
kampeni
kampeni za uchaguzi
kisheria
kosa
kosa kisheria
kuchagua
lini
maana
mabango
mwanajeshi
sababu
sheria
uchaguzi
wanajeshi
Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju.
Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake
kwa hivyo...
dharau
genge
jeshi
jeshi la uganda
jwtz
kikosi
kitendo
kudhibiti
maandamano
maandamano oktoba 2025
maandamano tanzania
samia
uganda
updf
wanajeshi
wengi
Wakuu Hawa wahuni wako serious sana sana !!.
Sasa Kuna Taarifa za kuthibitika , ni kwamba Genge la Akina Samia limeamua mambo yafuatayo
Kwanza, Wahakikishe iwe ni Kwa Jasho ,Damu Samia aapishwe.
Pili, Baada ya Uhapisho wake, KUTAFUFANYIKA PERSECUTION DHIDI YA WANAJESHI WOTE AMBAO...
Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo ndani ya Mkoa huo umefanya mazoezi ya pamoja Oktoba 3, 2025.
Mazoezi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Jeshi la Wananchi Mwenge – Kikosi cha Bendi, yalihusisha matembezi mafupi (route match) pamoja na...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Hii inchi ni ngumu sana wakuu
Mimi nilitegemea wanajeshi watukomboe kumbe wanajeshi nao wanatutegemea sisi raia tena
Dah nimechoka kabisa aisee
Ivi hakuna hata captain mmoja kweli asokote kikosi atukomboe jaman
SAYUNI BOY
Nawasalimu nyote kwa isani ya maandamano ya amani 29 October
Watanzania ambao ni wanajeshi msikubali wanasaiasa wenye tamaa za madaraka kusababisha vita vya sisi kwa sisi
kakikundi kidogo chenye tamaa za madaraka na vitoto vya shetani vinatka kumwagilia mafuta wananchi na majeshi kumwagana...
Kuna Mwanajeshi kataka Tanzania isifanye uchaguzi.
Je, Yupo peke yake au nyuma yake kuna wenzie. Kama katoka hadharani na kisema, huu mwezi wa kumi 2025 utakuwa ni mwezi kona.
Anaitwa Kapteni Tesha kutoka Shule ya Anga ya Jeshi. Amesema katafakari sana..
Amesema, "JESHI LICHUKUE NCHI HARAKA...
Wakuu habari.
Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?.
#kazi ipo
Aibu sare za wanajeshi zinatolewa nje ya nchi kwasababu.
Kuna viwanda vya nguo kama A to Z ambavyo Bill gate foundation wanatoa pesa za ili watengeneze neti za mbu cha ajabu badala ya kutoa kazi kwa hizi kampuni tunaenda kuagiza sare kwa kulipa mabilioni
Yaani ni aibu sana kuagiza mpaka sare...
Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi
watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
Sehemu nyingi Duniani askari police huwa hawana akili. Askari Police wengi asilimia 80 huwa hawana tofauti sana na Mbwa.(Naamini wa Tanzania wapo tofauti) Wana Elimu ya kutosha na wameelimika.
Sasa ukija kwa hawa Police na hata Mbwa huwa wana akili. Huwezi mwambia Mbwa amuume bwana ake akafanya...
Wanaukumbi.
Wanajeshi wanne wa Israel wameuawa katika shambulio la Hamas pembezoni mwa Jiji la Gaza mapema Jumatatu Septemba 8, 2025 jeshi limethibitisha baadaye siku hiyo.
Tangazo hilo limetolewa wakati Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu akiwatolea rai wakazi wa Jiji la Gaza “kuondoka mara moja,”...
Wanakumbi.
Kundi la Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuripotiwa kuwakamata wengine 4.
Hata hivyo Israel imedai kuwa ni mwanajeshi mmoja tu aliyeuawa na wengine 11 wako katika hali mbaya.
Israel imeweka udhibiti mkali wa vyombo vya habari kuhusu ripoti zinazohusiana na...
Kikosi cha wapiganaji wa al qassam kimefanya shambulio hivi Leo na kufanikiwa kuwateka wanajeshi wanne wa Israel na kuuwa wengine 9 na kuacha majeruhi wengi. katika tukio linaloendelea katika mji wa Gaza.
Helikopta 8 za jeshi la Israel zimeonekana zikibeba maiti na majeruhi kuwapeleka hospitali...
WANAJESHI/ POLISI NA USALAMA WAFUNDISHWE UJASIRI WA KUPINGA DHULMA NA KUTETEA HAKI NDANI YA NCHI. HUO NDIO UJASIRI WA KWELI NA SIO VINGINEVYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Moja ya sifa kuu za mwanajeshi na askari ni kuwa JASIRI na ili Mwanajeshi aitwe Jasiri lazima awe jasiri wa kupigania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.