wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi waliiambia BBC: 'Tulishuhudia wenzetu wakiuawa kwa amri ya makamanda wetu'

    Dima anasema alishuhudia askari mwenzake akiuawa kwa amri ya moja kwa moja ya kamanda wake. Dima anasema alishuhudia askari mwenzake akiuawa kwa amri ya moja kwa moja ya kamanda wake. Maelezo kuhusu taarifa Onyo: Taarifa hii ina maelezo ya vurugu iliyokithiri na marejeleo ya kujiua...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

    Salaam Wakuu, Inadaiwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wanakufa kama Nzi au Mbu huko Kongo. Hii habari nimeiona mtandaoni. Je, hizi habari ni za kweli? Sasa kwanini Wananchi ambao ndo wahusika wa Jeshi hatuambiwi? Waziri wa Ulinzi yupo kwenye Sherehe za Futari na kufuturu...
  3. pulex

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Vifo vya Wanajeshi wa JWTZ Minembwe, Congo: kama ni kweli, Je Samia na Mkunda wanahusika?

    Inasemekana wanajeshi wengi wa JWTZ wameuawa kwenye misitu ya Minembwe inayokaliwa na watu wenye asili ya banyamulenge uko nchini Congo. Baada ya wanajeshi wa JWTZ kushindwa Boma na Bukavu kwenye mapambano na M23, inasemekana Serikalini ya TZ kupitia Samia na Mkunda wakatuma wanajeshi kwenda...
  4. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya Picha na Video zilizochapishwa mtandaoni kumuhusu Rais Maduro baada ya kukamatwa na Marekani zinapotosha uhalisia

    Baada ya Januar 03, 2026 Rais wa Marekani Donal Trump kutangaza kuwa vikosi vya jeshi lake vimemkamata Rais wa Venezuela Nicolous Maduro kumeibuka picha na video nyingi kuuhusu Rais huyo akiwa anakamatwa ama akiwa katika mikono ya wanajeshi wa Marekani.
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka

    Mwezi Julai 2025 ndipo ahadi ya Serikali kuwalipa mafao wastaafu wa jeshi waliopigana vita ya kagera. Taratibu za kuwakusanya wazee hao zolifanyika uku wakitoka sehemu mbali mbali za nchi na kukusanyika mahali walipo pewa taarifa kukutana ili wapate mwongozo.. wakapewa mwongozo wakafungua...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mtambo wa Kichina wa kurusha makombora walipuka na kuua wanajeshi 8 wa Cambodia.

    https://www.instagram.com/reel/DSuT14MCbJf/?igsh=ZnBzOGh3bGhpOW51
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanajeshi na polisi mliopo Majani Ya Chai muwahisheni raia mliyegonga na gari hospitali. Tumewaona!

    Ni tukio la dakika tano. Kuna raia amegongwa kama sio na polisi waliopo doriaa hapo majani ya chai itakuwa ni Jeshi maana wote wapo eneo la tukio na wanauzoa mwili na kufuta futa damu Ili kupoteza ushahidi. Tafhadhali mpelekeni hosptali huyo Mtanzania haraka sisi jirani tunawaona kwa madirishaa
  8. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi nao wameamua kukesha leo

    Tayari magari ya kurusha maji washa washa kimara yameshawasili hii ni woga tuu ya waandamanaji kesho Poleni sana askari wetu kwa kufaidisha mbu usiku wa leo
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ni usiku sasa, Wanajeshi rudini mkalale Polisi wafanye doria kuwalinda

    Ndugu zangu wa JWTZ, ni muda wa kwenda kulala, yes kalaleni kwa amani, polisi wapo kwaajili ya kuwalinda wala msiogope. Pumzikeni baada ya kazi ya kupasua matofali kwa kichwa. Mkikamatwa mnazurura msije mkalaumu, si mnamjua kamanda Mafwele, kiboko yenu?
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa JWTZ wapewe kazi za kufanya usafi wa mitaa

    Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma. Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Halafu kesho unamtuma eti Waziri wa Vijana akaongee na vijana. Akaongee na wanajeshi na Polisi

    Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki. Hii ndio nchi iliokuwa inaitwa kisiwa cha amani leo inatawaliwa kwa mtutu wa bunduki. Ni aibu na fedheha tupu mbele ya walimwengu. Anyway, haya ndio matokeo ya kutawaliwa na viongozi haramu wasio na...
  12. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

    Kikundi cha wanajeshi kilionekana kwenye televisheni ya taifa ya Benin kikitangaza kuvunjwa kwa serikali katika kile kinachoonekana kuwa mapinduzi nchini humo, iliyopo Afrika Magharibi. Mapinduzi hayo yametangazwa leo siku ya Jumapili kumng’oa madarakani Rais Patrice Talon, ambaye ameiongoza...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Uzuri nchi ikiharibika, hata hawa Polisi na Wanajeshi nao wataishi kwa shida wao na ndugu zao

    Kama wanafikiri wako sahihi na kwamba huo ndio uzalendo, muda utawapa funzo siku si nyingi pale kila mtu atapoanza kuathirila kwa namna moja au nyingine. Mfano, watakosa madaktari wa kuwatibu wao na familia zao, watakosa muda wa kwenda bar na kunywa pombe, watashindwa kuendesha biashara zao...
  14. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi ni watu wa kawaida sana , hawana exceptional skills zozote, kinachowabeba wao ni ile brand waliyojiwekea

    Penye ukweli pasemwe. Mpaka leo hakuna martial artist yeyote (G.O.A.T) ulimwenguni kote ambaye anatokea jeshini , kwenye sanaa za mapigano zote (martial art) kuanzia boxing, kung fu ,taekwando ,judo, kickboxing, muay thai, jiu jitsu nk Ile man to man huwa hawatoboi , hata tukiangalia kwa hapa...
  15. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Mnauhakika hao ni wanajeshi au wale wauwaji wamepewa sare za jeshi

    Msiwe wajinga hao ni wauwaji kamwe msikubali wawaingize kingi Wamepewa bunduki mpyaaaaaa Msidanganywe wanajeshi wapo pamoja na nyie nyie jipambanianeni tofauti yenu na wao ni bunduki tu hayo waliovaa ni mavazi tu usitegemee binadamu mwenzio akupambanie fellas Wale ni wauwaji na wamepewa...
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu leo Tabata. Polisi anatoa maelekezo kwa Wanajeshi aisee

    Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili? Hivi Hili ni...
  17. bikira latifah

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi JWTZ wenye silaha warudi kulinda Dar es Salaam, kulikoni?

    Leo naona ghafla jamaa wakiwa na silaha wamerudi tena kwenye barabara kuu hadi vituo vya mwendokasi wapo. Hapa katikati waliondoka wakawaachia polisi ila leo chap kama wamerudishwa wamezagaa mjini
  18. sanalii

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa wanajeshi (JWTZ) mtaani tar 29 ndio kumeongeza maafa zaidi

    kama hukutoka tar 29 na unampango wa kufanya hivyo D9 bas nakushauri usijeingia mkenge wa hawa jamaa ukiamini wako pamoja na nyie, na nimasikitiko yangu kua bado Mange anauza narratives zile zile kua jamaa safari hi wamejipanga na wako pamoja na sisi, sii ni hatari sana. kwanini nasema...
  19. Yohimbe bark

    JamiiForums Tanzania Mange anadai tar 29/10 askari na wanajeshi wengi walikufa

    Habari wakuu. Dada wa taifa anadai tar 29/10 siku ya uchaguzi askari na wanajeshi walikua wanauwana wenyewe kwa wenyewe na walikufa wengi tuu, swali ninalojiuliza mbona hatujaona hata picha au video hata moja ya askari au mwanajeshi kafa???? Btw namuamini Mange kimambi.
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kifinyo cha Kimataifa kizidi hadi Wanajeshi na Polisi wakose Posho na Mishahara

    Watanganyika tumeamua. Baada ya Umoja wa Ulaya kukata misaada sasahivi tunaenda nchi moja moja za Ulaya, Marekani, Taasisi za Kifedha za Kimataifa zikiwemo World Bank na IMF na Mabenki yao. Huyu muuaji tutahakikisha tunampiga kutoka kila upande hadi akose hela za kuwalipa Mercenaries wanaokuja...
Back
Top Bottom