MIKOA minne imetajwa kuwa kinara wa ndoa za utotoni kipindi hiki ambapo wanafunzi wapo majumbani, kutokana cha mlipuko wa ugonjwa wa corona.
Serikali ilitangaza kuzifunga shule zote za msingi, sekondari na vyuo Machi 17, mwaka huu kutokana na mlipuko wa janga hilo. Mikoa hiyo ni Ruvuma, Mara...