Watanzania wengi tumekuwa bendera fuata upepo ndio maana misimamo ya kile tunachofanya kuanzia elimu, siasa, sanaa, michezo, maisha, baishara na n.k ni kama tunaangalia au kukipokea kwa haraka wimbi hili.
Wanafunzi kwa sababu fulani anasoma PCM na wewe unaenda tu.
Wanafunzi wa vyuo nao ni...