wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Iran: Wanafunzi Vyuo Vikuu na Sekondari wachachamaa kupinga udhalimu wa kidini, huku serikali ikilaumu Marekani na Israel

    Badala ya rais na mayatollah wasklize wananchi wao, wameamua kulaumu Marekani na Israel..... DUBAI, United Arab Emirates (AP) — Iranian President Ebrahim Raisi on Tuesday appealed for national unity and tried to allay anger against the country’s rulers, even as the anti-government protests that...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi nchini Uganda waandamana kupinga EU kuhusu mzozo wa Mafuta nchini Uganda

    Wanafunzi wafanya maandamano ya kupinga Muungano wa Ulaya juu ya mzozo wa mafuta wa Uganda Patience Atuhaire / BBCCopyright: Patience Atuhaire / BBC Mamia ya wanafunzi wa Uganda wanaandamana dhidi ya bunge la Ulaya, baada ya kupinga mradi wa mafuta baina ya nchi hiyo nan chi Jirani ya Tanzania...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Manyara: Diwani kata ya Nangara agawa bima ya afya ya ICHF kwa wanafunzi

    Na John Walter Katika kutoa hamasa kwa wanafunzi wa darasa la Saba kufanya vyema katika mitihani yao ya kuhitimu elimu ya Msingi, Diwani wa kata ya Nangara, mjini Babati mkoani Manyara ametoa kadi za Bima za Afya (ICHF) kwa wanafunzi katika kata hiyo. Akikabidhi bima hizo Diwani wa kata ya...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia

    Majina ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia Ufadhili wa Samia: Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza majina ya wanafunzi 640 wanaostahili kupata ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship baada ya kufanya vizuri katika masomo ya sayansi. Leo wizara...
  5. JamiiForums Tanzania Mdude Chadema: Wanafunzi wanaolipa kodi ya VAT wakinunua madaftali wanasoma kwenye mapagala!

  6. JamiiForums Tanzania Aibu kubwa sana. Miaka 60 ya uhuru wanafunzi bado wanasoma kwenye madarasa mabovu huko Masasi

    Majengo chakavu ya shule ya Msingi Mkalapa, wilayani Masasi Mkoa wa Mtwara yaelezwa kuhatarisha maisha ya wanafunzi na walimu. Majengo chakavu ya shule ya Msingi Mkalapa, wilayani Masasi Mkoa wa Mtwara yaelezwa kuhatarisha maisha ya wanafunzi na walimu. Shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 1947 na...
  7. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 521 watoroka shuleni Simiyu, Serikali imetangaza mpango wa dharura

    Jumla ya wanafunzi 521 wa Shule mbalimbali Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wameripotiwa kukimbia masomo kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita hali ambayo imeilazimu Serikali kutangaza mpango wa dharura wa kukabiliana na tatizo hilo. Ni katika kukabiliana na changamoto ya utoro shuleni, ambapo...
  8. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 521 watoroka shuleni Simiyu, Serikali imetangaza mpango wa dharura

    Jumla ya wanafunzi 521 wa Shule mbalimbali Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wameripotiwa kukimbia masomo kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita hali ambayo imeilazimu Serikali kutangaza mpango wa dharura wa kukabiliana na tatizo hilo. Ni katika kukabiliana na changamoto ya utoro shuleni, ambapo...
  9. JamiiForums Tanzania Iran inakosa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi wanaiogopa Israel

    Iran inaelekea kuishiwa kabisa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi katika vyuo wanaogopa kusoma nuclear science. Hii imechangiwa na operesheni za Israel ambapo wataalamu wa mambo hayo wamekuwa wakiuawa.
  10. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo wa Urusi kupewa likizo wakapigane Ukraine - aibu hadi lini

    Hii special operation imekua aibu na kero kwa Warusi, dah... kainchi kadogo ka Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi, kila nikiangalia hii ramani nashangaa sana Kainchi ka Ukraine kwenye hii ramani, hata wale wanaoshabikia Urusi kisa mihemko ya kidini ya chuki zao kwa Marekani wanapaswa wapate...
  11. JamiiForums Tanzania Shule ziwe na "madarasa kando" kwa ajili ya Wanafunzi Wabunifu

    Dunia inaenda kasi sana na hakuna wa kumsubiri mwingine eti ndio tuende sawa. Ni dhahiri kuwa Mataifa yaliyoshika hatamu za dunia hii wao wamewekeza sana kwenye sayansi na teknolojia, gunduzi mbalimbali zinazofanywa na Wananchi wao ndio zinazogeuzwa bidhaa na wengine tuliobaki tunakuwa Wateja...
  12. JamiiForums Tanzania Wanafunzi kulipa Tsh. Milioni 4.8 kwenda China na Air Tanzania

    Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), imepunguza gharama za safari zao za ndege kwa wanafunzi wanaosafiri kutoka Tanzania kwenda China kutoka Dola za Marekani 3800 hadi Dola za Marekani 2100. Akizungumza leo, Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki, amesema mpaka sasa gharama za safari za...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Mazingira upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe

    Mazingira ya upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe Na wenu, Mtambo 1272019 Kwa miaka mingi, tumeshuhudia mtoto wa kike akiachwa nyuma katika suala la upataji wa elimu bora , jambo hili limechochea watoto wa kike kuwia ugumu kupata elimu bora bila vikwazo vingi. Pindi umuonapo...
  14. JamiiForums Tanzania Wazazi walalamika Wanafunzi wa shule tatu za Msingi kusomea chini ya miti Kigoma

    Wanafunzi wa Shule za Msingi Muungano, Mvugwe na Kasasa katika Kata ya Makere, Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, wanalazimika kusoma wakiwa wamekaa chini ya miti na wakati mwingine kwenye sakafu kwa kile kinachoelezwa na wazazi wao na viongozi kuwa wamekosa madawati ya kutosha. Hayo yameelezwa na...
  15. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapendekezo yatakayoleta mabadikiko chanya katika elimu ya kitanzania, Hasa kuifanya elimu iwe ya kufurahia na isiyo chosha kwa wanafunzi

    Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana shuleni , vyuoni , na maishani .(nukuu kutoka kamusi ya kiswahili sanifu). Elimu huwasilishwa kwa njia mbili; nazo ni elimu rami na elimu isiyo rasmi . Elimu rasmi kutolea na walimu wenye sifa na juzi wa kufundisha wakati elimu isiyo rasmi ipo nje ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hapa dsm wanafunzi wengi wanaishia Kupata zero form four je Serikali inalitambua hili?

    Nipo shule x Hapa dsm nasikitika kusema Kuna zaidi ya watoto wa kike 100 lazima wapate zero maana naandika Hapa hawa Ni watoto hawajui hata kuandika majina yao kwa ufasaha. Sasa hawa watoto wa kike wengi wanatoka uswahilini je baada Kupata zero wanaenda kufanya shughuli gani au kuolewa na ...
  17. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mara washika nafasi ya 5 kwa wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika

    Taarifa iiyotolewa Afisa Elimu wa Mkoa, Benjamin Oganga imeonesha pia kuwa mkoa huo umeshika nafasi ya 5 kitaifa kwa kuwa na wanafunzi wanaohitimu darasa la 7, bila kujua kusoma na kuandika. Oganga ameongeza kuwa ufatiliaji uliofanywa unaonesha ndani ya miaka mitano, wanafunzi 350,000 katika...
  18. JamiiForums Tanzania Walezi acheni kupeleka watoto bweni kama shule za kutwa zipo karibu. Bweni inaweza kuwa jehanamu kwa mtoto mdogo na kijana anayepitia balehe

    Leo mtoto wangu wa darasa la nne kaniletea barua kutoka shuleni kwao kwamba eti yafaa zaidi awe anabaki huko huko shuleni boarding asiwe anarudi nyumbani. Nikiwa kama mzazi wake hii barua ilinipa hasira sana, hhizi shule za sikuhizi wametanguliza sana pesa kuliko watoto wetu, Kuna kipindi...
  19. JamiiForums Tanzania India: Serikali yafunga Shule 34 baada ya Wanafunzi wote kufeli mitihani

    Mamlaka za Jimbo la Assam lililopo Kaskazini-Mashariki mwa Nchi hiyo zimefikia uamuzi wa kufunga shule 34 baada ya Wanafunzi wengi kufanya vibaya katika mitihani na kuwahamishia katika shule nyingine Maelfu ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali za Jimbo hilo walifanya mtihani wa Cheti cha...
  20. JamiiForums Tanzania Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya

    Nimehudhuria usaili kadhaa wa utumishi kwa kazi nilizoomba kupitia ajira portal wiki hii. Ni kazi za ICT officers. Kwenye mchujo (written interview) wanauliza maswali ambayo ni ya wanafunzi, yale maswali yanayohusisha kukariri vitu vingi na terminologies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…