wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa wadaiwa kuingilia Mfumo na kuonekana kama Wamelipa Ada

    Wanafunzi wadaiwa kuingilia mfumo, waghushi malipo ada Kwa kufanya hivyo, wanafunzi hao wanaonekana hawadaiwi, hivyo kukikosesha chuo mamilioni ya shilingi. Pia wanadaiwa kughushi stakabadhi za malipo na mihuri ya benki ili kujiridhisha kuwa hawadaiwi ada. Uchunguzi wa kina ambao umefanywa na...
  2. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mwalimu wa Madrasa atuhumiwa kulawiti wanafunzi 10

    Mwalimu wa Madrasa katika msikiti wa Mohamed Shunu uliopo Mtaa wa Shunu Kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama, aliyefahamika kwa jina moja la Faidhi anashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi 10 wa madrasa kwa nyakati tofauti kwa kuwarubuni kuwapa Sh 1000 na Sh 500...
  3. JamiiForums Tanzania Bunge: Bodi ya Mikopo inahitaji Tsh. Bilioni 800 kukopesha wanafunzi wote nchini

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HESLB), inahitaji Sh800 bilioni ili iweze kutoa mikopo kwa wanafunzi wote waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu. Nyongo ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba Mosi...
  4. JamiiForums Tanzania Bunge laitaka Serikali kuhakikisha wanafunzi wenye sifa na wamekosa mikopo kupokelewa Vyuoni haraka

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo. Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata...
  5. JamiiForums Tanzania Uchambuzi maalumu kuhusu sintofahamu katika utoaji wa Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu

    Habari za muda huu wana Jf . Mimi kama mdau wa maswala ya elimu hapa Tz hilo suala nimeliona kubwa ,muhimu na linapaswa kupatiwa ufumbuzi. Nimepitia nyuzi mbalimbali humu ,maoni ya wadau ,wanafunzi na utafiti wangu binafsi nimegundua kuwa kuna malalamiko makubwa katika utoaji mikopo kwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Law school ya Tanzania mnayo ya kujifunza Kenya

    Mzizi wa fitina pale law school ni ukiritimba unaozalisha miungu watu. Lawyer seeks to break Kenya School of Law monopoly Kenya walikwisha yaona hayo na hatua zinaendelea kuchukuliwa katika level mbalimbali. Kwenye uwanja wa mapambano options zote ni muhimu kuwa mezani. Ikumbukwe tofauti...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu kataza wanafunzi kulazimishwa kwenda na madaftari yote shule

    Huwezi kuelewa mzigo wanaobebeshwa wanafunzi wa shule za kutwa mpaka pale utakapojaribu kuubeba mfuko wa madaftari wanaobeba wakienda shuleni. Kitendo cha watoto kulazimishwa kwenda na Vitabu vya kiada na Madaftari ya Masomo yote shuleni kila siku kinawaletea wanafunzi hao matatizo kwenye uti wa...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi wanafunzi wanaosoma shule za kata wana matatizo gani?

    Matukio yanayonihuzunisha 1.Wanapiga makonda mpaka wanawapa vilema 2.Mwalimu akizingua wanamchapa kama mtoto mdogo 3.Yaani shule wanaingia saa 4 Kuhusu taaluma 1.Kufaulu 1 kati ya 120 2.Mwanafunzi mwaka mzima kasoma page 2 3.Muda wa masomo wanashinda vijiweni wakicheza kamari 4.Akienda...
  9. JamiiForums Tanzania Tofauti ya ufundishwaji wa masomo ya sayansi kwa Afrika na China

  10. JamiiForums Tanzania Mambo 10 magumu kwa wanafunzi wa 'short course' wanaosoma VETA Kama huyawezi usiende; tafuta njia nyingine ya kusoma

    Una mpango wa kusoma Short Course V.E.T.A ? Na ni mtu mwenye majukumu yako?! Basi, tambua: 1. Utalazimishwa kuvaa sare. Hauko tayari kuvaa sare mazingira yako ni magumu. Hakuna cha 'bring-bring' wala nini! 2. Utanyoa Kama mtoto, kama mwanafunzi haswaa. Kama unauchebe, uchebe wako utaambiwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Law School kulikoni kushindwa kujisimamia

    Waswahili wanasema ukishikwa shikamana. Ukitusubiri kina sisi hadi tuelewe kadhia yako unaweza kuwa marehemu kabla ya kupata usaidizi. Mwakyembe kasema yake: Majaji wameunda tume Yao. Nyie tume yenu iko wapi? Tume yenu si ndiyo ingekuwa forum nzuri ya kupeleka majumuisho ya shauri lenu...
  12. JamiiForums Tanzania Kama swali hili wangeulizwa wanafunzi wa Tanzania wangetoa majibu kama ya wanafunzi hawa wa India?

    Doc Benway 4 hours ago I do a lot of work in India and based on my first hand evidence of high school students in the US of A and India; India is much more motivated. Ask Indian kids what they want to do with their lives and you get answers such as engineering, technology, or medicals...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanza: Wanafunzi 70 kati 130 wakwama kumaliza kidato cha 4 kisa mimba za utotoni

    Wanafunzi hao ni kati ya 130 walioanza kidato cha kwanza mwaka 2019 kutoka Shule ya Sekondari Kishinda wilayani Sengerema ambao wameshindwa kuendelea na masomo kutokana na sababu hizo. Baada ya kupokea taarifa ya shule wakati wa Mahafali, Diwani wa Kishinda, Shokolo Vicent ametoa maagizo kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Baba alitaka kuniua Mbele ya Walimu na Wanafunzi wenzangu. Kama tu si Kuzuiwa...

    Nilikuwa nasoma kisa cha mtu flani humu nikakumbuka story ambayo nlishaielezea twitter kwa wadau wa huko. Miaka hiyo nlikuwa nasoma shule flani ya Sekondary Mkoa fulani hapa Tanzania. Unajua tena shule za Boarding na ujana nikiwa Kidato cha sita nikapata msala baada ya kukamatwa Namkamua binti...
  15. JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari Ulongoni A yakabiliwa na uhaba wa maji vyoo vya wanafunzi

    Shule ya Sekondari Ulongoni A iliyopo Kata ya Gongolamboto inakabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo uzio, miundombinu chakavu kwa baadhi ya madarasa na maabara. Imeelezwa kuwa hali hiyo inachangia utoro kwa wanafunzi wengi pindi wanapohitaji haja binafsi na nidhamu ya ufaulu kushuka. Mkuu wa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mwaka juzi 2020 zaidi 90% ya wanafunzi wa Law School of Kenya walifeli, mitihani, uchunguzi ukaonyesha LSK ndio wenye makosa

    Hii sakata la wanafunzi wa Law School of Tanzania kushindwa kufaulu mitihani kwa kiwango kikubwa hivi imenikumbusha sakata kama hilo kwa LSK kwa mwaka 2020 ambapo zaidi ya 90% ya wanafunzi wali fail. Baada ya matokeo kutoka na malalamiko kua makubwa, Serikali ikaamuru uchunguzi ufanyike na...
  17. JamiiForums Tanzania Waraka wa Elimu namba 06 wa Mwaka 2022 kuhusu Usimamizi wa Maadili kwa wanafunzi wa Shule za Awali, Msingi na Sekondari

    Mataifa mbalimbali duniani yamekuwa yakifanya jitihada za kuhakikisha kwamba kila Taifa linalinda na kukuza utamaduni na maadili yake kwa lengo la kudumisha amani, mshikamano, umoja na maendeleo katika nchi husika. Hata hivyo, kutokana na maendeleo makubwa ya Sayansi na Teknolojia yaliyopelekea...
  18. JamiiForums Tanzania Napinga Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa Tume ya kuchunguza kufeli kwa wanafunzi wengi wa Law School

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza masuala ya Law school, ikiwemo wanafunzi wengi kufeli mitihani, anapaswa kuwa mtu Muungwana, Mtulivu, Msikivu na asiye na makuu, anapaswa kuwa mkweli, Mwakyembe hana sifa hizi. Napinga uteuzi wa Harisson Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa Tume hii kwa vile Haaminiki...
  19. JamiiForums Tanzania Idadi ya wanaofeli Law School of Tanzania yazua utata

    Idadi iyo ni sawa na 4.1% pekee kati ya wote waliofanya mtihani, huku wengine 484 wakitakiwa kurudia mtihani na 265 wakiondolewa kabisa baada ya kufeli. Hali hiyo imefanya Wanasheria na wadau wengine kutaka iundwe Tume ya kuchunguza sababu akiwemo Jaji wa Mahakama Kuu Gabriel Malata aliyesema...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Wanafunzi wasichana wavua hijab na kumzomea mkuu wa kikosi kinacholinda Wanawake Iran

    Kajaribu kuwahutubia ila wameshachoka na dhuluma za kidini... Wakuu wa nchi mayatollah yanalaumu Marekani na Israel..... A girls' school in Iran brought a member of the IRGC-run Basij paramilitary to speak to students. The girls welcomed the speaker by taking off their headscarves & chanting...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…