Adhabu kwa Walimu wanaofanya mapenzi na wanafunzi wao Vyuo Vikuu

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,570
19,452
Adhabu hii aliyopewa professor wa Princeton ni kwa kosa alilofanya miaka 15 iliyopita. Tanzania tukitoa adhabu kama hizi kwa waalimu wa vyuo vyetu waliojihusisha kimapenzi na wanafunzi wao ndani ya miaka 15 iliyopita tunaweza kubaki na waalimu wachache sana. Lakini ni adhabu ambayo inabidi tuwe tunatoa

1653371150509.png
 
Hakuna tatizo, wale ni watu wazima. Labda tatizo itumike kama rushwa. Navojua mimi kwa mazingira chuo, kama mwanamme unakula unashiba vizuri, na wadada wenyewe ndo wale, Yani wale warembo wa kila sampuli! Inahitaji uikane nafsi hasaaa!
 
Back
Top Bottom