wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kutoka NACTE: Maombi ya Uhamisho kwa wanafunzi wanaoendelea

    Tafadhali soma kwa umakini taarifa na mahitaji muhimu ya kuhama kabla hujaanza kufanya maombi ya uhamisho. Tarehe ya mwisho ya kuomba uhamisho ni 30-04-2022. Masharti na Sifa kwa Waombaji, Taarifa kwa Waombaji: 1. Mwanafunzi anashauriwa kuhakiki na kufahamu taarifa za msingi za chuo...
  2. Hivi inawezekana vipi walimu watatu wakafundisha wanafunzi 700 katika shule moja.

    Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna...
  3. Kwanini Yesu hakuwa na wanafunzi wanawake?

    Naombeni majibu wakubwa. Kama hauna majibu ni bora ukakaa pembeni. Sitarajii kebehi
  4. Iwepo sheria laptops kwa wanafunzi wote vyuoni ziwe ni "Lenovo Thinkpad" kuwanusuru stress za matengenezo na kugharamika zaidi kununua laptops mpya

    Nashauri laptops za wanafunzi ziwe LENOVO THINKPAD, nje ya hapo mwanafunzi awe ana uwezo wa kifedha, vitu kama matengenezo ama kununua laptops mpya visiwe stress kwake, wale watoto wa kishua wanaopewa pesa bila mawazo na walioajiriwa tayari wenye spare money Linapokuja suala la wanafunzi kwenda...
  5. M

    Wanafunzi wilaya ya kilwa hawapewi likizo?

    Habari wadau, ni takribani mwaka wa 4 sasa naona wanafunzi wanaosoma sekondari na msingi hususani madarasa ya mitihani hawapewi likizo mwezi wa 4, hali hii inawanyima wanafunzi muda japo kidogo wa kupumzisha vichwa vyao. Hili ni tatizo kubwa ambalo halitakiwi kufumbiwa macho na wadau wa elimu...
  6. Wizara yakemea adhabu kwa wanafunzi nchini

    Akifungua mkutano wa Tisa wa Maafisa Elimu Mikoa na Halmashauri nchini unaofanyika jijini Mwanza, Kamishna wa elimu nchini Dkt. Lyabwene Mtahabwa amewataka walimu kutoa adhabu ambazo hazitaleta madhara kwa wanafunzi. Kamishna Dkt. Mtahabwa amewataka walimu nchini kuacha kutoa adhabu kali kwa...
  7. Songea: Wanafunzi waliopatiwa dawa za meno za msaada watakiwa kurudisha mara moja

    Baada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi Songea. Leo imetoka taarifa kwa walimu wakuu kuwataka kuwaambia wanafunz hao warudishe vitu hivyo mara moja. Bado haijajulikana zaidi kwann hili limekua hivi hadi sasa.
  8. Kilimanjaro: Jengo la shule lahatarisha usalama wa wanafunzi

    Serikali ya Kijiji cha Kikarara kilichopo Kata ya Old Moshi Mashariki kwa kushirikiana na uongozi wa Shule ya Msingi Matemboni imewalazimu kuwahamisha Wanafunzi kutoka katika vyumba vitatu vya madarasa kutokana na hali ya usalama wa majengo hayo. Wanafunzi waliohamishwa wamechanganywa katika...
  9. Nashauri serikali itumie zaidi wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kufanya tafiti na kuchapisha maandiko kama tunataka kufika mbali katika tafiti

    Kama kweli serikali ina mpango wa kuhamasisha wanazuoni wa vyuo vikuu vya Tanzania kufanya tafiti na kuchapisha maandiko katika majarida makubwa ya kimataifa, napendekeza yafuatayo: 1. Serikali itenge fedha kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kila mwaka kama mataifa...
  10. Serikali: Mradi wa SHULE BORA utawafikia Wanafunzi 3,800,000 na Walimu 54,000

    SHULE BORA ni mradi wa Serikali ya Tanzania unaofadhiliwa na Serikali ya Uingereza kupitia Shirika lake la Maendeleo la UKAID wenye lengo la kukuza na kuboresha ufundishaji na ujifunzaji shuleni ili kuboresha Elimu na kuhakikisha watoto wote wa Kitanzania wa kike na wa kiume wanapata elimu bora...
  11. Wanafunzi, Wazazi wamlilia Rais Samia kuhusu matokeo yaliyofutwa

    Wanafunzi 140 wa shule ya sekondari Thaqaafa ya jijini Mwanza waliofutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka jana wamemwomna Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati kwa kuziagiza mamlaka husika kuwapa fursa ya kurudia kufanya mitihani ya kidato cha nne. Wakazungumza na waandishi wa...
  12. Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) kuingia mkataba na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Kufundisha wanafunzi

    Utangulizi Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu waliomaliza chuoni apo. Matokeo ya Utafiti 59.5% ya Wahitimu wameajiriwa katika Taasisi za Umma na...
  13. RC Mtaka ataka wanafunzi wanaofanya makosa wafukuzwe shule

    Mtaka ni kama ana serikali yake ambayo haiendani na ya CCM na Samia, hivi mtoto unamfukuza shule ili iweje? Kwanza ni mtoto, anahitaji malezi na maangalizi. Kwa aina ya waalimu tulio nao, hivi unawapa mamlaka yote hayo? Mtaka ni moja ya members wazuri wa magrupu ya Chadema, na huwa mchangiaji...
  14. Wanafunzi 34 wa Udaktari walioondolewa chuo (UDSM-MCHAS) waililia Wizara ya Elimu iwasaidie

    Mwaka 2018 wakati Tume ya Taifa ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ilipokuwa katika utaratibu wake wa ukaguzi wa vyuo vikuu Nchini ilibainika kuna vyuo ambavyo ama havikidhi vigezo au mazingira yake si salama kimasomo. Uamuzi uliochukuliwa baada ya kubainika kutokidhi vigezo ilikuwa ni vyuo kufungwa...
  15. Janeth Magufuli akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato Machi 18, 2023

    Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato leo Machi 18, 2023. Mama Janeth amewaasa wanafunzi wasichana katika Shule za Msingi na sekondari nchini kote...
  16. Wanafunzi wageuka kuwa wafanyabiashara Katavi

    Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbambali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo mbambali ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi. Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za...
  17. J

    Tsh. Milioni 200 kujenga mabweni ya wanafunzi wa kike wilayani Rungwe

    Halmashauri ya Rungwe mkoani Mbeya imetenga zaidi ya Sh 200 milioni kwa ajili ya ujenzi wa mabweni mawili ya wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Kisondelo, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu na kudhibiti utoro. Mwenyekiti wa...
  18. Je, Serikali inazungumziaje suala la wanafunzi kukaa na njaa shuleni hadi usiku?

    Hivi Mwanafunzi anayeshinda na njaa kuanzia Asubuhi hadi usiku saa tatu. Hapa Dar es Salaama unakuta 90% ya wanafunzi wa shule za serikali wanaamka saa kumi na moja na kuanza kugombania daladala na wakifika shule hamna uji Wala chakula na mwanafunzi ili Afike kwao Mbagara, Gongo la Mboto au...
  19. Kwanini Wanafunzi wa kuanzia mwaka 2000 hadi sasa hawawajui Walimu wao Wakuu na hata Walimu tu wa Kawaida?

    Akina GENTAMYCINE tuliosoma miaka hiyo ya mid 80's hadi late 90's mpaka leo Majina ya Walimu Wakuu, Walimu waliotufundisha hadi Walinzi wa Shule tunajua majina yao. Mitoto ya Siku hizi hawawajui Walimu Wakuu Wao na wanaowajua zaidi ni Wasanii, Madereva wa School Bus zao, Bajaji na Wauza Chips...
  20. M

    TCU chukueni hatua dhidi ya chuo cha SAUT-Mtwara

    Habari, Moja kwa moja kwenye hoja, Chuo cha SAUT-Mtwara kimechoche kudidimiza ubora wa wahitimu wa chuo hicho kwa miaka kadhaa sasa, sababu kubwa ni kushidwa kuwalipa walimu na kuwatengenezea madeni makubwa huku wengi wakikimbia kusaka masilahi serikalini, na kwenye vyuo binafsi. Kuna baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…