wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TAKUKURU ichunguze malalamiko ya Wanafunzi wa Vyuo kutorudishiwa Fedha za 'Refund', kuna kitu hakiko sawa

    Kwa takriban miezi miwili sasa kumekuwa na Malalamiko mfululizo kutoka Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu kutoka maeneo mbalimbali nchini ambao wanadai Fedha zao za Refund walizolipa wakati wa kujisajili kisha kuahidiwa kurejeshewa wakati wa kuingizwa fedha za Mikopo lakini hadi sasa wengi...
  2. JamiiForums Tanzania Video: CHADEMA yatangaza mapumziko ya #255KatibaMpya, yawapa baraka Wanafunzi wa darasa la nne

    Video: CHADEMA yasimamisha oparesheni #255KatibaMpya kupisha mitihani ya darasa la nne
  3. JamiiForums Tanzania IT wa Tanzania ni "copy-paste" wasioweza kubuni; wanafunzi na wahitimu wote wameshindwa kutengeneza mafaili ya VPN free net?

    Waweza kumfundisha kasuku aseme hana uwezo na ukamzawadia zabibu kumuashiria kafaulu mtihani nae akajiona kichwa, basi ndivyo ilivyo kwa IT wetu wa Tz wanafunzi wa vyuoni na wahitimu kibao, vyeti wanavyo na wengine wana ufaulu mkubwa sana lakini hawana uwezo wa kutatumia maarifa hayo lau kutumia...
  4. JamiiForums Tanzania RPC wa Mbeya atembelea Shule ya Msingi Azimio, awataka Wanafunzi kuzingatia masomo

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishina Msaidizi wa Polisi Benjamin Kuzaga ametoa elimu kwa Wanafunzi wa Darasa la Nne wa Shule ya Msingi Azimio iliyopo Jijini Mbeya ambao wapo katika maandalizi ya mwisho kuelekea mitihani ya upimaji ya Taifa inayotarajia kuanza kesho Oktoba 25, 2023 nchini...
  5. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wakaidi na waanzilishi wa fujo wa Shule ya Sekondari Mpwapwa, Dodoma wachoma matranka na nguo za wanafunzi wenzao

    Wakaidi hao Wanajigamba hakuna Mwalimu yeyote wala Mkuu wa Shule anayeweza kuwafanya chochote, Mpaka sasa Wanafunzi wanaendelea na Masomo. Ninachojiuliza ni hivi kama wangeunguza Mabweni ingekuwaje ? Mali zote za shule kongwe kwa kweli zingeungua pamoja na Vifaa vyao
  6. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 56,132 Waanza Kunufaika na Mikopo Elimu ya Juu

    Ni vicheko kwa wanafunzi 56,132 waliopangiwa kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali nchini baada ya kupangiwa mikopo ya elimu ya juu katika awamu ya kwanza inayoenda sambamba na nyongeza ya fedha za kujikimu kutoka Shilingi 8,500 hadi Shilingi 10,000. Itakumbukwa kuwa Februari mwaka huu Rais Samia...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sheria/Utaratibu Mpya ulivyowakosesha Wanafunzi wa UDOM Haki yao…

    SHERIA MPYA ILIVYOWAKOSESHA WANAFUNZI WA UDOM HAKI YAO. Chuo kikuu dodoma,UDOM. 25/11/2022 uongozi wa chuo kikuu cha dodoma( UDOM) katika ndaki ya TIBA ulitoa sheria mpya kwamba mwanafunzi yeyote aliyepata carry over(Yani kufeli somo ambalo hujafikisha coursework) katika somo lolote hatakiwi...
  8. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa diploma walioruhusiwa kuomba mkopo ni wa kundi gani?

    Wanafunzi wa diploma walioruhusiwa kuomba mkopo ni wa kundi gani? Vigezo ni vipi?
  9. JamiiForums Tanzania Shule za binafsi (msingi na sekondari) kutoza wazazi/ walezi bima za afya wanafunzi kwa kila mwaka Ummy mwalimu unalifahamu hilo?

    Kuna wimbi limeingia kwenye wizara ya elimu shule binafsi kutoza bima ya afya 300, 000 kila mwanafunzi kwa kila mwaka. Hizi bima ni halali au wazazi/ walezi tuna upinga mwingi!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo cha Ushirka Moshi (MoCU) level ya Diploma kushindwa kufanya udahili kutokana na kucheleweshwa kwa matokeo ya supplementary

    Uongozi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) umechelewesha kutoa matokea ya supplementary kwa wanafunzi wa level ya Diploma na pia kutuma matokeo hayo NACTE kwa ajili ya utambuzi, Hivyo kusababisha zaidi ya wanafunzi 200 kushindwa kufanya maombi ya elimu (Degree) kwa mwaka wa masomo 2023...
  11. JamiiForums Tanzania Rushwa katika tathmini za wanafunzi ina athari mbaya katika mfumo wa elimu

    Rushwa, inapojitokeza katika mfumo wa elimu, inaweza kuchukua sura nyingi, lakini moja ya matatizo makubwa ni ile inayohusiana na tathmini za wanafunzi. Katika muktadha huu, rushwa inaweza kujitokeza katika njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na walimu kupokea rushwa ili kuongeza alama za wanafunzi...
  12. JamiiForums Tanzania Uongozi wa UDOM wajibu madai ya kuwepo kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi

    Baada ya memba wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya Wadudu aina ya Kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi wa Chuo Kukuu cha Dodoma (UDOM), ufafanuzi umetolewa kutoka kwenye mamlaka ya chuo hicho. Taarifa ya awali ya Kunguni hii hapa - Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Leo nimekumbuka sana maisah ya chuo,kinachozunguka kichwani mwangu viongozi wa wanafunzi(CCM wings) wapo kwenye hali gani?

    Maisha ya chuo yanaraha na karaha zake bhana yani ni sawa pepo na dunia unaishi muda mchache maisha magumu then unaambiwa bata lipo peponi unaishi katika uzima wa milele,naamini kabisa kwa mliosoma DODOMA UNIVERSIT -UDOSO sio kitu kigeni yaani mashauzi mengi na hasa mawaziri wa fedha(wanajiona...
  14. JamiiForums Tanzania Tume ya Vyuo Vikuu yafungua awamu ya Nne ya Udahili kwa Wanafunzi wa vyuo

    Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa, akizungumza na Waandishi wa Habari, Dar es Salaam, leo Oktoba 13, 2023 kuhusu kufunguliwa kwa dirisha la Awamu ya Nne ya dirisha la Udahili kwa programu ambazo bado zina nafasi kwa mwaka wa masomo 2023/2024. Tume ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye mabweni ya UDOM

    Sina haja ya kutaja jina langu wala kuandika maelezo mengi, lakini kwa ufupi mimi ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kwakweli suala la kunguni UDOM limekuwa linasumbuwa na lina kera kwa muda mrefu. Ajabu ni kuwa hakuna hatua zinazochukuliwa kwa sasa wadudu hao wamekuwa wengi sana...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wabunge Uganda wamekataa pendekezo la serikali la kuruhusu wasichana wenye umri wa miaka 15 kupata tembe za kupanga uzazi

    Wabunge nchini Uganda wamekataa pendekezo la serikali la kuruhusu wasichana wenye umri wa miaka 15 kupata tembe za kupanga uzazi ili kupunguza viwango vya juu vya mimba. Naibu Spika Thomas Tayebwa aliliita wazo hilo "Ushetani", akisema "Litarasimisha unajisi" wa wasichana. Afisa mkuu wa wizara...
  17. JamiiForums Tanzania Israel: Wanafunzi Watanzania wawili hawajulikani walipo

    Maafisa wa Tanzania wanaendelea kuwatafuta Watanzania hao waliokuwa Kusini mwa Israel ambapo kuna vita inayoendelea kati ya Taifa hilo na wapiganaji wa Kundi la Hamas kutoka Palestina. Balozi wa Tanzania Nchini Israel, Alex Kallua amezungumza na BBC na kueleza kuwa Wanafunzi hao wamekuwa katika...
  18. JamiiForums Tanzania Faida za mtoto wa shule za msingi kusoma kwenye shule yenye wanafunzi wengi sana

    " siwezi kumpeleka mtoto wangu kwenye shule ya Kayumba kwa sababu shule za Kayumba zina wanafunzi wengi mno!!!" The most ignorant statement I have ever read. Hakuna zawadi nzuri kwa mtoto wako mdogo kama kumpeleka kwenye shule yenye watoto wengi. Zipo FAIDA nyingi sana kumpeleka mtoto wako...
  19. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa umefika makanisani kuwe na bar ndogo za kunywa pombe, waumini wanywe pombe kusuuza nafsi,

    Exception ni wakristo wachache sana kama wasabato wanaoamini bado Mungu huchukizwa na Pombe. Hata ma askofu wakati wa misa hunywa mvinyo takatifu mbele ya macho yetu, sioni ubaya wowote kuwe na min bar makanisani kwajili ya waumini Makanisani kuwe na bar ndogo ila kuwe na sheria mtu apige...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaosoma Ardhi Institute of Morogoro

    Naomba kuuliza kama kuna mwanafunzi anayesoma Ardhi Institute of Morogoro anifafanulie kuhusu kozi ya Geomatics.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…