Faida za mtoto wa shule za msingi kusoma kwenye shule yenye wanafunzi wengi sana

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
" siwezi kumpeleka mtoto wangu kwenye shule ya Kayumba kwa sababu shule za Kayumba zina wanafunzi wengi mno!!!" The most ignorant statement I have ever read.

Hakuna zawadi nzuri kwa mtoto wako mdogo kama kumpeleka kwenye shule yenye watoto wengi. Zipo FAIDA nyingi sana kumpeleka mtoto wako kwenye shule yenye wanafunzi wengi. Lakini kabla sijazitaja baadhi ya faida hizo naomba nikujulishe SABABU HALISI KWANINI SHULE NYINGI ZA ENGLISH MEDIUMS ZINA WANAFUNZI WACHACHE.

Soma kwa Makini: ukiona shule ya English Medium ina wanafunzi wachache basi tafsiri yake ni kwamba shule hiyo haijapata wanafunzi wengi. Laiti kama wazazi wengi wangejitokeza kupeleka watoto wao kwenye shule hiyo basi Hakika shule hiyo ingekuwa na wanafunzi wengi kweli kweli.

Even Steve Wonder can see this. Wala huhitaji Rocket Science kutambua ukweli huu.

What are English Mediums Schools from economic perspective? English Mediums schools are nothing but companies

And what is a company?

Kampuni ni entity ya kibiashara iliyo anzishwa kwa ajili ya kupata FAIDA.

Lengo la mfanyabiashara ni kupata FAIDA kubwa. ( super profit)

Wanao anzisha shule za English Mediums hufanya hivyo kwa Lengo la kupata FAIDA.

Kwenye biashara yako ili upate FAIDA ni lazima upate wateja wengi.

Kwenye shule za English Mediums wateja ni wanafunzi.

Ili English Mediums zipate FAIDA kubwa zinahitaji kupata wanafunzi wengi.

Wamiliki wa English Mediums wanavyo enda kuombewa makanisani, kwa ma ostaz au kwenye Vilinge basi ombi lao kuu ni kupata wanafunzi wengi..

Shule za English Mediums zina laumiwa kuweka msisitizo zaidi katika ufaulu wa wanafunzi ili zitangaze jina ili zipate wanafunzi wengi.

So mtu akija na hoja kwamba " ooh shule za Kayumba zina utitiri wa wanafunzi wengi ila English Mediums wanakaa 45 darasa moja mwambie yeye ni mtoto hata akiwa amekaa juu ya mti hawezi kuona kile ambacho mtu mzima anaweza kukiona akiwa amechuchumaa.

FAIDA ZA MTOTO KUSOMA SHULE YENYE WANAFUNZI WENGI ( stay tuned zinakuja baadae )
 
Kiualimu, kila mkondo inapendekezwa idadi ya wanafunzi isizidi 45. Hii inafanya hata mwalimu kuwafundisha na kuwahudumia wanafunzi inavyopasa.

Sasa kwa Kayumba sio ajabu kukuta watoto wako hata zaidi ya 100 darasani hasa shule za mjini. Yaani hata mwalimu akitaka kupima uelewa wa watoto kwa kuuliza maswali hawezi kupima hata nusu ya darasa kwa sababu ya wingi wa watoto.

Watoto watakaomwelewa mwalimu labda ni wa madawati ya mbele tu. Huko nyuma ni full kufinyana na kusugua mbegu za ubuyu na kuunguzana shingoni.
 
Ukiwa maskini alafu mjinga kila kitu cha bei chee ww ndio unaona kizuri. Kawaida darasa standard lina watoto 45 sasa huko kayumba kwenye watoto wengi wanatoka na nini. Habari za kusema sjui ni biashara acha iwe tu watoto wangu watasoma EM hata iweje.
 
Sema watoto wa mke wako mkuu.
 
" siwezi kumpeleka mtoto wangu kwenye shule ya Kayumba kwa sababu shule za Kayumba zina wanafunzi wengi mno!!!" The most ignorant statement I have ever read.

Hakuna zawadi nzuri kwa mtoto wako mdogo kama kumpeleka kwenye shule yenye watoto wengi. Zipo FAIDA nyingi sana kumpeleka mtoto wako kwenye shule yenye wanafunzi wengi. Lakini kabla sijazitaja baadhi ya faida hizo naomba nikujulishe SABABU HALISI KWANINI SHULE NYINGI ZA ENGLISH MEDIUMS ZINA WANAFUNZI WACHACHE.

Soma kwa Makini: ukiona shule ya English Medium ina wanafunzi wachache basi tafsiri yake ni kwamba shule hiyo haijapata wanafunzi wengi. Laiti kama wazazi wengi wangejitokeza kupeleka watoto wao kwenye shule hiyo basi Hakika shule hiyo ingekuwa na wanafunzi wengi kweli kweli.

Even Steve Wonder can see this. Wala huhitaji Rocket Science kutambua ukweli huu.

What are English Mediums Schools from economic perspective? English Mediums schools are nothing but companies

And what is a company?

Kampuni ni entity ya kibiashara iliyo anzishwa kwa ajili ya kupata FAIDA.

Lengo la mfanyabiashara ni kupata FAIDA kubwa. ( super profit)

Wanao anzisha shule za English Mediums hufanya hivyo kwa Lengo la kupata FAIDA.

Kwenye biashara yako ili upate FAIDA ni lazima upate wateja wengi.

Kwenye shule za English Mediums wateja ni wanafunzi.

Ili English Mediums zipate FAIDA kubwa zinahitaji kupata wanafunzi wengi.

Wamiliki wa English Mediums wanavyo enda kuombewa makanisani, kwa ma ostaz au kwenye Vilinge basi ombi lao kuu ni kupata wanafunzi wengi..

Shule za English Mediums zina laumiwa kuweka msisitizo zaidi katika ufaulu wa wanafunzi ili zitangaze jina ili zipate wanafunzi wengi.

So mtu akija na hoja kwamba " ooh shule za Kayumba zina utitiri wa wanafunzi wengi ila English Mediums wanakaa 45 darasa moja mwambie yeye ni mtoto hata akiwa amekaa juu ya mti hawezi kuona kile ambacho mtu mzima anaweza kukiona akiwa amechuchumaa.

FAIDA ZA MTOTO KUSOMA SHULE YENYE WANAFUNZI WENGI ( stay tuned zinakuja baadae )
wenye mawazo mgando hawatakuelewa sisi wazee wa quba tushakuelewa kitambo!
 
Pumba
 
Back
Top Bottom