wamarekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Usiku unaokumbukwa na Wamarekani Weusi mpaka leo

    Ni mwaka 1964 usiku mmoja hivi, wanaume wanne weusi walikutana ndani ya chumba kimoja na kuanza kuzungumza. Usiku huo ulikuwa mkubwa kwa Wamarekani weusi, haikuwahi kutokea watu wa namna hiyo mpaka leo hii kukutana na kuzungumza. Watu hao walikuwa maarufu duniani, watu hao hata baada ya kufa...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kiswahili Duniani: Wamarekani na Kiswahili

    SIKU YA KISWAHILI DUNIANI: WAMAREKANI NA KISWAHILI Nimefika Marekani kwa mwaliko wa Chuo Kikuu Cha Iowa, Iowa City mwaka wa 2011 aliyenialika ni Prof. James Giblin Mkuu wa Idara ya Historia ya Afrika hapo chuoni. Visa ya Marekani ina tabu kidogo na nilipofika Consulate ya Marekani kuomba visa...
  3. BigBro

    JamiiForums Tanzania Wamarekani lile jiji la New York waliamua aisee!

  4. L

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wenye asili ya Afrika bado wakabiliwa na ubaguzi wa rangi

    Hivi karibuni kijana mmoja Mmarekani mwenye asili ya Afrika aliuawa na kijana mzungu kwenye treni ya chini ya ardhi mjini New York, Marekani, lakini mhusika wa mauaji hayo aliachiliwa huru baada ya kuhojiwa na polisi kwa muda mfupi tu. Ikiwa ni miaka mitatu tangu George Floyd auawe kwa kukosa...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wanaokimbia Sudan wakumbwa na ujambazi na uporaji

    Siku tatu tangu maafisa wa Ubalozi wa Marekani kuhamishwa kwa helikopta za jeshi na kupokelewa nchini Saudi Arabia kwa vishada vya maua,wale raia wapatao 16000 wengi wao wakiwa raia pacha wameendelea kuhangaika ili na wao waweze kuihama nchi kuelekea Marekani. Hata hivyo zoezi hilo limekumbwa...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania FBI walivyomdaka Thomas Lyimo 1998. Hata kama huwapendi wamarekani, basi tuwaheshimu tu

    Huyu Bwana yuko zake Kimara Bucha kwenye kasri au tuite hekalu lake mithili ya ikulu ndogo ya Singida, anakula bata huku akilea wajukuu, ameshazeeka sasa. Yeye na kizazi chake walipigwa ban wasikanyage USA wala kusogelea ubalazi wao. Wakati ubalozi wa Marekani unalipuliwa nchini pamoja na...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Bush na Wamarekani hawajainunua Kigamboni kama inavyozidi kuenezwa Mamlaka ikanushe tafadhali

    Na kama ni kweli nitahitaji majibu, kwanini wamepewa eneo la beach jirani na waliko mabaka mabaka na eneo lisilo mbali kimkakati na Jumba kubwa analolala Mama na Baba yetu Hafidhi.
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Waarabu, Warusi, Wamarekani na wazungu kuhusu utu wa mtu

    Ulaya na Marekani, Serikali inawajibika kwa wananchi ila Uarabuni na Urusi wananchi ndiyo wanawajibika kwa serikali. Matokeo yake Marekani na Ulaya inawezekana wananchi kuandamana kwa maelfu kupinga kinachofanywa na serikali na wasiuawe kwa kukukusudia. Lakini kwenye nchi nyingi za Kiarabu na...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amegusa mioyo ya Wamarekani - Balozi wa Marekani, Tanzania

    Marekani imeahidi kuendelea kuiunga mkono Tanzania katika kuimarisha uchumi na maendeleo ya wananchi kwa kutoa fedha na ujuzi pamoja na kuvutia uwekezaji kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi. Ahadi hiyo imetolewa na Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle alipokutana na...
  10. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Wamarekani Wamemtemea Nyongo Rais Biden

    Kupitia Ukurasa wa Instagram, Ikulu ya Marekani ilipost picha ya Rais wa Marekani akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Ukraine, baada ya kufanya ziara ya kushtukiza na iliyokuwa ya siri kubwa mpaka kufika, picha hii ilifuatiwa na maneno kwamba Ukraine bado ipo Imara na hakuna wakuizuia Marekani...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wamarekani waandamana Washington wakipinga Marekani kudhamini vita ya Ukraine, wampongeza Putin kuwa ni mzalendo

    Marekani yasema wamarekani wanaopinga sera za vita za Washington wameandamana kwenda Ikulu ya Marekani (White House) massa kadhaa baada ya Biden kufika Kyiv wakipinga serikali yao kutengeneza na kudhamini vita nje ya nchi. Wamarekani hao pia walipaza sauti zao wakisema kuwa rais Putin si mtu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kuhusiana na Wamarekani kutua kwenye mwezi

    Kuna hili jambo ambalo lina utata kama wamarekani walituma chombo cha anga na kupeleka binadamu mwezini mara ya kwanza mwaka 1969. Nilikuwa napitia machapisho mtandaoni na kukutana na hili kanusho (debunking) nikaona niliweke hapa ili wenye interest na haya mambo tuliangalie...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Kweli biashara ya ndege ngumu, Kenya Airways na ukubwa wote wamechemka. Ruto kuiuza kwa Wamarekani. ATCL vipi?

    Rais wa Kenya, William Ruto amekutana na viongozi wakuu wa shirika la ndege la kimarekani la Delta katika mpango wa kuwauzia hisa zote 48.9% zinazomilikiwa na Serikali ya Kenya kwenye shirika hilo. Kenya Airways imekuwa ikitegemea hazina ya Kenya kuweza kujiendesha huku kipindi cha Januari-Juni...
  14. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Rais Macron naye ailalamikia US: Mnatufanyia hujuma isiyo ya kawaida katika kipindi hiki kigumu

    Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba nchi yao inaifanyia Ufaransa "hujuma isiyo ya kawaida hasa katika kipindi hiki cha mdororo wa nishati na uchumi kutokana na Covid-19 na mzozo ya...
  15. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kura za maoni ya Wamarekani 57% waunga mkono FBI kumpekua Trump

    Asilimia kubwa ya Wamarekani waliopiga kura ya maoni kuhusu uamuzi wa FBI kufanya upekuzi nyumbani kwa Rais wa zamani wa taifa hilo, Donald Trump wamesema upekuzi uendelee na hakuna kibaya kuhusu uamuzi huo. Kituo cha NBC News kilianzisha mchakato wa kura ya maoni kuona ni sahihi kile...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wamarekani 61 marufuku kuingia Iran

    Serikali ya Iran imetoa orodha ya Watu 61 wa Marekani kuwa hawaruhusiwi kuingia Iran kutokana na madai ya kuunga mkono kikundi cha ugaidi Mojahedin-e Khalq (MEK) ambacho kinashutumiwa kwa kufanya mauaji ya watu 17,000 Nchini humo kwa miaka kadhaa iliyopita. Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wanajadiliana uchafu hadharani kwenye baraza lao la seneti: Wanajadili kuhusu haki za wanaume kutoa mimba

    Unaweza usiamini lakini nndivyo ilivyo. Heated debate in US Senate erupts over abortion rights for men A Republican senator who doesn’t believe men can get pregnant was called “transphobic” Huyo hapo juu ni "mwanamume" anapigania uhuru wa kutoa mimba!! Iko hivi, mwanamke anaweza kuamua tu...
  19. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wameanza kuonja Machungu ya Vita ya URUSI vs Ukraine

    Rais Joe Biden wa Marekani anailaumu Russia kwa kusababisha ongezeko la bei ya Mafuta na Gesi nchini mwake. zaidi soma hapa. ----- President Joe Biden has blamed Russia for the record-high gas prices in the United States, while pressing Congress to temporarily suspend the federal gas tax to...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wawili hawajulikani walipo Ukraine, yahofiwa wametekwa na Warusi

    Wanajeshi wawili wastaafu wa Marekan ambao walikuwa Nchini Ukraine wakipigana vita dhidi ya Urusi hawajulikani walipo na inahofiwa wametekwa na wanajeshi wa Urusi. Alexander Drueke, 39, na Andy Huynh, 27 mara ya mwisho walionekana katika Mji wa Kharkiv, Juni 8, 2022. Familia za wahusika hao...
Back
Top Bottom