Mazayuni wanajiondoa GAZA kimyakimya kama walivyofanya Wamarekani Afghanistan

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,889
109,222
Mazayuni ujanja umewaishia, kwanza walikiondowa Ghaza kikosi chao kikali kuliko vyote kinachoitwa Golan baada ya kuchezea kichapo na kuona morali ya askari wao ipo chini sana. Wakaona kuendelea kuwaweka hao ni kuwaua tu, wakawaondoa.

Wakaleta kimya kimya kikosi kinachoitw "kfir", hiki ni kikosi cha chuki kwa Wakristo na Waislam ni kikosi cha kidini kinachoamini wote hao wa kuuliwa tu. Hawa ndiyo wakawa wanachezea kichapo kijinga kweli kweli wiki nzima hii.

Netanyahu kaona, umaarufu wake kisiasa unashuka, mabwana zake Wamarekani walishamwambia mwisho wa mwezi huu ndiyo basi. Hezbo;;ah huku inaendelea kuwafyatua kila kukicha.

Wayemeni nao wanaminya mishipa ya damu baharini huko.

Nahisi Mazayuni hawana ujanja na Hamas wamesema wao kila anaeikalia ardhi yao ni halali yao.
 
Nahisi Mazayuni hawana ujanja na Hamas wamesema wao kila anaeikalia ardhi yao ni halali yao
Hamas gani hao ambao wamekamatwa kama kuku na kuvuliwa nguo ? Gaza imeshaondoka kama milima ya Golan ilivyondoka, poleni sana watu wa kazi.
 
Ni aibu mtu mzee kuwa muongo,angalia hapa BBC hiyo na aljazeera imeripoti pia👇
Screenshot_20231230-001730~2.jpg
 
Mazayuni ujanja umewaishia, kwanza walikiondowa Ghaza kikosi chao kikali kuliko vyote kinachoitwa Golan baada ya kuchezea kichapo na kuona morali ya askari wao ipo chini sana. Wakaona kuendelea kuwaweka hao ni kuwaua tu, wakawaondoa.

Wakaleta kimya kimya kikosi kinachoitw "kfir", hiki ni kikosi cha chuki kwa Wakristo na Waislam ni kikosi cha kidini kinachoamini wote hao wa kuuliwa tu. Hawa ndiyo wakawa wanachezea kichapo kijinga kweli kweli wiki nzima hii.

Netanyahu kaona, umaarufu wake kisiasa unashuka, mabwana zake Wamarekani walishamwambia mwisho wa mwezi huu ndiyo basi. Hezbo;;ah huku inaendelea kuwafyatua kila kukicha.

Wayemeni nao wanaminya mishipa ya damu baharini huko.

Nahisi Mazayuni hawana ujanja na Hamas wamesema wao kila anaeikalia ardhi yao ni halali yao.
Duh!...Ccm wakupe kitengo cha propaganda tu, upo vizuri sana
 
Kwa hiyo Israel ikiondoa vikosi vyake Gaza ndio itakomesha ugaidi?
 
Ukiona unajikomba kwa mazayuni katika kugombea haki jua kwamba una mushkel kwenye ubongo wako.Hii sio vita ya kidini.Hii ni kati ya wanaonyimwa haki yao na madhalimu waliohodhi hiyo haki.ANC walipokuwa wakipigania haki yao waliitwa magaidi na Western World. Hayati Nelson Mandela aliitwa kiongozi wa magaidi.Hawakukata tamaa waliendeleza mapambano wakapata haki yako.The truth will always prevail licha ya vibaraka kujifanya wana masikitiko.
 
Kwani ni vita ya kidini hii?
Sijui ulisomea nn huko shule wewe Bibi
 
Jeshi la Israel ni la 20 kwa ubora Dunia according to global firepower sasa inakuaje linachukua miezi 2+ kuingamiza hamas ambayo haina hata Kifaru .hakika Mwenyezi mungu yupo na wale wanaosimamia haki
 
Hakuna vita mbaya duniani kama mapigano ya mtaa kwa mtaa ( sreet fighting), hasa kama adui yako anafanana na raia.
Israeli ndiyo nchi ya kwanza duniani yenye mbinu bora zaidi ya mapigano ya aina hiyo.
Hata hivyo, Hamas ni jeshi kubwa lililokuwa na uwezo wa mbinu nyingi, silaha lukuki, nk. Ila kwa sasa ni kwishney. Ni wiki ya tatu sasa bila kuona rocket au guided missiles zozote zikirushwa kutoka Gaza kwenda Israel.
 
Ukiona unajikomba kwa mazayuni katika kugombea haki jua kwamba una mushkel kwenye ubongo wako.Hii sio vita ya kidini.Hii ni kati ya wanaonyimwa haki yao na madhalimu waliohodhi hiyo haki.ANC walipokuwa wakipigania haki yao waliitwa magaidi na Western World. Hayati Nelson Mandela aliitwa kiongozi wa magaidi.Hawakukata tamaa waliendeleza mapambano wakapata haki yako.The truth will always prevail licha ya vibaraka kujifanya wana masikitiko.
Hakuna haki inayopiganiwa na wapalestina,eneo Hilo ni Mali ya Wayahudi tangu alivyolotwa Joshua baadae Daudi na wafalme wote wa Israel walitawala hapo .Wapalestina walikuja baada ya Wayahudi kuondolewa na warumi mwaka 100Ad na ndipo eneo lao likavamiwa na wagen ambao Leo mnawaita Wapalestina .
 
Back
Top Bottom