wamarekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Moto wa california ni mwanzo tu, Sifa zinawekwa kando watu wanapewa kazi kwa kuwapa kipaumbele waliobadili jinsia, wamarekani weusi, wanawake, n.k.

    DEI (Diversity, equity and Inclusion) ni ajenda inayotumika kwenye baadhi ya majimbo ya marekani hasa yale yenye uwakilishi wa chama cha Democrats walichomo kina Kamala Harris, Lengo la DEI ni kufanya sehemu za kazi na uongozi kuwepo na watu wa matabaka mbali mbali Tatizo linapokuja hii DEI...
  2. Deinstein 01

    Baadhi ya Wamarekani wafariki kutokana na dhoruba ya baridi(winter storm)

    Habari wakuu! Mpaka sasa watu watano wameripotiwa kufa kutokana na dhoruba ya baridi iliyotokea baadhi ya maeneo ya Marekani. Dhoruba hii imepelekea baadhi ya shule kufungwa, kero za usafiri na kukatika kwa umeme. Pia hali ya dharura imetangazwa kwenye majimbo ya Maryland, Virginia, West...
  3. Davidmmarista

    Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi

    Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi. Jimbo la West Virginia limejiunga na majimbo mengine matano kutangaza hali ya dharura. Baadhi ya picha zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha ndege zimefunikwa na theuji na kusabisha safari 2,000 za...
  4. Mtoa Taarifa

    Sho Madjozi kuachana na Muziki baada ya kuachia albamu ya 3, adai Wamarekani walitaka kumbadilisha na hana hiyo energy tena

    Msanii wa Muziki wa Afrobeats kutoka Limpopo, Maya Wegerif a.k.a Sho Madjozi amegusia suala la kuachana na Muziki wakati atakapoachia Albamu ya 'Limpopo Champions League Vol.2' ambayo amesema itakuwa ya mwisho. Madjozi ambaye mwaka 2020 alisaini Mkataba na Lebo ya Epic Records ya Marekani...
  5. Morning_star

    Kampuni ya meli za kitalii inatoa safari ya miaka 4 ili kuepuka urais wa Donald Trump

    Hata kama hauko ndani ya nchi yako bado utaendelea kumilikiwa na kutawaliwa na rais wa nchi yako! Ebu angalia hawa! --- MIAKA 4 KUKWEPA UTAWALA WA TRUMP Kampuni ya meli za kitalii inatoa safari ya miaka 4 ili kuepuka urais wa Donald Trump. Gharama ni $255,999 ( Zaidi ya milion 686 za Tz)kwa...
  6. Pascal Mayalla

    Je, Wajua? Wamarekani ni Wabaguzi wa Kichinichini. Wanaendekeza Mfumo Dume, Ubaguzi wa Jinsia, Racism na Kuwabagua Wahamiaji

    Wanabodi, Niko hapa jijini Washington DC, mji mkuu wa Marekani, pamoja na mambo mengine, nimepata fursa ya kuushuhudia uchaguzi wa Marekani, ambapo nchi ya Marekani inaitwa The Biggest Democracy kumaanisha ni demokrasia kubwa kwasababu ilipata uhuru wake Julai 4, mwaka 1776 lakini Wamarekani ni...
  7. Kididimo

    Watanzania tuwe makini 2025. Tujifunze jambo kwa Wamarekani kukataa kuongozwa na mwanamke licha ya uwezo wake

    Wamarekani walionekana kumkubali sana mwanamama Kamala Haris. Ila lilipofika suala la kupiga kura ya urais, wakatafakari mara ya pili. Kuwa Mwanamke aongoze nchi? Inawezekana? Hapo ndipo wakatulia na kupata majibu,wakamtosa wakamchagua kaburu Trump. Watanzania tuwe na la kujifunza hasa...
  8. jmushi1

    The Hill: Wamarekani watajuta kumchagua Trump

    Hii ni kwa mujibu wa Max Burns-The Hill. Ni opinion yake…Naomba watakaochangia mada hii, wasome kwanza hiyo article. Na wafanye kujibu accordingly. Kwangu binafsi, ninaamini kuwa ushindi wa Trump, umewaepushia wamarekani ugomvi mkubwa sana wa wenyewe kwa wenyewe. Tena kuna wanaoamini “civil...
  9. The Father of All

    Wamarekani ni wanafiki, waliinyima Uganda misaada kukataa ushoga wakati nao hawaupendi

    Hakuna vitu vilimuangusha mgombea wa chama cha Democrat Kamala Harris kama kutetea ushoga na kuhusishwa na uhuria wa mipaka iliyoruhusu wakimbizi kuingia Marekani akiwa makama wa rais wa Joe Biden aliyeonyesha ukigeugeu na unafiki juu ya haki za binadamu hasa wapalestina. Harris alijifanya...
  10. Yoda

    Msiwasingizie Wamarekani mifumo ya kubeba jinsia ya kike katika uongozi Africa, hawahusiki

    Haijawahi kuwa sera ya Marekani chini ya Rais wa Republican au Democrats kuchochea wanawake wapewe madaraka katika nchi za Africa, hili jambo watu wanalirudia rudia sana kuonyesha kwamba Wamarekani wameturubuni Waafrika kuwapa watu uongozi kwa kigezo cha jinsia yao huko wao wakiwa hawafanyi...
  11. Pascal Mayalla

    Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

    Wanabodi, Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu! Wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke? Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea...
  12. Yoda

    Wamarekani wanawezaje kufanya uchaguzi bila purukushani za polisi?

    Inawezekanaje kwa miaka zaidi ya 200 Marekani kubwa hivyo yenye wapiga kura takribani milioni 150 na maelfu ya wagombea uchaguzi unafanyika bila wagombea kukamatwa na polisi au mikutano ya siasa kuzuiwa kama ambavyo huwa inatokea katika nchi ndogo za Africa? Japo kipindi hiki Trump anaweza...
  13. G

    Kamala Harris ndiye Rais wa Marekani 2024. Mashine za kura zimedukuliwa, Maharamia watapiga kura

    Rais anachaguliwa kwenye kura na kwa hali ilivyo computer zinazotumika kupiha kura zimeonyesha kuwa na hirilafu inayompa kura nyingi zaidi Kamala, uwezekano mkubwa zaidi Kamala Harris awe rais wa 47 wa Marekani. Ikumbukwe hata uchaguzi wa 2020 kuna hitilafu zilitokea kwenye computer za kupiga...
  14. M

    Je, kuna namna yoyote serikali inaweza kuwarahishia Wamarekani Weusi wanaofika nchini, kuhamia, kufanya biashara au kama sehemu ya kustaafia?

    Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia. Na hili wimbi nadhani lilikuwa kubwa baada ya dada mmoja anaigwa Traveling Sista kuja na kuanza...
  15. Yoda

    Wamarekani wameichoka Demokrasia?

    Karibia nusu ya Wamarekani wanamsapoti na wangependa awe Rais wao mtu anayehusudu madikteta kuanzia Xi, Putin, Kiduku hadi Hitler!
  16. Roving Journalist

    Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

    https://www.youtube.com/watch?v=BKZ7ifz7408 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, Viwanja vya Jeshi la Polisi CCP Mkoani...
  17. GENTAMYCINE

    Je, zile Hasira zake za jana zinaenda pia na kwa Watu wake hasa wa CCMVU na MK Ima au ni kwa Sisi Watesi, Wamarekani na Wapinzani?

    Nitashukuru kama nikijibiwa juu ya hili kwani najua kuwa hata Watu wa Chamani Kwake nao walipaza sana Sauti zao.
  18. uhurumoja

    Hawa wamarekani ndio huwa tunaambiwa wako busy

    Wiki nzima wako wanasikiliza hotuba mara Obama mara Oprah Michele Hilary n.k wiki nzima wako Chicago wanangoja Kamala aje kusema nimekubali kuwa mgombea wa urais nimegundua ccm wako serious kuliko Hawa democrat Ila pia nimegundua wamarekani wachache sana wanashughulishwa na mgogoro wa Gaza...
  19. M

    Wamarekani wanaamini maziwa ya chocolate yanatoka kwa ng'ombe wa kahawia

    Tafiti zilizofanyika huko nchini Marekani zinasikitisha na kushtua sana, kwamba watu takribani milioni 23 sawa na asilimia 7 ya watu wazima wanaamini kwamba maziwa ya chocolate yanatoka kwa ngombe wa rangi ya kahawia. we unadhani ni kwanini? kwamba hawajui? ==== Seven percent of all American...
  20. G

    Kamala Harris aumbuka kwa kudanganya ni Mmarekani mweusi, wamarekani weusi wanamkataa na kuhamisha focus kwa Trump

    Kamala amekuwa akitaka kutumia tabaka la ngozi nyeusi kum boost kisiasa lakini wamarekani weusi wamestukia na kumkataa, ni Tofauri ya Obama alikuwa tayari ana uwezo mkubwa sana wa ku debate, very charismatic, connected, n.k. Kamala amekuwa akiegemea zaidi kutumia ngozi, mqjuzi kwenye moja ya...
Back
Top Bottom